Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

Itoshe tuwaite wahujumu uchumi
 
samia kasema mpelekeeni madudu ya wateuzi wake.
Yeye ni binadamu hajakamilika.
 
Kwenye hizi social media kuna watu wako kukubali na kuamini kila kinachoandikwa ndo maana ni rahisi kuharibu image ya mtu via medias,vilevile ni rahisi kumfanya mtu awe mzuri via media.Simkubali Makamba especial reaction yake kwenye kifo cha JPM,ila naamini vitu vingi humu anasingiziwa kwa chuki.
 
Issue ya nyufa ni kweli, maana nina rafiki yangu wa damu yuko Rufiji kwenye hiyo project ijapokuwa kaniambia sehemu zilipo nyufa si rahisi maji kufika
Ushahidi huu Ukiwa wazi, tutaunganisha na issue ya nyufa kwenye Bwawa tupate pa kuanzia.
 
Kwanini hao wahandisi wanaosimamia hayo mabwawa walikubali?
 
Hamna ukweli...
Kigogo anaingiza chaka watu....
 
Issue ya nyufa ni kweli, maana nina rafiki yangu wa damu yuko Rufiji kwenye hiyo project ijapokuwa kaniambia sehemu zilipo nyufa si rahisi maji kufika
Ikiwa ndivyo UKWELI ulivyo, ni kheri.
 
Kuwa megawatt 80 za mtera ndio zinaleta mgao ,bado tunahitaji kuwekeza zaidi kwenye uzalishaji wa umeme bado tunazalisha kidogo hakuna plant ya uzalishaji yenye uwezo wa kutoa megawatt 500 au 1000 independently hapa nchini wakati ukienda misri kituo kimoja cha gesi kimejengwa 1979 kinazalisha megawatt 1200 rejea uzaloshaji wetu nchi nzima kusanya vyote ni 1600+ megawatt ,sasa ukiangalia vituo vya kisasa vya misri viliyojengwa 2018 vinazalisha megawatt 4800 na vipo 5 pale kwao yaani kimoja tu kinazalisha mara tatu yetu sasa kama proved reserve ni 55cubic trillions za gesi hapa kwetu na misri wao ni 65trillions cubic ni wakati sasa tujenge magasi turbine makubwa yaani stations plant kubwa tuachane na hizi gas stations za megawatt 120, 200 sijui 45 its time we go big nyerere dam ipo lakini suala la ukame ni issue hapa kwetu nyerere iendelee lakini kuna haja ya kuwa na stations ya kuzalisha kubwa ya maana na pia ni wakati productions policy yetu iwe ni kuanzia megawtt 500,1000 kuendelea na sio hivi vidogo vidogo kwa kuwa kasi ya miji kukua ni kubwa na mahitaji mapya ya viwandani na majumbani yanaongezeka kila siku inawezekana tunaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…