Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Duuh ndo napoishi Ilazo ila sijawahi yaona au picha imeyatoea marembo sana
Unaweza kuwa unaishi huo mtaa ila hauna hobby ya kutembea.Hotels hapo Dom ni nyingi sana ila lazima uwe una hobby ya kusafiri au kufanya adventure.

Swali dogo unafahamu Makao Makuu ya TRC na Station kuu ya Sgr ya Dodoma inakojengwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…