Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Nyie mna hata hotel ya nyota 0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Serikali haitakaa kuwajengea pambaneni mnalegea legea kama mazuzu.
Kaa utulize kende project za hoteli zipo kibao tu tena zenye mpaka nyota 4 ni suala la muda.
 
Soko la ndugai ni white elephant project.
Kasema nani? Lile soko lipo kimkakati alikujengwa CBD kama mlivyozoea huko kwenu hili lijahe haraka, bali huku kila kitu lazima kijengwe kwa malengo ya muda mrefu na mpangilio, tazama hata stendi ilipo ni kama iko nje ya mji lakini ukisonga mbele zaidi unakutana na mitaa mizuri ambayo kwa huko mwanza ingekaa posh areas kwa hiyo ni suala la mipango miji mwana zizi la mwanza.
 
Ukisonga mbele ya stendi si machaka ,,au ihumwa ni porshy neighborhood [emoji28][emoji28][emoji28][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread yako ndio inadhihirisha lipi ni giant city

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wanachekesha kweli wanalinganisha Mwanza Mkoa vs Dodoma Mkoa wakati thread ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji angalia kwamfano huyo anataja population πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chuo kipi...manake Dodoma kuna vyuo vingi Udom,St Johns ,CBE,Mipango,Hombolo,Capital n.k kwenye eneo la higher learning institutions Mwanza haifiki hata robo ya Dom πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unachekesha wewe jamaa hivi unajua makao makuu ya BOT yapo wapi..πŸ˜‚πŸ˜‚Kwa taarifa yako BoT makao makuu ni Dodoma ndimana ukifika pale pameandikwa BOT Headquarters huko kwingine kote Dar,Mwanza,Mtwara,Mbeya, Zanzibar,Arusha ni ofisi tu haijalishi ukubwa wa jengo🀣🀣
Wapi DODOMA BOT
[emoji116][emoji116]
MWANZA CENTRAL BANK View attachment 2544929

Sent using Jamii Forums mobimakuu p
 
HOTEL za dodoma ziko wap
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Morena Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Golden Crown Hotel hizo ni hotel za nyota ngapi ....alafu kuna mpya imeanza Best Western City Hotel
 
Usitoke nje ya mada, Ukubwa wa eneo haimaanishi kuwa eneo lipo Urbanised Dodoma inaukubwa wa kmΒ² Nyingi lakin eneo lililojengeka ni dogo sanaa na Vichaka vingi Yaani Mji wa Serikali katikati Vichaka vya Mbuyu lakini Mwanza 546kmΒ² na ipo Urbanised yote na ndo 2nd most Urbanised City in Tanzania na 2nd most Urbanised City in Great lakes only after Kampala
 
Nyie mna hata hotel ya nyota 0 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Serikali haitakaa kuwajengea pambaneni mnalegea legea kama mazuzu.
Morena Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Best Western City Hotel ni hoteli za nyota ngapi....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
yaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichakaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Morena Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Best Western City Hotel ni hoteli za nyota ngapi....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kidogo morena hotel na st Gaspar. Dodoma hotel ni local sana tushapigia sana pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…