Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #3,301
Sasa ujinga wangu nini? Nyanguge ni uchafu gani? Si bora hata ungetaja vijiji kama Nyamikoma, kisesa, usagara au lamadi walahu unge-make sense.Huu ndiyo ujinga sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ujinga wangu nini? Nyanguge ni uchafu gani? Si bora hata ungetaja vijiji kama Nyamikoma, kisesa, usagara au lamadi walahu unge-make sense.Huu ndiyo ujinga sasa
Kaa utulize kende project za hoteli zipo kibao tu tena zenye mpaka nyota 4 ni suala la muda.Nyie mna hata hotel ya nyota 0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Serikali haitakaa kuwajengea pambaneni mnalegea legea kama mazuzu.
Eti suala la muda . tupe update ya hotel ya dodoma City [emoji28][emoji28][emoji28]..vip ishapata mwekezaji [emoji12][emoji12]au ipo kama pambo la mji [emoji28][emoji28]Kaa utulize kende project za hoteli zipo kibao tu tena zenye mpaka nyota 4 ni suala la muda.
Kasema nani? Lile soko lipo kimkakati alikujengwa CBD kama mlivyozoea huko kwenu hili lijahe haraka, bali huku kila kitu lazima kijengwe kwa malengo ya muda mrefu na mpangilio, tazama hata stendi ilipo ni kama iko nje ya mji lakini ukisonga mbele zaidi unakutana na mitaa mizuri ambayo kwa huko mwanza ingekaa posh areas kwa hiyo ni suala la mipango miji mwana zizi la mwanza.Soko la ndugai ni white elephant project.
Ukisonga mbele ya stendi si machaka ,,au ihumwa ni porshy neighborhood [emoji28][emoji28][emoji28][emoji12][emoji12]Kasema nani? Lile soko lipo kimkakati alikujengwa CBD kama mlivyozoea huko kwenu hili lijahe haraka, bali huku kila kitu lazima kijengwe kwa malengo ya muda mrefu na mpangilio, tazama hata stendi ilipo ni kama iko nje ya mji lakini ukisonga mbele zaidi unakutana na mitaa mizuri ambayo kwa huko mwanza ingekaa posh areas kwa hiyo ni suala la mipango miji mwana zizi la mwanza.
Kwa sababu ni moja ya vitu unique ambavyo piga huwa vinapatikana Dodoma tu na si kwingineko ndani ya Tanzania.Sasa mbona kila mda wine.
Kwani zizi la mwanza lina hata mtaa dizaini ya ihumwa? Zaidi ya takataka za machinjioni na mtakuja-shamaliwa.Ukisonga mbele ya stendi si machaka ,,au ihumwa ni porshy neighborhood [emoji28][emoji28][emoji28][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiyari kishagongwa panapouma na hana majibu.Hazina ya nyoko senge wewe..
Endelea kuwafariji majuha ...wakati unaikubali mwanza in all power ..na unaipigania ipate third manispaaKwani zizi la mwanza lina hata mtaa dizaini ya ihumwa? Zaidi ya takataka za machinjioni na mtakuja-shamaliwa.
Ukiwachana ukweli na hawawezi kuupinga chaka lao la kujifichia huwa ni hapa.We akili zako ushazihamishia nyuma huko ... kichwani Ni maziwa tu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yanini kupandisha thread juu ya thread kujustify your defeat, Ni wapi nimewahi kuiponda Mwanza na kutoitakia mema, uzi wetu unajieleza ni Dodoma against Mwanza yupi ni giant city natambua kurukaruka kwa maharage ni wazi wana Mwanza mmeanza kuwiva.Endelea kuwafariji majuha ...wakati unaikubali mwanza in all power ..na unaipigania ipate third manispaa View attachment 2545189View attachment 2545190
Sent using Jamii Forums mobile app
Thread yako ndio inadhihirisha lipi ni giant citySasa yanini kupandisha thread juu ya thread kujustify your defeat, Ni wapi nimewahi kuiponda Mwanza na kutoitakia mema, uzi wetu unajieleza ni Dodoma against Mwanza yupi ni giant city natambua kurukaruka kwa maharage ni wazi wana Mwanza mmeanza kuwiva.
Jamaa wanachekesha kweli wanalinganisha Mwanza Mkoa vs Dodoma Mkoa wakati thread ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji angalia kwamfano huyo anataja population 😂😂Sasa yanini kupandisha thread juu ya thread kujustify your defeat, Ni wapi nimewahi kuiponda Mwanza na kutoitakia mema, uzi wetu unajieleza ni Dodoma against Mwanza yupi ni giant city natambua kurukaruka kwa maharage ni wazi wana Mwanza mmeanza kuwiva.
Wapi DODOMA BOT
[emoji116][emoji116]
MWANZA CENTRAL BANK View attachment 2544929
Sent using Jamii Forums mobimakuu p
😂😂😂Morena Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Golden Crown Hotel hizo ni hotel za nyota ngapi ....alafu kuna mpya imeanza Best Western City HotelHOTEL za dodoma ziko wap
Usitoke nje ya mada, Ukubwa wa eneo haimaanishi kuwa eneo lipo Urbanised Dodoma inaukubwa wa km² Nyingi lakin eneo lililojengeka ni dogo sanaa na Vichaka vingi Yaani Mji wa Serikali katikati Vichaka vya Mbuyu lakini Mwanza 546km² na ipo Urbanised yote na ndo 2nd most Urbanised City in Tanzania na 2nd most Urbanised City in Great lakes only after KampalaWe jamaa umevurugwa na kuipenda Korea mpaka unajiita majina ya miji yao kiufupi usifananishe miji ya ulimwengu wa kwanza na vijiji kama Mwanza kisa ukubwa wa eneo la mji.
Nishakujibu mwanzo but unaendeleza kichwa ngumu, kama Dodoma city inakutoa kamasi na unaitisha usaidizi Korea kusini kisa Dodoma ina reseamble na majiji ya level hizo basi sikulahumu.
Morena Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Best Western City Hotel ni hoteli za nyota ngapi....😀😀😀😀Nyie mna hata hotel ya nyota 0 😂😂😂😂. Serikali haitakaa kuwajengea pambaneni mnalegea legea kama mazuzu.
yaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichaka😀😀😀Usitoke nje ya mada, Ukubwa wa eneo haimaanishi kuwa eneo lipo Urbanised Dodoma inaukubwa wa km² Nyingi lakin eneo lililojengeka ni dogo sanaa na Vichaka vingi Yaani Mji wa Serikali katikati Vichaka vya Mbuyu lakini Mwanza 546km² na ipo Urbanised yote na ndo 2nd most Urbanised City in Tanzania na 2nd most Urbanised City in Great lakes only after Kampala
Kidogo morena hotel na st Gaspar. Dodoma hotel ni local sana tushapigia sana pale.Morena Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Best Western City Hotel ni hoteli za nyota ngapi....😀😀😀😀