Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Nyie mna hata hotel ya nyota 0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Serikali haitakaa kuwajengea pambaneni mnalegea legea kama mazuzu.
Kaa utulize kende project za hoteli zipo kibao tu tena zenye mpaka nyota 4 ni suala la muda.
 
Soko la ndugai ni white elephant project.
Kasema nani? Lile soko lipo kimkakati alikujengwa CBD kama mlivyozoea huko kwenu hili lijahe haraka, bali huku kila kitu lazima kijengwe kwa malengo ya muda mrefu na mpangilio, tazama hata stendi ilipo ni kama iko nje ya mji lakini ukisonga mbele zaidi unakutana na mitaa mizuri ambayo kwa huko mwanza ingekaa posh areas kwa hiyo ni suala la mipango miji mwana zizi la mwanza.
 
Ukisonga mbele ya stendi si machaka ,,au ihumwa ni porshy neighborhood [emoji28][emoji28][emoji28][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani zizi la mwanza lina hata mtaa dizaini ya ihumwa? Zaidi ya takataka za machinjioni na mtakuja-shamaliwa.
Endelea kuwafariji majuha ...wakati unaikubali mwanza in all power ..na unaipigania ipate third manispaa
Screenshot_20230303-224823.jpg
Screenshot_20230303-224844.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa yanini kupandisha thread juu ya thread kujustify your defeat, Ni wapi nimewahi kuiponda Mwanza na kutoitakia mema, uzi wetu unajieleza ni Dodoma against Mwanza yupi ni giant city natambua kurukaruka kwa maharage ni wazi wana Mwanza mmeanza kuwiva.
Thread yako ndio inadhihirisha lipi ni giant city

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa yanini kupandisha thread juu ya thread kujustify your defeat, Ni wapi nimewahi kuiponda Mwanza na kutoitakia mema, uzi wetu unajieleza ni Dodoma against Mwanza yupi ni giant city natambua kurukaruka kwa maharage ni wazi wana Mwanza mmeanza kuwiva.
Jamaa wanachekesha kweli wanalinganisha Mwanza Mkoa vs Dodoma Mkoa wakati thread ni Dodoma Jiji vs Mwanza Jiji angalia kwamfano huyo anataja population 😂😂
 
Chuo kipi...manake Dodoma kuna vyuo vingi Udom,St Johns ,CBE,Mipango,Hombolo,Capital n.k kwenye eneo la higher learning institutions Mwanza haifiki hata robo ya Dom 😂😂😂
 
Unachekesha wewe jamaa hivi unajua makao makuu ya BOT yapo wapi..😂😂Kwa taarifa yako BoT makao makuu ni Dodoma ndimana ukifika pale pameandikwa BOT Headquarters huko kwingine kote Dar,Mwanza,Mtwara,Mbeya, Zanzibar,Arusha ni ofisi tu haijalishi ukubwa wa jengo🤣🤣
Wapi DODOMA BOT
[emoji116][emoji116]
MWANZA CENTRAL BANK View attachment 2544929

Sent using Jamii Forums mobimakuu p
 
We jamaa umevurugwa na kuipenda Korea mpaka unajiita majina ya miji yao kiufupi usifananishe miji ya ulimwengu wa kwanza na vijiji kama Mwanza kisa ukubwa wa eneo la mji.

Nishakujibu mwanzo but unaendeleza kichwa ngumu, kama Dodoma city inakutoa kamasi na unaitisha usaidizi Korea kusini kisa Dodoma ina reseamble na majiji ya level hizo basi sikulahumu.
Usitoke nje ya mada, Ukubwa wa eneo haimaanishi kuwa eneo lipo Urbanised Dodoma inaukubwa wa km² Nyingi lakin eneo lililojengeka ni dogo sanaa na Vichaka vingi Yaani Mji wa Serikali katikati Vichaka vya Mbuyu lakini Mwanza 546km² na ipo Urbanised yote na ndo 2nd most Urbanised City in Tanzania na 2nd most Urbanised City in Great lakes only after Kampala
 
Nyie mna hata hotel ya nyota 0 😂😂😂😂. Serikali haitakaa kuwajengea pambaneni mnalegea legea kama mazuzu.
Morena Hotel,St Gaspar Hotel,Dodoma Hotel,Best Western City Hotel ni hoteli za nyota ngapi....😀😀😀😀
 
Usitoke nje ya mada, Ukubwa wa eneo haimaanishi kuwa eneo lipo Urbanised Dodoma inaukubwa wa km² Nyingi lakin eneo lililojengeka ni dogo sanaa na Vichaka vingi Yaani Mji wa Serikali katikati Vichaka vya Mbuyu lakini Mwanza 546km² na ipo Urbanised yote na ndo 2nd most Urbanised City in Tanzania na 2nd most Urbanised City in Great lakes only after Kampala
yaani wewe jamaa utoporooo kwelikweli hivi hujui eneo la kuanzia stendi ya Nanenane hadi Ihumwa ni eneo la Jeshi unataka watu wajenge eneo la Jeshi ...Kwahiyo kwamfano Makongo tupaite mapori na vichaka😀😀😀
 
Back
Top Bottom