Tupe mbinu na sisi wakina yakhe tuweze kula na serikali yetuππMajiji ya nyumba za mabati na tope zisizo na mpangilio, hizo sifa za kutokuendelezwa na serikali ndo zinawaponza mnaonekana hoya hoya! wenzenu wajanja wanazidi kula na serikali yao nyie mnabakia kuwa wapiga kura nambari moja na kwa jinsi mnavyozaliana na hamjali maendeleo ya miji yenu wala nchi wanawachabo tu.
Hahahaa! Mmeshachelewa tiyari wenda mkiamka mkawadai haki zenu za kuwa na miundombinu yakujifananisha nasi wana idodomia at least wasiwape vikubwa hata taa za barabarani tu zinawatosha kama kianzio...pengine hili litawakumbusha serikali kuwa Mwanza pia wanaishi watu kama majiji mengine mateule.Tupe mbinu na sisi wakina yakhe tuweze kula na serikali yetu[emoji23][emoji23]
Huyu mtu ana porojo Sana Ila ukimwambie alete hayo mazuri ya dodoma, anakuletea ikulu, Yale majengo ya Udom na render za zile Kota zinazofanana[emoji23][emoji23]Tupe mbinu na sisi wakina yakhe tuweze kula na serikali yetu[emoji23][emoji23]
Just imagine mwanza hadi vyuo vikuu navyo ni private dah [emoji23][emoji23][emoji263]Ukitoa majengo ya serikali na ofisi za kiserikali, ni nini tofauti kati ya Dodoma na singida?
Sasa Shinyanga na Simiyu zimeingiaje hapa, umeona kuna mahali nimetaja mikoa hiyo? Kwa hiyo umeishiwa point unataka ujifiche kwa wanyonge wenzako kina Shinyanga na Simiyu kwa kuwa ndo level zako.Swali dogo tu kati ya Dodoma na Shinyanga au Simiyu unadhani ni mkoa gani kati ya hiyo ni mzigo kwa nchi linapokuja suala la tishio la uwepo wa baa la njaa? Au ni mkoa gani hapo uwa ndo unatangulia kuisi makali ya njaa mpaka ng'ombe wanaishia kula vumbi?
Mwanza ni maskini kwani uongo?Ukimaliza hii leta yale mapambio yako ya mwaka 2014 yakisema mwanza ni mkoa masikini, huko ndo unakokimbilia baada ya kushindwa hater no 1 wa jiji la Mwanza.
Wewe ndio akili yako imeathiriwa na Kansa zilizotamalaki huko Mwanza.We jamaa una shida ya akili wenzio wanatuma picha halisi we unaleta render, mara unakazania picha za udom, inamaana hapo hakuna vitu vingine mara picha ya ikulu mpya tuma vitu vya maana.
πππππ Jamani ona huyu zumbukuku roho inamuumaHakuna kitu hapo mtaishia kuandika bil 600 kwenye makaratasi.
Sasa sehemu masikini inakuwaje ya Pili kwenye kuchangia Pato la taifa?Mwanza ni maskini kwani uongo?
wanakuonea kwa vile wewe ni mgogo..Wewe ndio akili yako imeathiriwa na Kansa zilizotamalaki huko Mwanza.
Ni hivi nimeweka render na picha za ujenzi unaoendelea.
Huko ni kutapatapa ,Dom ishawakalia kichwani sasa mna suffocate
Ni ujinga na WEhu kusema eti sehemu fulani inajengwa na Serikalini.Leta project za dodoma ambazo hazifadhiliwi na government nikuumbue, dodoma ni jiji la omba omba wanaotegemea fadhila za serikali.
Ni render tu unataka au kuna kingine unataka pia ttukuwekee?Wewe ndio akili yako imeathiriwa na Kansa zilizotamalaki huko Mwanza.
Ni hivi nimeweka render na picha za ujenzi unaoendelea.
Huko ni kutapatapa ,Dom ishawakalia kichwani sasa mna suffocate
Mgogo pekee jf.Ni ujinga na WEhu kusema eti sehemu fulani inajengwa na Serikalini.
Hivi hayo masoko huko Mwanza yqnajengwa na bibi zenu?stand zote mbili, airport na madaraja ikiwemo ka mall mnakolingia mlitoa pesa zenu kujenga?
Acheni ujinga nyie,dalili za mfa maji ni kutapatapa ππ
Kavae miwani kama huonipicha gan hizo unatutumia hatuon majengo tunaona majini tupu ......we mgogo vipi bhana? sisi tunataka kuona mijengo na sio majan hayo
Na wewe anzisha vyerehaninyie wagogo tatizo lenu mtu akiwa na cherehani yake moja nje ya flem ya mtu mnahesabu ana kiwanda huuhuuhuu wagogo mnakwama wapi nyieeeeee akina matonya?
Na wewe weka renderNi render tu unataka au kuna kingine unataka pia ttukuwekee?