Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Tupe mbinu na sisi wakina yakhe tuweze kula na serikali yetu😂😂Majiji ya nyumba za mabati na tope zisizo na mpangilio, hizo sifa za kutokuendelezwa na serikali ndo zinawaponza mnaonekana hoya hoya! wenzenu wajanja wanazidi kula na serikali yao nyie mnabakia kuwa wapiga kura nambari moja na kwa jinsi mnavyozaliana na hamjali maendeleo ya miji yenu wala nchi wanawachabo tu.