Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Majiji ya nyumba za mabati na tope zisizo na mpangilio, hizo sifa za kutokuendelezwa na serikali ndo zinawaponza mnaonekana hoya hoya! wenzenu wajanja wanazidi kula na serikali yao nyie mnabakia kuwa wapiga kura nambari moja na kwa jinsi mnavyozaliana na hamjali maendeleo ya miji yenu wala nchi wanawachabo tu.
Tupe mbinu na sisi wakina yakhe tuweze kula na serikali yetu😂😂
 
Tupe mbinu na sisi wakina yakhe tuweze kula na serikali yetu[emoji23][emoji23]
Hahahaa! Mmeshachelewa tiyari wenda mkiamka mkawadai haki zenu za kuwa na miundombinu yakujifananisha nasi wana idodomia at least wasiwape vikubwa hata taa za barabarani tu zinawatosha kama kianzio...pengine hili litawakumbusha serikali kuwa Mwanza pia wanaishi watu kama majiji mengine mateule.
 
Tupe mbinu na sisi wakina yakhe tuweze kula na serikali yetu[emoji23][emoji23]
Huyu mtu ana porojo Sana Ila ukimwambie alete hayo mazuri ya dodoma, anakuletea ikulu, Yale majengo ya Udom na render za zile Kota zinazofanana[emoji23][emoji23]
 
Ukitoa majengo ya serikali na ofisi za kiserikali, ni nini tofauti kati ya Dodoma na singida?
 
Ukitoa majengo ya serikali na ofisi za kiserikali, ni nini tofauti kati ya Dodoma na singida?
Just imagine mwanza hadi vyuo vikuu navyo ni private dah [emoji23][emoji23][emoji263]
 
Swali dogo tu kati ya Dodoma na Shinyanga au Simiyu unadhani ni mkoa gani kati ya hiyo ni mzigo kwa nchi linapokuja suala la tishio la uwepo wa baa la njaa? Au ni mkoa gani hapo uwa ndo unatangulia kuisi makali ya njaa mpaka ng'ombe wanaishia kula vumbi?
Sasa Shinyanga na Simiyu zimeingiaje hapa, umeona kuna mahali nimetaja mikoa hiyo? Kwa hiyo umeishiwa point unataka ujifiche kwa wanyonge wenzako kina Shinyanga na Simiyu kwa kuwa ndo level zako.
Battle ilikuwa Mwanza na Dodoma maskini umewaingiza Shinyanga na Simiyu ambao hata hawajui tunaongelea nini.
 
Kwanza watu wa dodoma mmeoga ? isije kuwa tunabishana na watu wananuka jasho ...Dodoma hebu toeni kwanza hio Town sprawl ndo mje tubishane
 
Dodoma wananchi wake ni maskini hawawezi hata kujenga nyumba zao wenyewe mpaka waneamua kujengewa kota na serikali za kulipia polepole
 
Dodoma naomba ligi na nyie kwenye viwanja vya Bata[emoji23]
 
We jamaa una shida ya akili wenzio wanatuma picha halisi we unaleta render, mara unakazania picha za udom, inamaana hapo hakuna vitu vingine mara picha ya ikulu mpya tuma vitu vya maana.
Wewe ndio akili yako imeathiriwa na Kansa zilizotamalaki huko Mwanza.

Ni hivi nimeweka render na picha za ujenzi unaoendelea.

Huko ni kutapatapa ,Dom ishawakalia kichwani sasa mna suffocate
 
Leta project za dodoma ambazo hazifadhiliwi na government nikuumbue, dodoma ni jiji la omba omba wanaotegemea fadhila za serikali.
Ni ujinga na WEhu kusema eti sehemu fulani inajengwa na Serikalini.

Hivi hayo masoko huko Mwanza yqnajengwa na bibi zenu?stand zote mbili, airport na madaraja ikiwemo ka mall mnakolingia mlitoa pesa zenu kujenga?

Acheni ujinga nyie,dalili za mfa maji ni kutapatapa 😁😁
 
Wewe ndio akili yako imeathiriwa na Kansa zilizotamalaki huko Mwanza.

Ni hivi nimeweka render na picha za ujenzi unaoendelea.

Huko ni kutapatapa ,Dom ishawakalia kichwani sasa mna suffocate
Ni render tu unataka au kuna kingine unataka pia ttukuwekee?
 
nyie wagogo tatizo lenu mtu akiwa na cherehani yake moja nje ya flem ya mtu mnahesabu ana kiwanda huuhuuhuu wagogo mnakwama wapi nyieeeeee akina matonya?
Na wewe anzisha vyerehani

Screenshot_20220114-130342.png
 
Back
Top Bottom