ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukiniletea mazingira kama haya dodoma...
Hako kamji zaidi ya hapo CBD huko kwingine ni slums tupuπ
Ngoja paendelee kupauka..Ila Dodoma pamepaukaa!!!!!
Wadanganye..[emoji1787][emoji1787]..kwanza feasibility study ndio inaanza mwaka huu ... ujenzi sijui 2030 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja paendelee kupauka..
Njia 4 kutoa Mji wa Serikali Hadi City Centre.
BRT Loading after Dar ni Dom
Wivu ππππWadanganye..[emoji1787][emoji1787]..kwanza feasibility study ndio inaanza mwaka huu ... ujenzi sijui 2030 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nione wivu Wakati sisi tuna project ya dual carriage km 80 na ujenzi soon unaanza[emoji28]π₯ΈWivu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Iko wapi? πππNione wivu Wakati sisi tuna project ya dual carriage km 80 na ujenzi soon unaanza[emoji28]π₯Έ
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii dart kwani ni dodoma na Dar tu, hapo nimeona majiji makubwa, na majiji makubwa Mwanza haikosekana kwenye top 2Ngoja paendelee kupauka..
Njia 4 kutoa Mji wa Serikali Hadi City Centre.
BRT Loading after Dar ni Dom
Mwanza itakuwa mwishoni mwishoni huko..Hii dart kwani ni dodoma na Dar tu, hapo nimeona majiji makubwa, na majiji makubwa Mwanza haikosekana kwenye top 2
Acha ujinga Dodoma nalo ni jiji! Tukijenga bunge, na maofisi ya serikali na tubarabara huko manyoni, tayari manyoni itakuwa ni jiji kuzidi mwanza, huu ujinga huwa mnatolea wapi?Mwanza itakuwa mwishoni mwishoni huko..
Majiji Tanzania ni Dar na Dom tuu
DomAcha ujinga Dodoma nalo ni jiji! Tukijenga bunge, na maofisi ya serikali na tubarabara huko manyoni, tayari manyoni itakuwa ni jiji kuzidi mwanza, huu ujinga huwa mnatolea wapi?
Haya mapori na vichaka na ofisi kadhaa ndio vinasababishe udate.
Wivu πππHaya mapori na vichaka na ofisi kadhaa ndio vinasababishe udate.
Video ya hiyo slum unaita ibanda Iko wapi? Mbona unaweka kapicha kamoja? ππHii sehemu imeizidi nini ibandaππ
View attachment 2623733