Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

πŸ˜‚πŸ˜‚Picha za Ziwa hata Mbamba Bay- Nyasa zipo
Leta za mbamba bay, hiyo ni unique mzee na inajitofautisha na jangwa la Dodoma, tukianza kutupia beach kali, migahawa iliyoko mwambao wa lake victoria, camping sites za kutosha, hivi vitu huwezi vikuta Dodoma miaka buku kijana
 
Wewe Mwanza unaijua au unaisikia?
Bugando Weil Hospital na Chuo kikuu chake!
Agha khan Mwanza
Tanzanite Hospital
Uhuru Hospital
CF Hospital
Royal Hospital
Makongoro Hospital
Samatarian Hospital
Kamanga Hospital
Sekou Toure Hospital
Sengerema Hospital
Bukumbi Hospital
Sumve Hospital
Nyamagana Hospital
Ilemela Hospital
nk
Wewe kijana zaidi ya yote Bugando ni Kubwa kuliko hiyo Benjamin Mkapa Hospital! Kwa hiyo usiwe Muongo muongo kijana!
 
Ukubwa namaanisha Population,
 
Mwanza hotel
Gold crest
Hotel tilapia
Ryan bay hotel
Victoria palace
Eden palace
Isamilo grand
Midland
G&G
Pigeon
Kingdom
Malaika resort
Wag hill
Leyshoff
Holmand inn
Mayi hotel
Antelope hotel
Na nyingine kibao
Picha ziko wapi?
 
Leta za mbamba bay, hiyo ni unique mzee na inajitofautisha na jangwa la Dodoma, tukianza kutupia beach kali, migahawa iliyoko mwambao wa lake victoria, camping sites za kutosha, hivi vitu huwezi vikuta Dodoma miaka buku kijana
Mwanza hakuna Hotel za maana hata MbambaBay imewashinda πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

Atakuja yule mshamba wa ngudu Mikdde atakwambia ni vijumba jumba 🀣🀣
 
- sekou toure
-bugando
  • uhuru hosp
  • agakhan hosp
-hundu Mandal hosp
-Royal hosp
-Tanzanite hosp
-mwananchi hosp
-CF hosp _ wachina Hawa
-Tanzanite hosp
-kamanga hosp
- mwanza hosp
-rainbow hospital
- n.k
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Picha za Ziwa hata Mbamba Bay- Nyasa zipo
Umeanza kupagawa hapo ni the Ryan's bay. Mwanza Ina vitu vingi mno tatizo mmepewa hadhi ya Jiji kisiasa basi mkavimba vichwa kwa projects za serikali na taasisi zake
 
Kwanza apartments hatukumalizana mnaruka ruka tu, haya leteni na hotel ila kama ni Dodoma peke yake Bora muache tu, ongezeni za mbeya, njombe na songea.
 
Nimekwambia hospitali apo Mwanza yenye hadhi ni moja tu ya Bugando ya wakatoliki na yenyewe inahudumia almost lake zone yote.Hizo zingine zote ni takataka ni sawa tu na Health Centres πŸ˜‚πŸ˜‚ndiomana huwezi kupata rufaa ya kwenda apo ....sasa linganisha na Dom wenyeπŸ‘‡πŸ‘‡
"Hospitali ya Taifa"
"Hospitali Kuu ya Jeshi"
"Hospitali ya Rufaa ya Kanda"
"Hospitali Maalum ya Macho"
"Hospitali Maalum ya kimkakati"
 
Sisi wataalamu wa mpangilio wa majiji( city/urban designer) tunasema si dar, mwanza Wala Dodoma ni takakata tu hakuna kitu

Dogo Nitafutie nikupe shule ya sustainable urban/city development
 
Huwa wananichekesha sana kilasiku kupost picha za Ziwa Victoria πŸ˜‚πŸ˜‚...Yaani wangekua na beaches nzuri kama za kule Matema Beach au Mbamba Bay sijui ingekuwajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bugando Weil Hospital na Chuo kikuu chake!
UDOM pia wana hospitali yao(hii ni nyingine tofauti na Benjamin Mkapa Hospitali).....College ya "TIBA" ya Udom ipo Benjamin Mkapa Zonal Referral Hospital. Kiutawala Hospitali ya Benjamin Mkapa ipo chini ya Wizara ya Afya lakini madaktari wote wanaosoma UDOM wanafanyia mazoezi apo.

Kwa upande wa vyuo vikuu Mwanza ikasome kwa DomπŸ˜‚πŸ˜‚.Chuo Kikuu kimoja tu cha UDOM(chuo kikuu cha pili kwa ukubwa Afrika) kina uwezo wa kuchukua wanavyuo wote wa Mwanza,Shinyanga,Geita,Kagera,Simiyu,Mara na bado nafasi zikabakiπŸ˜‚πŸ˜‚.Hapo bado sijakutajia St John's,CBE,IRDP-MIPANGO,MADINI,LGTI-HOMBOLO,IAA-Dom Campus n.k
 
Ugonjwa ulionao ..ni halali mirembe ikawekwa dodoma ..achilia mbali ripoti ya sensa inayoonyesha mwanza ni ya pili Kwa idadi ya hospitali na vituo vya afya tanzania..but also mwanza inaenda hub ya afya Kwa ukanda wa maziwa makuu tunasema Hiv Kwa kuzingatia hivi ?πŸ‘‡
Uwepo wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya afya vyenye hadhi ya kimataifa kama :
_CUHAS
-city university
_mwanza university
-tanzanite institute kinajengwa na taasisi ya India .
Dodoma Ina university Moja ya UDOM ambayo inaoffer expertise training in medical field..msinambie st John ambayo kozi zake nyingi zimefutwa ..

Hospital zenye hadhi ya ubingwa bobevu
-bugando (hospital ya pili Kwa ukubwa Tanzania)
_kamanga medics
-hindu mandal
-aghakhan
-tanzanite/uhuru hospital
-sekotoure
-mwanza hospital .
Hospital na medical center zenye hadhi Bora
-rainbow clinic
-bugando town clinic
-AAR
-Manjis eye center
-royal hospital
Hospital ambazo ziko kwenye ujenzi
-city hospital kisesa
-kamani medical center nyamhongolo
-mwanza university hospital kishiri
-ilemela municipal hospital
_ukerewe regional hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…