Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ukitaka ugomvi na Mwanza waambie walete picha za Mitaa wanakoishi 😂😂

Mumebakia mnajifariji na poor ,narrow and disorganized CBD
Uzi unasemaje huko juu, Je ni kweli Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?. Mpaka hapo mmeshasarenda basi vita ihamie mitaani sasa ambako ndiko mmeona kichaka cha kujifichia, Tuanze na mtaa kwa mtaa sasa, 1.CAPRPOINT Vs KISASA
2.Malaika vs
3.Bwiru press vs
4.Ibanda vs
5.Mwananchi vs
6.Nyegezi majengo vs
7.Buswelu vs
8.Nyamhongoro vs
9.Luchelele ziwani vs
10.kiseke vs
11.Buhongwa musabe vs
12.Nyasaka vs
13.Isamilo vs
14.kiloleli
15.Mihama
16.Mahina
17.Shadi
Mitaa ni mingi sana siwezi orodhesha yote wana Dodoma anzeni kupachika vitaa vyenu humo sasa
 
Aliyeanzisha Uzi alitaka kuficha uchafu wa Mwanza Kwa kutumia CBD nayo ameshindwa 😂😂
 
Aliyeanzisha Uzi alitaka kuficha uchafu wa Mwanza Kwa kutumia CBD nayo ameshindwa 😂😂
Wasukuma wanaumwa chuki+wivu na ushamba wa ajabu sijapata kuona😂😂Kuna mmoja kaanzisha thread eti analinganisha Ilala vs Nyamagana😂😂👇👇

 
Shinyanga kuna manispaa mbili Shinyanga MC na Kahama MC ....😂😂😂
 
Huyo aloanzisha Uzi ni mgeni jf, na kaanzisha jana, kwa hulka zenu za kingese mmoja wenu anaweza kuwa ameanzisha na akauquote hapa. Ni kama huu Uzi Kuna falo Moja kaanzisha na tunaishi Naye humu, childish
 
Your browser is not able to display this video.

Dodoma wangeita mall
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa wajambe, wapururu hawatoki
Unajitekenya na kucheka mwenyewe yaani fanani na hadhira ni wewe mwenyewe.😂😂
Niletee picha ya Dom CBD inayoinclude Majengo,One way,barabara ya 6 hadi barabara ya 10,Moshi Avenue,Mpwapwa flats road,CDA hq,Mtendeni street,Chef Asili,Uhindini,TAKUKURU hq,CWT hq,former wizara ya Maji, former Wizara ya Uchukuzi n.k 👇👇


View: https://x.com/Hakingowi/status/1106552666845560835
 
Dodoma hii hii ya omba omba duh unahuzunisha🤣🤣🤣🤣
 
Leta CBD, we si ulisema watu wanaleta picha ya jengo Moja Moja zuri. Sasa usijitoe akili lenyewe la kawaida sana Hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…