ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hapo ujinga uko wapi? Kwa nini Mwanza kuweka na service levy kiduchu? ππππππJaribu kuficha ujinga wako hizo ni service levy kwenye Pato ni nothing. Kama mapato ndo kama hivyo mbona Dodoma na watu wake ni masikini tena watatu kutoka Mwisho.
Mara ya mwisho Kwa Mwanza kujenga kiwanda kikubwa kama hiki ilikuwa lini? ππHata mimi kanishangaza!! Eti shughuli za kiuchumi ibaizd mwanza?? Ukubwa wa mhi inaizd mwanza? Huduma za kijamii inaizdi mwanza? Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
Miundo mbinu! Kwa sasa Mwanza bararaba kuu mbili ndio zinachangamoto, lakini kwa Dodoma, barabara, reli na uwanja wa ndege vyote vipo vizuri na vinaendelezwa.Dodoma imeiacha mwanza katika angle ipi mkuu?
Mwanza kuna viwnda sio kiwanda toa ushamba wako.Kwa taarifa yako hivyo vimajengo ni sawa na kiwanda cha kuchambua pamba.Mara ya mwisho Kwa Mwanza kujenga kiwanda kikubwa kama hiki ilikuwa lini? ππ
View: https://youtu.be/pIKs8fuT6Aw?feature=sharedView attachment 3390342
Weka hapa hivyo viwanda ππMwanza kuna viwnda sio kiwanda toa ushamba wako.Kwa taarifa yako hivyo vimajengo ni sawa na kiwanda cha kuchambua pamba.
Miundo mbinu! Kwa sasa Mwanza bararaba kuu mbili ndio zinachangamoto, lakini kwa Dodoma, barabara, reli na uwanja wa ndege vyote vipo vizuri na vinaendelezwa.
Kwa majengo, kasi ya ujenzi dodoma ni kubwa compared to Mwanza, ingawa mwanza haipo nyuma kwenye ujenzi wa majengo marefu katika mji. Kama umetembelea mwanza unaweza ukawa shahidi wangu.
Idadi ya watu, kwa mwanza ni kubwa sana na itaendela kua kubwa kwa sababu wanazaliana sana wasukuma, lakini dodoma wengi ni wahamiaji
Kwa uchache ni hayo
Wivu tu subiri Nyanzaga ianze ndo utajua hujui.Mwanza mkitoa hili daraja la misungwi na Sengerema mnabakiwa na nini?
View: https://www.instagram.com/reel/DKpv6m1R66I/?igsh=cTByMDRhbjF5b2Fu
Kila siku mnaleta miradi ya serikali huko hakuna private sector, au watu wenye doo za kufanya uwekezaji mkubwa.Dom hawapoi kabisaπ₯...another skyscraper loading ndani ya city centre ππView attachment 3363210
Angalau hii project ya uwanja wa dodoma huwa unaniumiza nikiona jinsi jiji la pili kwa ukubwa linakuwa na airport kama kibanda cha mbuzi, hii nchi haina usawa kabisa.
Miundo mbinu! Kwa sasa Mwanza bararaba kuu mbili ndio zinachangamoto, lakini kwa Dodoma, barabara, reli na uwanja wa ndege vyote vipo vizuri na vinaendelezwa.
Kwa majengo, kasi ya ujenzi dodoma ni kubwa compared to Mwanza, ingawa mwanza haipo nyuma kwenye ujenzi wa majengo marefu katika mji. Kama umetembelea mwanza unaweza ukawa shahidi wangu.
Idadi ya watu, kwa mwanza ni kubwa sana na itaendela kua kubwa kwa sababu wanazaliana sana wasukuma, lakini dodoma wengi ni wahamiaji
Kwa uchache ni hayo
Hii nyota tano imewekwa na nani? Au mchoraji alijiongeza kuvutia waluga luga au wazambuli.Soma hiyo
View attachment 3368616
Atakuwa katoroka milembe.Shida unaongea umbea tu na siasa njaa. Dodoma mkoa maskini kuliko mikoa yote Tanzania imeishafikia hatua yakua jiji bora kuliko majiji yote Tanzani na Kenya??Wewe utakuwa unaishi Karibu nq hospitali ya Milembe sio bure.
Acha upumbavu hapa majiji ni Dar na Mwanza hizo hekaya zenu pelekeni kwa mandondocha.Mwanza kwa sasa inaweza ikawa ya tatu kutoka Dar. Dodoma inaweza shika nafasi ya pili.
Lakini ukweli ni kwamba Mwanza imeiacha Arusha parefu sana sana....
Ni hayo tu
Unataka kuniambia uwekezaji wa mahoteli,viwanda,media,vyuo vikuu,shopping malls,mabenki,biashara,makampuni,mabasi n.k ni serikali au private...!!πππKila siku mnaleta miradi ya serikali huko hakuna private sector, au watu wenye doo za kufanya uwekezaji mkubwa.
Kula vyuma hivyoππHii nyota tano imewekwa na nani? Au mchoraji alijiongeza kuvutia waluga luga au wazambuli.
Jaribu kuficha ujinga wako hizo ni service levy kwenye Pato ni nothing. Kama mapato ndo kama hivyo mbona Dodoma na watu wake ni masikini tena watatu kutoka Mwisho.
Huna source ya mapato, usiudanganye umma. Kwa sasa Dom inakuwa promoted kuvutia wawekezaji tu wajue pesa ipo huki
Acha upumbavu hapa majiji ni Dar na Mwanza hizo hekaya zenu pelekeni kwa mandondocha.
Unajisikiaje ukitukana na haukutukanwa?Acha upumbavu hapa majiji ni Dar na Mwanza hizo hekaya zenu pelekeni kwa mandondocha.
Huyo dogo anavuta Bangi ππUnajisikiaje ukitukana na haukutukanwa?