Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?


Afu hawa majamaa hawanaga ile pang'ang'a mingi ni mwendo wa plan nakujenga, mfano kwenye hizo renders hapo Dodoma city hotel ilishaisha kitambo inasubiria kufunguliwa tu
 
Dom ndio Jiji pekee baada ya Dar ambapo Mabasi kutoka mikoa yote kuna usafiri wa moja kwa moja.
Huo ndo ushamba jaribu siku moja njoo Mwanza utalii ushangae na meli kidogo
Wewe unazungumzia mabasi kwenda mikoani Mwanza kuna mabasi yanaenda kimataifa yaani nchi jirani kama Nairobi-kenya kila siku(modern coach),Kampala-Uganda na Juba Sudani(friends) kila siku,Kigali-Rwanda(friends bus) na Bujumbula-Burundi(Nyeunge bus) kuna meli kubwa za mizigo na mabehewa mwanza-kisumu kenya na mwanza -jinja uganda(Mv Umoja) hii pia inabeba mizigo ya congo inayopitia uganda kama magogo na meli kubwa ya abiria afrika mashariki na kati hiko hatua za mwisho itakuwa inatoka mwanza to jinja uganda na kisumu kenya(mv Mwanza).Kitu kingine unatakiwa kuelewa mwanza ndo soko la hizo nchi ndo maana kunajengwa bandari ya nchi kavu kubwa Tazania na daraja refu kuliko yote afrka mashariki,sgr hadi Mwanza ili kumantain soko hili liendelee kuwa sastainable,Mwanza ina migodi mikubwa ya dhahabu na almas kaa ukijua Mwanza haijawa jiji kwa maneno na vijengo vya wizara kwamba jiji linajengwa kwa mishahara ya wafanyakazi wa serikali huo ni uongo.







 
Kiongozi hii iwe reply yako ya mwisho wenzio tumeshaacha kubishana na hawa wakulungwaπŸ™πŸ™πŸ™
 
Hata Tanga,Moshi,Kigoma,Mbeya,Arusha nk kuna mabusi ya kwenda mikoani..

Nasema hivi huwezi Kuta Bus inatoka Mtwara kwenda Mwanza,ila Dom nchi nzima seems kuna biashara na mikoa yote.
 
Kiongozi hii iwe reply yako ya mwisho wenzio tumeshaacha kubishana na hawa wakulungwa[emoji120][emoji120][emoji120]
Kabla ya kufyata mkia na kukubali udhaifu kuwa kijiji kikuu cha Mwanza kimechapwa vibaya na Dodoma, ebu tuthibitishie kuwa siyo kwa kutuonesha watoto wenu huwa wanacheza wapi.
Je, mna chochote cha kutambia mbele ya chinangali park na gardens za idodomia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtu ana porojo Sana Ila ukimwambie alete hayo mazuri ya dodoma, anakuletea ikulu, Yale majengo ya Udom na render za zile Kota zinazofanana[emoji23][emoji23]
Mwanza katafuteni wa kushindana nae,Dom sio size yenu..

Dom Capital City of Tzn πŸ‘‡













 
Hizi ni picha za makazi binafsi ya Capri point MWANZA. wanakoishi matajiri wa Mwanza. Huu ndo mtaa wa Wazito huwezi Kuta hii Dom wa Arusha. Masaki DsM na Mwaka Capri Point.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…