Huo ndo ushamba jaribu siku moja njoo Mwanza utalii ushangae na meli kidogo
Wewe unazungumzia mabasi kwenda mikoani Mwanza kuna mabasi yanaenda kimataifa yaani nchi jirani kama Nairobi-kenya kila siku(modern coach),Kampala-Uganda na Juba Sudani(friends) kila siku,Kigali-Rwanda(friends bus) na Bujumbula-Burundi(Nyeunge bus) kuna meli kubwa za mizigo na mabehewa mwanza-kisumu kenya na mwanza -jinja uganda(Mv Umoja) hii pia inabeba mizigo ya congo inayopitia uganda kama magogo na meli kubwa ya abiria afrika mashariki na kati hiko hatua za mwisho itakuwa inatoka mwanza to jinja uganda na kisumu kenya(mv Mwanza).Kitu kingine unatakiwa kuelewa mwanza ndo soko la hizo nchi ndo maana kunajengwa bandari ya nchi kavu kubwa Tazania na daraja refu kuliko yote afrka mashariki,sgr hadi Mwanza ili kumantain soko hili liendelee kuwa sastainable,Mwanza ina migodi mikubwa ya dhahabu na almas kaa ukijua Mwanza haijawa jiji kwa maneno na vijengo vya wizara kwamba jiji linajengwa kwa mishahara ya wafanyakazi wa serikali huo ni uongo.
View attachment 2087233
View attachment 2087235
View attachment 2087239
View attachment 2087242