Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wala huijui Mwanza ! Kinachokusumbua ni wivu na chuki kwa jiji la miamba. Pole sana. Nikushauri tu usipoteze muda wako kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu cha mchwa.
Siku zote mtoto uamini mama yake pekee ndo fundi wa mapishi mpaka pale anapokuwa ndo ugundua kumbe kuna wanawake wako vizuri jikoni maza akasome, nikuulize ushawahi kanyaga DOM CBD au unabisha kulingana na ulivyoiaminisha akili yako.
 

Sometimes nyie mnaopita mahali kwa haraka au mkiwa kwenye magari huwa mnaishia kutoa bad judgement ya mahali husika, labda nikuulize angle zipi za CBD ulipita kiasi cha kusema mwanza CBD inazidiwa na City Center ya Arusha
 
Hakikaa, na huu ndio ukweli ambao wanafiki hawapendi kuusikia.
 
Siku zote mtoto uamini mama yake pekee ndo fundi wa mapishi mpaka pale anapokuwa ndo ugundua kumbe kuna wanawake wako vizuri jikoni maza akasome, nikuulize ushawahi kanyaga DOM CBD au unabisha kulingana na ulivyoiaminisha akili yako.
Hiyo DOM nisifike na kukaa hapo ? Huo mji wenu wenye baridi yabisi uulinganishe na Mwanza ? Pole sana
 
Sasa hapa unatetea nini? Inshu ni kuwa kiwanja cha moshi kipo wapi kama siyo hapo jirani na soweto-veta, kuhusu international kama KIA nani amekwambia Dodoma haina mpango wa kuwa na DIA
wamekiboresha kile kile ili wagogo muwe mnashangaa Airbus pale tukiwa tunashuka kutoka dar
 
Ndio unajua leo? Dom ndio yenye hadhi ya second City kwa sasa.
 
WASukuma watakwambia eti Takwimu zimepikwa 😂😂.

Kiufupi sio tuu Dom bali hata Mbeya inakuja kwa Kasi sana kwa sasa maana ina watu wengi na wenye purchasing power.

Imagine unaanzia Uyole hadi Mbalizi
 
Ghorofa mbili zipi? Una chuki na hutaki ukweli 😝😝

 
Kwa lile vumbi hapana bila bunge na udom pangebaki pa hovyo sana.
Sasa ukuaji wa Mji unahusiana vipi na vumbi?

Wewe ni kapuuzi yaani mtu ahame mkoani kufuata Bunge na chuo? Mbona vyuo viko maeneo mengi tuu ikiwemo Mbeya,Mwanza ,Iringa,Morogoro na Arusha,kwa nini hiyo miji haikui kwa Kasi kama Dom?
 
Kama Mwanza ilishapigwa na Arusha,kwa Dom haiwezi hata kusogeza pua.

Ule mradi wa nyumba 1000 pale Medeli unatosha kushindana na mwanza yote.
 
WASukuma watakwambia eti Takwimu zimepikwa [emoji23][emoji23].

Kiufupi sio tuu Dom bali hata Mbeya inakuja kwa Kasi sana kwa sasa maana ina watu wengi na wenye purchasing power.

Imagine unaanzia Uyole hadi Mbalizi
Hata kama huwapendi huna cha kuwafanya wasukuma
 
Siku za usoni Bunge litahamia Mji wa serikali kule sio pale mjini Kati.

Omba omba hata Dar na Nairobi wamejaa kwa sababu hiyo ndio miji yenye Watu wenye pesa.
 
mkuu dodoma nimefika hivi ilikuwaje mkaweka airport pale katikati ya mji kama kariakoo
Ile si ni airport ndogo kama ilivyo kwa Miji mingi like Mbeya, Sumbawanga,Arusha nk..

Pili airport kubwa inajengwa pembeni ya ya Mji .By the way hata Airport ya Dar iko mjini katikati ya makazi,so hiyo sio hoja .
 
Sensa ya mwaka ujao itatoa picha halisi.Tusidanganyane kwa mahaba,Dom imeshakuwa Mji mkubwa Sana kwa sasa.

Yaani kama hujaenda miezi 6 unakuta Mji umebadilika,hapo ndio kwanza serikali hata nusu haijahamia.

Takwimu za mapato ya Jiji ,Dom huwa inashindana na Ilala tuu hakuna mwingine anaikaribia.
 
We jamaa ujuhi miji mingi kiundani bali unaongea uonekane unajua, SHY unayoipita ukiwa kwenye basi si sawa na SHY utakayoifahamu ukifanya city tour, usijediriki kuilinganisha tena SHY na KHM, Kahama ni ligi ya kina njombe,makambako,mpanda n.k
Kimeumana huku Khm vs Shy
 
Hata ile stand ya Dom ni kubwa kuliko ya Magufuli ya Dar sema wameniudhi kwenye parking za magari ikijaa inatakiwa kurudi rivasi ndio iondoke,pale dizaini ilokosema ilitakiwa iende mbele ila ni stand nzuri Sana.

Afu watu wanajua kwamba Dom kinajengwa duala carriage za kuzidi,kuanzia ring road za Tanroads,hadi za Tarura kule mtumba na mjini Kati?
 
Naomba niwe mtu mwa mwisho kuchangia
Ndugu zangu tuache utani kwa kulinganisha mwanza na miji midogomidogo kama Dodoma . Shikeni hili after dsm is mwanza.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…