Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Inazidiwa na Ihungo hiyo hamna jipya hapo
Kwa empty porojo mko vizuri.By the way Ihungo iko Kagera sio Mwanza..

Dom inaendelea kutembeza kichapo kwa Mwanza,Hii ni Martin Luther School Dodoma πŸ‘‡
 

Attachments

  • EHpYS6dXkAA-M63.jpg
    79.4 KB · Views: 15
  • cb75d1eb91faedab534e21f424c0d535.jpg
    43.4 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220727-114046.png
    115.5 KB · Views: 16
Shule za Kimataifa zilizopo Dodoma .

Soma hiyoo πŸ‘‡
 

Attachments

  • FYh5wP0WIAIkJEq.jpeg
    109.9 KB · Views: 16
  • FYhCQEdXEAAOOcp.jpeg
    169.5 KB · Views: 16
  • FYhCQzAXgAAn1-2.jpeg
    175 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220727-113924.png
    230.2 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220727-113444.png
    130.3 KB · Views: 17
Mtajua hamjui.

School Dodoma πŸ‘‡
 

Attachments

  • dscn2018.jpg
    300.5 KB · Views: 16
  • 4ba63871bc2268cc271cce1235ec583c.jpg
    20.3 KB · Views: 15
  • 121803376.jpg
    43.1 KB · Views: 15
  • slide5.JPG
    53.9 KB · Views: 15
Sasa Dom kupata Maji ya uhakika kutoka Mtera πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220728-230914.png
    81.7 KB · Views: 18
Dodoma serikali ikimaliza wekeza tu ndo mwisho wake.
Mwanza watu wataendelea wekeza
Mwanza inakuwa kuliko Dodoma
 
Mwanza Inakila sababu ya kua mbele,wamwage mikeka tu ya maana kuhusu Majengo ilo wawaachie watu wa mwanza
 
Dodoma serikali ikimaliza wekeza tu ndo mwisho wake.
Mwanza watu wataendelea wekeza
Mwanza inakuwa kuliko Dodoma
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜¬πŸ˜¬ Huwa nikiona kauli za maumivu na kujikosha kama hivi huwa nacheka Sana..

Hivi Serikali inaweza maliza kuwekeza kweli? Dar pale Serikali ilishamaliza kuwekeza?

Mwisho uwekezaji wa serikali unajenga mazingira rahisi kwa wawekezaji binafsi sasa hizo lugha zingine ni kujifariji..

Kwani Mji Mkuu wa Nigeria ulishaacha kuendelea au? Viwanda vinavyojengwa Dom ni vya Serikali au? 😁😁😁😁
 
Huwa nakuona kama chizi tu kulinganisha Mwanza na vitu na hajabu, pili kinachonifurahisha unaonekana kama una mambo ya kitoto sana.
Sasa Mwanza kuna Nini hapo mkuu,wewe ndio chizi ambae unakataa Takwimu..

Kama nakutia nyundo za utosi utaachaje kuniona chizi?
 
[emoji16][emoji16] kwamba kuna utawala watu wanaenda kumyang'anya capripoint kwa nguvu!......mkuu to be honest kwa sasa moja ya sehemu tamu mwanza ni Kiseke B, na Buswelu
Unamaanisha Buswelu yote ukihusisha mpaka Busenga?
 
Kipande ile huwezi Kuta mambo kama haya,watakwambia Dodoma ni jangwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20220731-141406.png
    287.9 KB · Views: 20
Hakuna Ligi hapa kwenye mapato,Dom imechapa Mwanza mapato Kimkoa na Mapato ya Jiji.

Mwanza CC + Ilemela = 27bln VS,

Dodoma CC=45 blnπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220803-094105.png
    49 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220803-092910.png
    43.1 KB · Views: 19
Hakuna Ligi hapa kwenye mapato,Dom imechapa Mwanza mapato Kimkoa na Mapato ya Jiji.

Mwanza CC + Ilemela = 27bln VS,

Dodoma CC=45 blnπŸ‘‡
Haya ni maduhuli ndo maana kagera inaipiga gap kilimanjaro japo kilimanjaro ni centre ya utalii pia Kagera kaipiga shinyanga wakati shinyanga ni centre ya madini.Haya maduhuli hayanauhalisia wowote kwenye uchumi na uwekezaji wa mkoa husik.Haya ni maduhuli tu na wengi wafanyabiashara huwa hawalipi na ndomaana mama Samia ililalamika juzi jinsi yanavyokusanywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…