Dodoma hailazimishi kuwa namba 2 baada ya Dar bali ni namba 2 tiyari isipokuwa Mwanza ndiyo inalazimishwa iendelee kung'ang'ania kuwa namba 2 hata kama imeshakula knock out na kulia-lia kote kama watoto wa kambo akusaidii chochote serikali na sekta binafsi haziwezi kukoma kuwekeza penye potential kama Idodomya.
Dodoma ni mji wenye future promising sana achilia mbali fursa zilizopo na vibe zakutosha, hivi ni nani mwenye akili zake sawa utamshawishi asiwekeze hela zake kwenye jiji lililopangiliwa,lenye miundombinu mingi ya ulimwengu wa kwanza, huduma za msingi kuanzia ngazi ya chini hadi kitaifa, estates kali, viwanda n.k eti aache Dom aje Mwanza kushangaa ziwa.