Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwonekano wa Zizi la dodoma likiwa na mbuzi .[emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]View attachment 2524740

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa hawa jamaa wanaoforce kuiweka dom level moja na Mwanza ni vichaa tu , hizo sehem mbili hazifanani , mwanza kupo mbali sana kdg ungetaja Arusha ila kwa tz baada ya Dar hakuna sehem inaikaribia Mwanza sijui mwanza walitiboaje wkt wapo mbali na asali , NIMETEMBEA MIKOA YOTE TZ NAIJUA NJE NDANI TOFAUT NA DAR KDG ARUSHA INAEZA KAA MEZA MOJA NA MWANZA
 
Dom sio sawa na Miji yenu ya kishamba ambayo Iko congested sehemu Moja..

Dom ni Jiji la Kisasa linajengwa pande zote
pande zote zip katafute pa kujificha , dom ni level za Moro sema Moro wameifungua vioo tu kama hawaione fursa zote dom
 
Dodoma ni chafu kupindukia, jiji ambalo ni capital ya nchi mpaka leo watu wake wanajisaidia kwenye vichaka vya stand ya 77 pembezoni mwa Dodoma Sec School!!

Mitaro michafu inanuka mikojo

Stand kuu vyoo vimeziba hakuna matengenezo na vimewekewa vidumu vya mafuta ya alizeti
wengi wao hawajafika mwanza , Wakifika nyegez wanaeza pafananisha na Dom stend ya zaman ambako ni city centre hatua mbili mji umeisha
 
Umepigwa na kitu kizito kichwani Sasa unaugulia Kwa kutafuta faraja [emoji16][emoji16]
we jama unatoa wap ujasiri wa kuifananisha na hiyi takataka Dodoma hata kama ushabiki unafer muda mwingine , ebu iringanishe na Mosh kwanza
 
ukute hujafika hata mwanza , mwanza unapaona youtube tu , mwanza sio type ya dom kabisa ndio maana watu wanakupuuzia tu ukiwa nyegez nje ya mwanza city centre ni saw na dom city centre au ukiwa ghana ni sawa na dom city centre au ukiwa buzuruga ni sawa na dom city centre , kamji ka dodoma ni kadogo sa mimi nlikuwa natembea kwa mguu kuanzia nkuhungu hadi hadi mjini kisha naingia njia ya nanenane , ila huez fanya hivo huko Mwanza mji mkubwa kuanzja Buhongwa ni mji mtupu hadi natal kisha kuelekea Ilemela ni mji mtupu pia pia kuelekea igoma ni mji mtupu pia , kwa ukubwa wa mji dar na mwanza zinaelekeana maana mwanza kila sehem imejengeka sana , bunju had kariakoo ni sawa na buhongwa hadi natal na hapo katikati kuna centre kubwa ambazo mikoa mingi ni kama centre zao kubwa mf Geita , Njombe , Simiyu , Singida , kigoma , etc ni sawa na pale Nyegez tu ambako ni nje ya mji kwa mwanza , pia ukija kutoka Kongowe hadi kariakoo ni karibu ukiringanisha na kutoka Igoma hadi natal ( nazungumzia eneo lenye mji bila kupooza au vichaka ) , pia kutoka kiluvya had kariakoo ni sawa na Kutoka ilemela hadi natal , Hakuna mji mwingin uliotanuka kama Mwanza ukuzitoa Dar , Arusha ni levep moja na mwanza though Arusha vijiji vinaanza karibu kabisa na mji , Ni aibu kuifananisha Mwanza na Dom ( huu bado ni mji sio jiji kama serikali inavyolazimisha )
 
Wewe siku hizi hunaga contents umeishiwa kilichobakia ni mihemko ya chuki [emoji16][emoji16]

Mapato ya ndani unasema Tamisemi,what a desperate creature
tembea acha ubish wa kitoto zipo sehemu kibao kali sana kama upo ulaya vile mf mitaa ya malimbe imetulia hatari pia capripoint hata mbez beach/masaki yetu haina muonekano wa kisua kama kapripoint ya mwanza , Dom nimeish sio level ya Mwanza , labda kama umetumwa kudangaya umma
 
Hamna pesa za kujenga contemporary hizo ni nyumba za matajiri nyie maskini jengeni hizo za kunyanyua mapaa pitched roof houses
mkuu acha ubish , umefika mwanza kwanza ? hayo unayashangaa dom , huko mwanza yapo kitambo , mwanza kuna mitaa utahisi haupo tz , nlikuwa na akili kaa yako siku nafika mwanza nlishikwa na bumbuwazi ,Serikali yetu ndo inaiferisha mwanza ila wapo mbali sana
 
Kila siku kapicha hako hako [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji16][emoji16][emoji16].

Dom is way forward than your huge Kijiji
inabid upimwe akili unaona ila unajifanya huelew ulitaka nyumba kama ulizopost kauwekea za nje kabisa ya mji
 
We acha kuponda kitu usichokijua unadhani ni Nyegezi? Ile pale ni airport mzee nenda ukazubae upige na picha ukawaoneshe wenzio huko kijijini mabatini stendi luxury zinafananaje na siyo unatembelea stendi za vichochoroni za hiace kuja kutupigia makelele hapa hili tujue walahu maishani mwako ulishaonja utamu wa jiji kwa kufika 77 bila kupotea.
ni vichaa wataifananisha dom na mwanza kisa stend ya nane nane sijui sabasaba , mwanza ipo mbali sana , labda kama mnaipwa kudanganya umma
 
Dodoma hailazimishi kuwa namba 2 baada ya Dar bali ni namba 2 tiyari isipokuwa Mwanza ndiyo inalazimishwa iendelee kung'ang'ania kuwa namba 2 hata kama imeshakula knock out na kulia-lia kote kama watoto wa kambo akusaidii chochote serikali na sekta binafsi haziwezi kukoma kuwekeza penye potential kama Idodomya.

Dodoma ni mji wenye future promising sana achilia mbali fursa zilizopo na vibe zakutosha, hivi ni nani mwenye akili zake sawa utamshawishi asiwekeze hela zake kwenye jiji lililopangiliwa,lenye miundombinu mingi ya ulimwengu wa kwanza, huduma za msingi kuanzia ngazi ya chini hadi kitaifa, estates kali, viwanda n.k eti aache Dom aje Mwanza kushangaa ziwa.
dom hata kwa moshi na moro inakaa ila mnajitia uchiz tu
 
mkuu acha ubish , umefika mwanza kwanza ? hayo unayashangaa dom , huko mwanza yapo kitambo , mwanza kuna mitaa utahisi haupo tz , nlikuwa na akili kaa yako siku nafika mwanza nlishikwa na bumbuwazi ,Serikali yetu ndo inaiferisha mwanza ila wapo mbali sana
Nyaraka hazitakusaidia weka picha tuone kama sio maslums
 
tembea acha ubish wa kitoto zipo sehemu kibao kali sana kama upo ulaya vile mf mitaa ya malimbe imetulia hatari pia capripoint hata mbez beach/masaki yetu haina muonekano wa kisua kama kapripoint ya mwanza , Dom nimeish sio level ya Mwanza , labda kama umetumwa kudangaya umma
Ziko wapi? Onyesha picha na sisi tuzione,kwani kwenu google haifiki? 😁😁
 
Najua utakuwa unatania tu
Sina utani na wewe kajamba nani, angalia hapa hii ni mkuyuni na igogo view👇👇👇
Screenshot_20230305-114334_1678005872024.jpg
 
Back
Top Bottom