ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Moja ya kimji Cha hovyo ni Mwanza.Hivi jamani ukiacha hiyo barabara iliyojipenyeza katikati ya jangle la slums kama nyoka huku pembezoni vinjia vyote ni kama tunjia twapanya na mavumbi kushoto na kulia hivi hili ni jiji au vibandani united?
Ccm kuna viongozi wa ajabu sana ndio wametufikisha huku..
Hivi kupima viwanja watu wakajenga mabanda Yao Kuna tatizo?
2025 kura yangu itaenda Kwa mtu atakayekuja na sera za mipango Miji .