Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hivi jamani ukiacha hiyo barabara iliyojipenyeza katikati ya jangle la slums kama nyoka huku pembezoni vinjia vyote ni kama tunjia twapanya na mavumbi kushoto na kulia hivi hili ni jiji au vibandani united?
Moja ya kimji Cha hovyo ni Mwanza.

Ccm kuna viongozi wa ajabu sana ndio wametufikisha huku..

Hivi kupima viwanja watu wakajenga mabanda Yao Kuna tatizo?

2025 kura yangu itaenda Kwa mtu atakayekuja na sera za mipango Miji .
 
Tumshukuru kivipi, watu wa Dodoma ndio wamshukuru
Dodoma bado ni jiji la ovyo na lina safari ndefu, ni pazuri kuliko Arusha ila huwezi kulinganisha na Mwanza aisee, ni kama kulinganisha mbingu na ardhi [emoji38][emoji38]
Wewe mie mwenyeji wa Mwanza,huwezi linganisha Arusha na Mwanza.Mwanza kitu pekee inachoizidi Arusha ni Idadi ya watu.

Tumia hata akili ya kawaida tu ya kiuchumi1,income status ya watu wa Arusha na Mwanza ni vitu viwili tofauti-inawezekanaje Mwanza iizidi Arusha?

By the way,hata kwa sasa Dodoma inaelekea kuizidi Mwanza-haitazidi miaka 7-10 Dodoma itaizidi Mwanza & Arusha completely.
 
😀😀😀eti Dodoma ni Jiji la ovyo....alafu ndio linaongoza East and Central Africa kwa mipango miji ,master plan na kupimwa kwa zaidi ya eneo asilimia 90.
Unaongea ushabiki na hisia sio uhalisia na facts
Kitu pekee MwanzaJiji inachozidi Dodoma Jiji ni population,viwanda vya samaki +ziwa victoria(ambayo hyo ni natural factor sio man made factor😀)na biashara ya madini basi
 
Sasa project za serikali zikiisha eg. Majengo ya wizara nk na dom ndo utakuwa mwisho wake! Mwanza imejijenga na inaendelea kujijenga kwa hiyo sahau kuja kupitwa na mji wowote hapa tz ukitoa dar
 
Hyo serikali ni ya nchigani.....Burundi au Rwanda 😀😀😀
 
[emoji3][emoji3][emoji3]eti Dodoma ni Jiji la ovyo....alafu ndio linaongoza East and Central Africa kwa mipango miji ,master plan na kupimwa kwa zaidi ya eneo asilimia 90.
Unaongea ushabiki na hisia sio uhalisia na facts
Kitu pekee MwanzaJiji inachozidi Dodoma Jiji ni population,viwanda vya samaki +ziwa victoria(ambayo hyo ni natural factor sio man made factor[emoji3])na biashara ya madini basi
Huwa naimagine tu siku mwanza ikipigwa nje 6 toka usagara(misungwi) mpaka mjini na hii battle ndo itakuwa imeisha
 
Hyo serikali ni ya nchigani.....Burundi au Rwanda [emoji3][emoji3][emoji3]
Maghorofa ya dodoma mengi ni ya serikali ila mwanza mengi ni private huoni hata tofauti, ukiona sehemu inajengwa na private sector zaidi kuliko serikali obvious hiyo sehemu inakuwa bora kwa kila kitu hamna kichaa anaeweza kuinvest sehemu ya ajabu ajabu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]eti Dodoma ni Jiji la ovyo....alafu ndio linaongoza East and Central Africa kwa mipango miji ,master plan na kupimwa kwa zaidi ya eneo asilimia 90.
Unaongea ushabiki na hisia sio uhalisia na facts
Kitu pekee MwanzaJiji inachozidi Dodoma Jiji ni population,viwanda vya samaki +ziwa victoria(ambayo hyo ni natural factor sio man made factor[emoji3])na biashara ya madini basi
Mbona takwimu haziwabebi leta figure yoyote ya nbs au kokote ikionyesha dodoma Iko far above mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mie mwenyeji wa Mwanza,huwezi linganisha Arusha na Mwanza.Mwanza kitu pekee inachoizidi Arusha ni Idadi ya watu.

Tumia hata akili ya kawaida tu ya kiuchumi1,income status ya watu wa Arusha na Mwanza ni vitu viwili tofauti-inawezekanaje Mwanza iizidi Arusha?

By the way,hata kwa sasa Dodoma inaelekea kuizidi Mwanza-haitazidi miaka 7-10 Dodoma itaizidi Mwanza & Arusha completely.
Sasa kama mmezidiwa idadi ya watu jua biashara na uchumi mmezidiwa pia ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mie mwenyeji wa Mwanza,huwezi linganisha Arusha na Mwanza.Mwanza kitu pekee inachoizidi Arusha ni Idadi ya watu.

Tumia hata akili ya kawaida tu ya kiuchumi1,income status ya watu wa Arusha na Mwanza ni vitu viwili tofauti-inawezekanaje Mwanza iizidi Arusha?

By the way,hata kwa sasa Dodoma inaelekea kuizidi Mwanza-haitazidi miaka 7-10 Dodoma itaizidi Mwanza & Arusha completely.
Ebu tupishe .hili jukwaa sio la assumption..bila facts na figure hatukusikilizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mie mwenyeji wa Mwanza,huwezi linganisha Arusha na Mwanza.Mwanza kitu pekee inachoizidi Arusha ni Idadi ya watu.

Tumia hata akili ya kawaida tu ya kiuchumi1,income status ya watu wa Arusha na Mwanza ni vitu viwili tofauti-inawezekanaje Mwanza iizidi Arusha?

By the way,hata kwa sasa Dodoma inaelekea kuizidi Mwanza-haitazidi miaka 7-10 Dodoma itaizidi Mwanza & Arusha completely.
Tunaongelea infrastructures, usijifanye huelewi[emoji38][emoji38]
 
Mwanza vs Arusha
Mwanza vs dodoma
Mwanza vs nyoko
Tunataka mwanza vs Arusha+dodoma combined tumechoka na ujinga huu.
Arusha imewanyea,Dom mtaiweza Kwa lipi?

Mapato imewapiga,
Barabara imewapiga,
Mipango Miji imewapiga,
Uwanja wa ndege mkali imewapiga ,

Sasa mnaizidi nini Dom zaidi ya uswazi na umaskini?
 
😀😀😀eti Dodoma ni Jiji la ovyo....alafu ndio linaongoza East and Central Africa kwa mipango miji ,master plan na kupimwa kwa zaidi ya eneo asilimia 90.
Unaongea ushabiki na hisia sio uhalisia na facts
Kitu pekee MwanzaJiji inachozidi Dodoma Jiji ni population,viwanda vya samaki +ziwa victoria(ambayo hyo ni natural factor sio man made factor😀)na biashara ya madini basi
Usisahau Dom ndio Ina mtandao mkubwa wa Barabara za lami hata Dar haifiki.

Usisahau Dom ni second Kwa Dar Kwa mapato.
 
Ingekuwa wapi ...labda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukweli lazima usemwe, ni dhahiri pasipo na shaka kwamba miji yote miwili imepevuka kwa kiasi kikubwa kutokana na mchango wa Hayati Magufuli. Katika matamshi yake yanadhirisha hivyo: Mosi, Kwamba "Dodoma sasa uwe mji Mkuu wa Nchi"; na Mwanza utakuwa kama Ulaya.
 
Back
Top Bottom