Shangazi acha kunijambia hapa tubishane kwa hoja sio mashuziKafiri ni Baba yako aliyezaa punguani kama wewe.
Idiot.
When the devil is in trouble mambo ndo yanakuwaga hivi😆😆😆Another petty bloated entitled brat throwing tantrums.
Wewe si ndio huna hoja ulianza kuniita kafiri?Shangazi acha kunijambia hapa tubishane kwa hoja sio mashuzi
When God is in trouble mambo ndio yanakuwa hivi.When the devil is in trouble mambo ndo yanakuwaga hivi😆😆😆
Wewe kiimani ni kafiri maana huamini uwepo wa mungu wala yesu sasa shida ipo wapi hapo?Wewe si ndio huna hoja ulianza kuniita kafiri?
Kama una hoja leta.
Ukija na matusi, nitakuja nayo pia.
Si umetoka kusema Mungu hayupo??😆😆😆When God is in trouble mambo ndio yanakuwa hivi.
Kwani hapo nimekwambia yupo?Si umetoka kusema Mungu hayupo??😆😆😆
Huyo Mungu na Yesu wakiaminiwa wanafaidika nini?Wewe kiimani ni kafiri maana huamini uwepo wa mungu wala yesu sasa shida ipo wapi hapo?
Tatizo nyie Wambolostant huwa mmejiandaa kubishana hata kabla hatujajibu nyie tayari mna majibu yenu hivyo hata tulikuambia kwamba Pedro ndiye Papa wa kwanza utatubishia!Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?
Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?
Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).
Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.
Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hoja hizo mnazijibuje?
Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Utaifananisha na zile hadithi za Mwamedi? Kababu kale kalikuwaga kaongo kaongo sana!Biblia ni hekaya kama hekaya zingine.
Hiyo Church history haiondoi ukweli kwamba Biblia ni hekaya.
Yesu hajawahi kuwepo.
Hao wanaojiita mapapa ni wajanja fulani waliokaa chini kuunda dini ya ukristo kulaghai wajinga.
Waprotestanti nimewasikia kwa undani. Ila Wakatoliki sijasikia hoja zao kwa kina. Ndio sababu natafuta kusikia na kuthibitisha kutoka kwenye vinywa vyao wenyewe. Halafu kwa taarifa yako, Wakatoliki wanasema hata Mtume Petro alizikwa kwenye Kanisa lao, Vatican! Kama ni hivyo, hao si ndio wenye majibu mazuri ya maswali yangu?
Nimesikia pia kwamba baada ya Mtume Petro, Wakatoliki wanaamini kuwa Papa aliyefuata alikuwa Linus – ambaye anatajwa kama Papa wa pili (mnamo mwaka 67–76 BK).
Orodha ya Mapapa wa awali kwa mtazamo wa RC ni kama ifuatavyo:
Mtume Petro (c. 33–67)
Linus (c. 67–76)
Anacletus (au Cletus) (c. 76–88)
Clement I (c. 88–97)
Evaristus (c. 97–105)
Taarifa hizo sina uhakika nazo. Wakiniambia wenyewe na kunipa uthibitisho nitashukuru sana.
Hiv hii Biblia ninani aliyeihariri na kupangilia vitabu na kuifadhi mpaka leoHAKUNA UPAPA ALIOUACHA MTUME YEYOTE!
PAPA NI KIONGOZI WA KUZIMU ANAEWAKILISHA HUKU DUNIANI KWA KUWEKA TAWALA ZOTE ZILIZOPO BILA MAPATANO NAE HUWEZI TAWALA!!!
SASA JE PETRO ALIKUA NA MAPATANO GANI NA SERIKALI YA KIRUMI!!?
WarumiHiv hii Biblia ninani aliyeihariri na kupangilia vitabu na kuifadhi mpaka leo
Ndio akina nani hao. Au mabaki ya maganda ya vitabu vyenyewe vipo wapWarumi
Quran ni hadithi.Utaifananisha na zile hadithi za Mwamedi?
Nahitaji ushahidi wa Biblia. Tukianzia kwa Petro, ni nani aliyempa cheo cha Upapa? Wikipedia sio Biblia.
Hii ndo list ya Mapapa tangu wa kwanza hadi 266. Huhitaji kutumia nguvu. Google tu utaona. Na kanisa katoliki linajua sana kuhifadhi history yake
Unaumwa wewe! Ni Biblia gani inazungumzia upadre, uaskofu, uchungaji?Nahitaji ushahidi wa Biblia. Tukianzia kwa Petro, ni nani aliyempa cheo cha Upapa? Wikipedia sio Biblia.