Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Mara zote chakula kinachofunikwa hua ni kizuri na kitamu kuliko kilichoachwa waziUkiachana na habari za imani , ila huu utamaduni ni mzuri sana , wanawake hao wanapendeza nakuvutia sana , pia wanakua na ngozi nyororo , na wanaonekana wanajiheshimu sana kama wanawake wenye stara
Naona hivyo piaMara zote chakula kinachofunikwa hua ni kizuri na kitamu kuliko kilichoachwa wazi
Ungekuwa mzuri pale wasingefunika hadi uso kama wanavyofanya wengine wanafunika mwili wote! Kama picha hapo kwenye uzi je kwa hali hiyo ataona kwa usahihi kweli hata usiku?Ukiachana na habari za imani , ila huu utamaduni ni mzuri sana , wanawake hao wanapendeza nakuvutia sana , pia wanakua na ngozi nyororo , na wanaonekana wanajiheshimu sana kama wanawake wenye stara
Kwamba kuvaa majuba ndio kujisitiri?Ukiachana na habari za imani , ila huu utamaduni ni mzuri sana , wanawake hao wanapendeza nakuvutia sana , pia wanakua na ngozi nyororo , na wanaonekana wanajiheshimu sana kama wanawake wenye stara
Ni kutembea uchiKwamba kuvaa majuba ndio kujisitiri?
Naona vyovyote tu wapo sawaUngekuwa mzuri pale wasingefunika hadi uso kama wanavyofanya wengine wanafunika mwili wote! Kama picha hapo kwenye uzi je kwa hali hiyo ataona kwa usahihi kweli hata usiku?View attachment 3583950
Kimtazamo wako. Lakini kiuhalisia siyo sawa joto la Dar mtu avae vile si matesoNaona vyovyote tu wapo sawa
Sio kujistiriKwamba kuvaa majuba ndio kujisitiri?
Kama hawajalazimshwa sioni tatizoKimtazamo wako. Lakini kiuhalisia siyo sawa joto la Dar mtu avae vile si mateso
Maashalah....😋Kama hawajalazimshwa sioni tatizoView attachment 3583951
Akivaa hivi sidhani kuna mtu atapinga. Mimi mwenyewe ni mdau wa kujistili napenda mwanamke ajistili lakini si kufunika mwili wote si sawa.Kama hawajalazimshwa sioni tatizoView attachment 3583951
Vitu vingine huathiriwa na tamaduni za eneo husikaNdugu zetu waislamu mnaweza kutuambia kuwa hilo ni Tamko la Allah moja kwa moja kwamba wanawake wavae hijabu ya kufunika kilakitu au pengine ni hekimu ama maoni ya mtume Muhammad S.a.w pekee?
Je hii sio mila na desturi za kiarabu peke yake?
Kama ndivyo Allah alikusudia hivyo mbona huku Africa tulikuwa tunavaa ngozi na kufunika tupu pekee yake si wanawake ama wanaume?
Joto kama Dar watoto wadogo mashuleni unawakuta wamevaa nguo za namna hiyo kwenu bado iko sawa?
Tuambieni kama ni agizo la Allah tujue.View attachment 3583947
Huyu anaitwa nana doll, haka kadada karembo sana , nikiacha pombe mwaka nakaopoa😅Maashalah....😋