min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Sasa upinge mavazi ya mtu binafsi kwa sababu ganiAkivaa hivi sidhani kuna mtu atapinga. Mimi mwenyewe ni mdau wa kujistili napenda mwanamke ajistili lakini si kufunika mwili wote si sawa.
Sasa upinge mavazi ya mtu binafsi kwa sababu ganiAkivaa hivi sidhani kuna mtu atapinga. Mimi mwenyewe ni mdau wa kujistili napenda mwanamke ajistili lakini si kufunika mwili wote si sawa.
hapo ndo huwa tunawashangaa wezetu waisilam sijui hasira mnzitoa wapi. Mtu ameuliza kwa wema na najifunza wala hajaonesha kejeri.wewe unakurupuka na kumuita kafiri na povu kibao sasa inakusaidia niniMwananke anatakiwa ajistiri mwili wote kasoro uso na viganja vya mikono. Hilo buibui au jilbabu kitambaa chake hua si kizito kwa hio hata jua like kali hua halimuathiri mvaaji. Ndio maana wanawake wa kiislamu wanaojistiri miili yao inakua laini na yenye kungara tofauti na wale wasiojistiri au makafiri. Halafu nyie makafiri mbona watawa wenu huko makanisani wanavaaa nguo nzito kuliko waislamu na hamsemi
Nikiwa mkubwa nitakatafuta...😜Huyu anaitwa nana doll, haka kadada karembo sana , nikiacha pombe mwaka nakaopoa😅
Katakua kamesha zeeka😅Nikiwa mkubwa nitakatafuta...😜
Mwananke anatakiwa ajistiri mwili wote kasoro uso na viganja vya mikono. Hilo buibui au jilbabu kitambaa chake hua si kizito kwa hio hata jua like kali hua halimuathiri mvaaji. Ndio maana wanawake wa kiislamu wanaojistiri miili yao inakua laini na yenye kungara tofauti na wale wasiojistiri au makafiri. Halafu nyie makafiri mbona watawa wenu huko makanisani wanavaaa nguo nzito kuliko waislamu na hamsemi
Hahaha kwamba nashindwa mpata? Ka nana doll nakapendaga tu kanavyo jituma kimaendeleoNafurahi tu kuona ndoto za vijana!😀
Nani kasema huwezi kumpata? Kujitumaje😃Hahaha kwamba nashindwa mpata? Ka nana doll napendaga tu kanavyo jituma kimaendeleo
Kana maendeleo , huwa nakafuatilia sana😅Nani kasema huwezi kumpata? Kujitumaje😃
Basi sawaa💃🏽Kana maendeleo , huwa nakafuatilia sana😅
Unataka kusema ni kauza mbunye😅Basi sawaa💃🏽
Sikuwa naye, no offence 🤗Unataka kusema ni kauza mbunye😅
Kwa dini ya kiislamu,maelekezo ya Mungu ni kwamba wavae kwa staha,sasa kila zama wataalamu wa islamic jurisprudence yaani fikh ndio wanatafsiri staha ni kuvaajeNdugu zetu waislamu mnaweza kutuambia kuwa hilo ni Tamko la Allah moja kwa moja kwamba wanawake wavae hijabu ya kufunika kilakitu au pengine ni hekimu ama maoni ya mtume Muhammad S.a.w pekee?
Je hii sio mila na desturi za kiarabu peke yake?
Kama ndivyo Allah alikusudia hivyo mbona huku Africa tulikuwa tunavaa ngozi na kufunika tupu pekee yake si wanawake ama wanaume?
Joto kama Dar watoto wadogo mashuleni unawakuta wamevaa nguo za namna hiyo kwenu bado iko sawa?
Tuambieni kama ni agizo la Allah tujue.View attachment 3583947
Ila hata kama , kako bright sana kale kadada , kuliko kuua brand kutafunwa kwa buku 2000 ila yeye anafanya maajabu 😅Sikuwa naye, no offence 🤗
Usilogwe ukafunika nyama choma au Chips, utaharibu.Mara zote chakula kinachofunikwa hua ni kizuri na kitamu kuliko kilichoachwa wazi
WayahudiHakuna Allah, he is not real. Hizo ni story tu za Muhamad na wanaume wengine wa jangwa la Arabia ku control wanawake na mahusiano katika jamii.