Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

Sema ngozi zao zinakuwa laini kama za watoto wadogo, wanawake wetu wanapigwa Sana na jua ngozi inakuwa kama ya kenge Mpaka ajibusti na vipodozi.
Wana ngozi nzuri na ina vimanjoya kwa mbali , ukibahatika kuona hata mkono wapo laini sana
 
hapo ndo huwa tunawashangaa wezetu waisilam sijui hasira mnzitoa wapi. Mtu ameuliza kwa wema na najifunza wala hajaonesha kejeri.wewe unakurupuka na kumuita kafiri na povu kibao sasa inakusaidia nini
Hawa ndio husababisha uzi ufutwe kwa sababu hawana akili wala hekima
 
Mavazi ya kujifunika ulikuwa ni utamaduni wa wanawake wa mashariki ya kati, Iran, Afghanistan na Africa Kaskazini kitambo sana hata kabla ya Uislamu kuja. Muhamad alichokuja kuharibu ni kufanya sheria kusema ni lazima, kwamba sijui ametumwa na Allah unywele au sehemu yoyote ya mwili isionekana bila kufunikwa.

Haya hapa ni mavazi mbalimbali ya asili kabla ya Uislamu katika nchi mbalimbali.
Morroco
20260505_081307.jpg

Afghanistan
20260505_081046.jpg

Iran
20260505_080745.jpg
 
Mavazi ya kujifunika ulikuwa ni utamaduni wa wanawake wa mashariki ya kati, Iran, Afghanistan na Africa Kaskazini kitambo sana hata kabla ya Uislamu kuja. Muhamad alichokuja kuharibu ni kufanya sheria kusema ni lazima, kwamba sijui ametumwa na Allah unywele au sehemu yoyote ya mwili isionekana bila kufunikwa.

Haya hapa ni mavazi mbalimbali ya asili kabla ya Uislamu katika nchi mbalimbali.
Morroco
View attachment 3583962
Afghanistan
View attachment 3583963
Iran
View attachment 3583964
Naona tu ni mchanganyiko wa dini na tamaduni za eneo husika, ila sio vibaya pia dini wakitumia kama vazi lao husika
 
Naona tu ni mchanganyiko wa dini na tamaduni za eneo husika, ila sio vibaya pia dini wakitumia kama vazi lao husika
Sijawahi kuelewa Wamatumbi, Waha, Wasukuma, Wachaga, Wandengereko n.k hijabu, niqab na burqa zinawahusuje wakati hawajawahi kutawaliwa au kuishi na Waarabu, labda huko Zanzibar.
Screenshot_20260505-083130~2.jpg

Pia huo utamaduni huwezi kuona ubaya wake kama hakuna extremists wanaotandika wanawake wasiovaa hayo mavazi viboko mfano Afghanistan.
20260505_083108.jpg
20260505_083057.jpg
 
Sema ngozi zao zinakuwa laini kama za watoto wadogo, wanawake wetu wanapigwa Sana na jua ngozi inakuwa kama ya kenge Mpaka ajibusti na vipodozi.
Ukitaka mwanamke wako asipigwe sana na jua mnunulie gari. Nenda Zanzibar uone wanawake wanavyojikandika vipodozi. Mwanamke wa mtaani anayepigika sokoni, shambani, barabarani au baharini hata ajifunike na majuba mangapi atakuwa wa tofauti tu na anayeshinda kwenye fremu, Ofisini au mgahawani anakula chips na juice kila saa.
 
Mavazi ya kujifunika ulikuwa ni utamaduni wa wanawake wa mashariki ya kati, Iran, Afghanistan na Africa Kaskazini kitambo sana hata kabla ya Uislamu kuja. Muhamad alichokuja kuharibu ni kufanya sheria kusema ni lazima, kwamba sijui ametumwa na Allah unywele au sehemu yoyote ya mwili isionekana bila kufunikwa.

Haya hapa ni mavazi mbalimbali ya asili kabla ya Uislamu katika nchi mbalimbali.
Morroco
View attachment 3583962
Afghanistan
View attachment 3583963
Iran
View attachment 3583964
Vyema kabisa
 
Hata suti magauni na mashati haviwahusu, ni kujipendekeza tu
Sisi tumetawaliwa na Wazungu, ndio maana tunazungumza Kingereza, wanaume wanavaa suti na wanawake wanavaa sketi na blouse, magauni yanavaliwa na wanawake kote duniani.
Pia suti ni nguo universal kwa sasa kama vile kaptula ilivyo kwenye mpira ndio maana hata Misri, Uturuki, Syria, Lebanon, Tajikistan, China, Japan, Korea n.k wanavaa suti.
 
Sisi tumetawaliwa na Wazungu, ndio maana tunazungumza Kingereza, wanaume wanavaa suti na wanawake wanavaa sketi na blouse, magauni yanavaliwa na wanawake kote duniani.
Pia suti ni nguo universal kwa sasa kama vile kaptula ilivyo kwenye mpira ndio maana Hata Misri, Uturuki, Syria, Lebanon, Tajikistan, China, Japan, Korea n.k wanavaa suti.
Kote ni hivyo hivyo tu kabla hata ya wazungu waarabu na waajemi walifika pwani ya afrika mashariki
 
Ivi wanawake wa ivo wanacheat kweli,kam wale waarab kkoo huoni hata wowowo wala vidole😀
 
Ila ni kazuri , hata mimi nataka niache bia nikajikusanye nikahonge[emoji28]
Ni mzuri, na yuko upstairs, hakika Mlimani Campus haijawahi kutoa falla, sema kanichosha na mbanga za ndinga kadi fake, huwa anakwama wapii??

Wee umpe ndinga na kadi OG sasa, sio umtapeli tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom