Ndugu zetu waislamu mnaweza kutuambia kuwa hilo ni Tamko la Allah moja kwa moja kwamba wanawake wavae hijabu ya kufunika kilakitu au pengine ni hekimu ama maoni ya mtume Muhammad S.a.w pekee?
Je hii sio mila na desturi za kiarabu peke yake?
Kama ndivyo Allah alikusudia hivyo mbona huku Africa tulikuwa tunavaa ngozi na kufunika tupu pekee yake si wanawake ama wanaume?
Joto kama Dar watoto wadogo mashuleni unawakuta wamevaa nguo za namna hiyo kwenu bado iko sawa?
Tuambieni kama ni agizo la Allah tujue.
View attachment 3583947