Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

Wanavalishwa mapazia ili wasiwatege wanaume,how come wanaume hawajifuniki? Ina maana wanawake hawawezi kutamani ndefu ndefu ,suruali vinjunga wanaume wanavaa?

Ishu ya hijab haikutoka kwa Allah bali lilikuwa wazo la abubakar,kuna siku alikutana na mke wa Mohamed usiku akiwa ametoka kujisaidia nje (Hafsa). Akamwambia Mohamed atoe amri wake zake wawe wanajifunika vichwa.

Muda mchache baadaye aya ikamshukia Mohamed kwamba wanawake wawe wanafunika vichwa vyao ila sio kuvaa niqab.

Hijab pia lilikuwa vazi la kisiasa,kuna hadithi ya mr abubakar kumtandika mwanamke mtumwa viboko vingi sana baada ya kumkuta akiwa amevaa hijabu.
 
Wanawake wa kwenye biblia walikuwa wanavaa mavazi ya utamaduni wao kama ilivyo kwa wanaume pia wa huko. "Kujistiri" kila jamii za ina tafsiri yake na muono wake, tafsiri ya Mashariki ya kati haiwezi kuwa sawa na India, South Asia, Japan, Korea, China, Ulaya, Africa n.k Yani hata raia wazawa wa Ulaya na Marekani sasa hivi waliovaa nguo wamevaa kwa kujistiri kulingana na utamaduni wao.
Unajua dini kwa kiasi kikubwa ina ambatana na mila za mahala ambapo ilianzia hasa kama aliye eneza dini (Yesu/Muhamad|) aliziona ni nzuri hivyo hakuzitolea maelekezo tofauti....
 
Hamna hiyo amri.
Hizo ni tamaduni za waarabu kwa kuonea wivu wake zao.

Nchi nyingine ambazo hazifuati uislam wa arabuni hawavai hijabu.

Mfano Senegal hawavai hijabu. Wakati wa kuswali wanafunika kanga kichwa wakimaliza kuswali wanavaa mavazi ya kawaida tu....
Ahsante snaa mkuu
 
Wanavalishwa mapazia ili wasiwatege wanaume,how come wanaume hawajifuniki? Ina maana wanawake hawawezi kutamani ndefu ndefu ,suruali vinjunga wanaume wanavaa?

Ishu ya hijab haikutoka kwa Allah bali lilikuwa wazo la abubakar,kuna siku alikutana na mke wa Mohamed usiku akiwa ametoka kujisaidia nje (Hafsa). Akamwambia Mohamed atoe amri wake zake wawe wanajifunika vichwa.

Muda mchache baadaye aya ikamshukia Mohamed kwamba wanawake wawe wanafunika vichwa vyao ila sio kuvaa niqab.

Hijab pia lilikuwa vazi la kisiasa,kuna hadithi ya mr abubakar kumtandika mwanamke mtumwa viboko vingi sana baada ya kumkuta akiwa amevaa hijabu.
Asee leo nimejua mengi
 
Back
Top Bottom