Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

hapo ndo huwa tunawashangaa wezetu waisilam sijui hasira mnzitoa wapi. Mtu ameuliza kwa wema na najifunza wala hajaonesha kejeri.wewe unakurupuka na kumuita kafiri na povu kibao sasa inakusaidia nini
 
 
Kwa dini ya kiislamu,maelekezo ya Mungu ni kwamba wavae kwa staha,sasa kila zama wataalamu wa islamic jurisprudence yaani fikh ndio wanatafsiri staha ni kuvaaje
 
Hakuna Allah, he is not real. Hizo ni story tu za Muhamad na wanaume wengine wa jangwa la Arabia ku control wanawake na mahusiano katika jamii.
 
Hakuna Allah, he is not real. Hizo ni story tu za Muhamad na wanaume wengine wa jangwa la Arabia ku control wanawake na mahusiano katika jamii.
Wayahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…