Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,023
Wana ngozi nzuri na ina vimanjoya kwa mbali , ukibahatika kuona hata mkono wapo laini sanaSema ngozi zao zinakuwa laini kama za watoto wadogo, wanawake wetu wanapigwa Sana na jua ngozi inakuwa kama ya kenge Mpaka ajibusti na vipodozi.
Ni kweli kabisa lakini vp ni sawa kufunika hadi macho?Sema ngozi zao zinakuwa laini kama za watoto wadogo, wanawake wetu wanapigwa Sana na jua ngozi inakuwa kama ya kenge Mpaka ajibusti na vipodozi.
Hawa ndio husababisha uzi ufutwe kwa sababu hawana akili wala hekimahapo ndo huwa tunawashangaa wezetu waisilam sijui hasira mnzitoa wapi. Mtu ameuliza kwa wema na najifunza wala hajaonesha kejeri.wewe unakurupuka na kumuita kafiri na povu kibao sasa inakusaidia nini
Ahsante sana mkuuKwa dini ya kiislamu,maelekezo ya Mungu ni kwamba wavae kwa staha,sasa kila zama wataalamu wa islamic jurisprudence yaani fikh ndio wanatafsiri staha ni kuvaaje
Mavazi ya kujifunika ulikuwa ni utamaduni wa wanawake wa mashariki ya kati, Iran, Afghanistan na Africa Kaskazini kitambo sana hata kabla ya Uislamu kuja. Muhamad alichokuja kuharibu ni kufanya sheria kusema ni lazima, kwamba sijui ametumwa na Allah unywele au sehemu yoyote ya mwili isionekana bila kufunikwa.
Naona tu ni mchanganyiko wa dini na tamaduni za eneo husika, ila sio vibaya pia dini wakitumia kama vazi lao husikaMavazi ya kujifunika ulikuwa ni utamaduni wa wanawake wa mashariki ya kati, Iran, Afghanistan na Africa Kaskazini kitambo sana hata kabla ya Uislamu kuja. Muhamad alichokuja kuharibu ni kufanya sheria kusema ni lazima, kwamba sijui ametumwa na Allah unywele au sehemu yoyote ya mwili isionekana bila kufunikwa.
Haya hapa ni mavazi mbalimbali ya asili kabla ya Uislamu katika nchi mbalimbali.
Morroco
View attachment 3583962
Afghanistan
View attachment 3583963
Iran
View attachment 3583964
Sijawahi kuelewa Wamatumbi, Waha, Wasukuma, Wachaga, Wandengereko n.k hijabu, niqab na burqa zinawahusuje wakati hawajawahi kutawaliwa au kuishi na Waarabu, labda huko Zanzibar.Naona tu ni mchanganyiko wa dini na tamaduni za eneo husika, ila sio vibaya pia dini wakitumia kama vazi lao husika
Hata suti magauni na mashati haviwahusu, ni kujipendekeza tuSijawahi kuelewa Wamatumbi, Waha, Wasukuma, Wachaga, Wandengereko n.k hijabu, niqab na burqa zinawahusuje wakati hawajawahi kutawaliwa au kuishi na Waarabu, labda huko Zanzibar.
View attachment 3583968
Pia huo utamaduni huwezi kuona ubaya wake kama hakuna extremists wanaotandika wanawake wasiovaa hayo mavazi viboko mfano Afghanistan.
View attachment 3583966View attachment 3583967
Ukitaka mwanamke wako asipigwe sana na jua mnunulie gari. Nenda Zanzibar uone wanawake wanavyojikandika vipodozi. Mwanamke wa mtaani anayepigika sokoni, shambani, barabarani au baharini hata ajifunike na majuba mangapi atakuwa wa tofauti tu na anayeshinda kwenye fremu, Ofisini au mgahawani anakula chips na juice kila saa.Sema ngozi zao zinakuwa laini kama za watoto wadogo, wanawake wetu wanapigwa Sana na jua ngozi inakuwa kama ya kenge Mpaka ajibusti na vipodozi.
Vyema kabisaMavazi ya kujifunika ulikuwa ni utamaduni wa wanawake wa mashariki ya kati, Iran, Afghanistan na Africa Kaskazini kitambo sana hata kabla ya Uislamu kuja. Muhamad alichokuja kuharibu ni kufanya sheria kusema ni lazima, kwamba sijui ametumwa na Allah unywele au sehemu yoyote ya mwili isionekana bila kufunikwa.
Haya hapa ni mavazi mbalimbali ya asili kabla ya Uislamu katika nchi mbalimbali.
Morroco
View attachment 3583962
Afghanistan
View attachment 3583963
Iran
View attachment 3583964
Sisi tumetawaliwa na Wazungu, ndio maana tunazungumza Kingereza, wanaume wanavaa suti na wanawake wanavaa sketi na blouse, magauni yanavaliwa na wanawake kote duniani.Hata suti magauni na mashati haviwahusu, ni kujipendekeza tu
Mmatumbi kuwasema Waarabu ni maskini nikutofikiri vizuriElimu za kimasikini za Mudi hizo๐๐๐๐๐๐๐๐
Kote ni hivyo hivyo tu kabla hata ya wazungu waarabu na waajemi walifika pwani ya afrika masharikiSisi tumetawaliwa na Wazungu, ndio maana tunazungumza Kingereza, wanaume wanavaa suti na wanawake wanavaa sketi na blouse, magauni yanavaliwa na wanawake kote duniani.
Pia suti ni nguo universal kwa sasa kama vile kaptula ilivyo kwenye mpira ndio maana Hata Misri, Uturuki, Syria, Lebanon, Tajikistan, China, Japan, Korea n.k wanavaa suti.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama Allah mwenyewe alikuwa kilaza, mtume wake juha, wafuasi wake ndio akina Samia na Chande unategemea nini hapo?
Huyu si huwa anahongwa magari yenye kadi fake. LolKama hawajalazimshwa sioni tatizoView attachment 3583951
Ila ni kazuri , hata mimi nataka niache bia nikajikusanye nikahonge๐Huyu si huwa anahongwa magari yenye kadi fake. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mzuri, na yuko upstairs, hakika Mlimani Campus haijawahi kutoa falla, sema kanichosha na mbanga za ndinga kadi fake, huwa anakwama wapii??Ila ni kazuri , hata mimi nataka niache bia nikajikusanye nikahonge[emoji28]