Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

Ni mzuri, na yuko upstairs, hakika Mlimani Campus haijawahi kutoa falla, sema kanichosha na mbanga za ndinga kadi fake, huwa anakwama wapii??

Wee umpe ndinga na kadi OG sasa, sio umtapeli tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Nahonga once , naichapa natembea sina ubavu wakuweka kambi , na kupata kisukari😅😅
 
Hata hao wasiopigwa na jua kuna tofauti unaiona kati ya wanaovaa zile wanaita buibui na mitandio yaani unakuta anaonekana sura na viganja na hawa wa kwetu tulionao majumbani, Kwa uzoefu nilionao Hili nimeliona basi Nikaja na hitimisho maybe itakuwa zile nguo nyingi wanazovaa muda wote pia zinachangia, maana Kila nilifanya comparison haiingii akili...
 
Umeona ulichotaka kuona, ingia Dar es Salaam siku moja panda dalaladala na wamama wanaotoka sokoni na mafurushi yao au kununua samaki na ndoo zao waliovaa hizo hijabu na mitandio yao halafu nenda Serena, kitambaa cheupe, cape town au Kariakoo kwenye fremu uwatazame wanawake wasiovaa hijabu na mitandio ndipo uje tena tujadiliane.
 
Kingine inapaswa kufahamu ni kwamba hata wanaume wa Dar wanaoweza kula nyama na samaki wana ngozi nyororo zaidi kuliko wa mikoani😁, matajiri na viongozi pia wana ngozi nyororo zaidi kuliko masikini na wavuja jasho. Wasomali, Wamasai, Wambulu, Wanyaturu, Wapemba, Warangi n.k wana ngozi laini zaidi kuliko wengine
 
Sijui kama ulinielewa au lah!, Mimi nazungumzia sehemu ambazo zinafunikwa mara nyingi, wewe unazungumzia "exception", maybe Huna historia au uzoefu ninaousema...Huwezi kufananisha ulaini wa shingo,mikono, ngozi ya kichwa, miguu ya mtu anayevaa hayo mavazi na sehemu nyingine za mwili nk na wanawake wetu wanaojiachia wazi na kuvaa nguo nyepesi hivi sasa na unakuta ni mafuta ya Nazi ndo yanatumika, sizungumzii exception.

Wewe unaangalia exception ndio maana. Bahati nzuri au mbaya katika harakati za maisha za Kikubwa nimeona huo utofauti.
 
Walikuomba hela kwenda kununua hizo hijabu za kufunika mwili wote?si sawa kivip mwanaume mzima hovyoo toka hapa jinga wewe
Nadhani hapo ulipo umefikiria kabisa na ukapata jibu kuwa mimi sina matusi ya kutukana ovyo kama wewe.

Kati yako namimi nani mwanaume hapa? Uanaume gani wenye jaziba kwa issue hizi na nimeuliza kwa wema kabisa?

Au umesoma kuna mahali nimesema wanakera au wanaomba hela?

Bro punguza muwasho wakunaji wapo wengi mno ni staha tu
 
Shithole 🚮🚮🚮
 

Kabla ya kujadili naomba utuletee picha za baadhi ya wanawake mahiri waotajwa kwenye Biblia tuone uvaaji wao ulikuwaje mbele ya Yesu...
Mariam Magdalena
Mariam (mama yake Yakobo)
Salome, Joana nk
 
Hui ukarili wa KIARABU
 
Kabla ya kujadili naomba utuletee picha za baadhi ya wanawake mahiri waotajwa kwenye Biblia tuone uvaaji wao ulikuwaje mbele ya Yesu...
Mariam Magdalena
Mariam (mama yake Yakobo)
Salome, Joana nk
Na wewe ulete picha za wanaume mahiri waliotajwa kwenye biblia na Quran tuone uvaaji wao ulikuaje.
 
Elimu za kimasikini za Mudi hizo😂😂😂😂😂😂😂😂
Usichanganye habari
Mfano; Iran ni kati ya nchi 5 duniani ambayo raia wake wamesoma vizuri hadi Elimu ya juu....
huko Indonesia nk wapo vizuri
 
Na wewe ulete picha za wanaume mahiri waliotajwa kwenye biblia na Quran tuone uvaaji wao ulikuaje.
Nilitaka nikuoneshe kuwa, wanawake wote kwenye Biblia walikuwa wanavaa nguo za kujisitiri na wengi wao walikuwa wanajifunika kichwa (nywele)....
 
Nilitaka nikuoneshe kuwa, wanawake wote kwenye Biblia walikuwa wanavaa nguo za kujisitiri na wengi wao walikuwa wanajifunika kichwa (nywele)....
Wanawake wa kwenye biblia walikuwa wanavaa mavazi ya utamaduni wao kama ilivyo kwa wanaume pia wa huko. "Kujistiri" kila jamii za ina tafsiri yake na muono wake, tafsiri ya Mashariki ya kati haiwezi kuwa sawa na India, South Asia, Japan, Korea, China, Ulaya, Africa n.k Yani hata raia wazawa wa Ulaya na Marekani sasa hivi waliovaa nguo wamevaa kwa kujistiri kulingana na utamaduni wao.
 
Hamna hiyo amri.
Hizo ni tamaduni za waarabu kwa kuonea wivu wake zao.

Nchi nyingine ambazo hazifuati uislam wa arabuni hawavai hijabu.

Mfano Senegal hawavai hijabu. Wakati wa kuswali wanafunika kanga kichwa wakimaliza kuswali wanavaa mavazi ya kawaida tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…