Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

Wanavalishwa mapazia ili wasiwatege wanaume,how come wanaume hawajifuniki? Ina maana wanawake hawawezi kutamani ndefu ndefu ,suruali vinjunga wanaume wanavaa?

Ishu ya hijab haikutoka kwa Allah bali lilikuwa wazo la abubakar,kuna siku alikutana na mke wa Mohamed usiku akiwa ametoka kujisaidia nje (Hafsa). Akamwambia Mohamed atoe amri wake zake wawe wanajifunika vichwa.

Muda mchache baadaye aya ikamshukia Mohamed kwamba wanawake wawe wanafunika vichwa vyao ila sio kuvaa niqab.

Hijab pia lilikuwa vazi la kisiasa,kuna hadithi ya mr abubakar kumtandika mwanamke mtumwa viboko vingi sana baada ya kumkuta akiwa amevaa hijabu.
 
Unajua dini kwa kiasi kikubwa ina ambatana na mila za mahala ambapo ilianzia hasa kama aliye eneza dini (Yesu/Muhamad|) aliziona ni nzuri hivyo hakuzitolea maelekezo tofauti....
 
Ahsante snaa mkuu
 
Asee leo nimejua mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…