Hizo herufi "ty" ulimaanisha nin au ulitaka kusema "tu" kama ni kweli huo ni uandishi wako nakushauri uondoke kwa shemeji haraka kumbuka sasahivi kipindi cha corona shemeji ananywea pombe nyumbani. ahsante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote tukijiajiri dunia itakuwaje,wote tunategemeana.Hakuna aliyebora kuliko mwenzake.Wengi wanachekelea mshahara kwasababu hawajawah kujiajiri waone matunda yake.
Jaribu leo kufungua hata kijiwe cha kurepair bodaboda tu, tafta vijana 2 toka Veta wape kaz hapo. Fungua na kaduka ka spare parts ka mtaji hata wa milioni 2 tu uone
Ovyo kabisa wewe!! bila huyo mwalimu ungeweza kujua hiyo daladala imeandkwaje ili utangaze?
Na kujiari ni utwana?saa nyingine uwe na aibu. mshahara wenyewe shilingi ngapi hata wiki haifiki
piga kimya.
kuajiriwa ni utumwa na naona unaufurahia
Ni haki yao,vyovyote iwavyo.Naona walimu mmechafukwa! Mshahara wenyewe ...
Sawa Mwalimu nafahamu ni haki yenu. Ila mjitahidi kujibana ili mshahara angalau udumu kwa siku 30 na sio udumu siku 7.Ni haki yao,vyovyote iwavyo.
sjaja kwako kuomba msaada!Tuheshimiane.Hata ikidumu siku moja,ni jasho langu.Sawa Mwalimu nafahamu ni haki yenu. Ila mjitahidi kujibana ili mshahara angalau udumu kwa siku 30 na sio udumu siku 7.
Baba na mama yako hata huo ualimu wanao? acha matusi kibaka wewe
Download app za benk.Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Punguza jazba hayo ni maoni tu wala si amri. Ushauri tu unahamaki. Relaxsjaja kwako kuomba msaada!Tuheshimiane.Hata ikidumu siku moja,ni jasho langu.
anauhakika upi kuwa salary haifiki siku 30 au kwa kuwa imeshajengeka dhana kuwa walimu wanadhiki.Punguza jazba hayo ni maoni tu wala si amri. Ushauri tu unahamaki. Relax
Noble crownAnayedharau mwalimu pengine alipata maarifa kwa kutumia nguvu za giza za bibi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo rais anaingiaje? Acheni ushamba wa kumtukuza binadamu mwenzio
Wewe nani uanze kupangia matumizi wenzako?Sawa Mwalimu nafahamu ni haki yenu. Ila mjitahidi kujibana ili mshahara angalau udumu kwa siku 30 na sio udumu siku 7.
Sio rahisi kama unavotaka kutuongopea hapa, nani kakuaambia waliojariwa, hawajajiajiri pia?Wengi wanachekelea mshahara kwasababu hawajawah kujiajiri waone matunda yake.
Jaribu leo kufungua hata kijiwe cha kurepair bodaboda tu, tafta vijana 2 toka Veta wape kaz hapo. Fungua na kaduka ka spare parts ka mtaji hata wa milioni 2 tu uone