Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

Rais wa Nchi yupo Dodoma, Je ni kosa mkuu wa Mkoa kwenda Makao Makuu ya Nchi? Kama rais lazima apate taarifa kila siku za kila mkoa
Anaenda kufanya nini Dodoma wakati anasema mkoa wake ni Dar eS Salaam? Akiendaga Dodoma lazima kutokee matatizo au Mauaji.Wanafahamika waliomshambulia....Ni TISS au Usalama wa ccm/Taifa. Kazi yao hawa kupiga watu, kuteka na kuua hawajui lingine fisi hawa.
Atakuja hapa PASCHAL MAYALLA aka Njaa atasema Mbowe alijipiga na kujijeruhi mwenyewe.
 
Bashite ndo tegemeo ccm kuongoza vikosi kazi vya kuteka na kuua, ndo aliyeongoza utekaji wa studio za klauzfm, shambulizi la lissu na hili la mbowe.
 
'Atakuja hapa PASCHAL MAYALLA aka Njaa atasema Mbowe alijipiga na kujijeruhi mwenyewe." UMEUA MKUU... ETI Mr. NJAA UMEPATIA SANA.
 
Rais wa Nchi yupo Dodoma, Je ni kosa mkuu wa Mkoa kwenda Makao Makuu ya Nchi? Kama rais lazima apate taarifa kila siku za kila mkoa
Kwa hiyo Mkuu wa mkoa wa Mara naye yuko Dodoma Leo?
 
Hawa wameshaigeuza iyo ya kuvamiwa ndo sera, wananchi tumeshituka, atakaye wapa kura hakika ana maslai ya moja kwa moja nao lasihivyo hawapati kitu hapa
Chadema ze comedy
Hivi ukishakuwa mwanasiasa huwezi kuwa na ugomvi na watu wengine nje ya hii sphere hadi kila unapovamiwa, kupigwa au kufanyiwa fujo ionekane ni serikali ndo wahusika?
Nikwel mkuu

Tatizo lao kubwa Hawajui kusoma nyakati, wananchi washawachoka kwa Kiki zao za kuvamiwa kwa kisingizio Cha watu wasiojulikana
Rais wa Nchi yupo Dodoma, Je ni kosa mkuu wa Mkoa kwenda Makao Makuu ya Nchi? Kama rais lazima apate taarifa kila siku za kila mkoa
Mkienda Clubs muwe mnakunywa Pombe kistaarab kuepuka kudondoka kwenye ngazi usiku wa manane na kuvunjika Miguu kisha kusingizia Serikal
Sidhani kama anaweza kufanya kishamba namna hiyo
Inawezekana kabisa kufanya matukia kishamba hivyo. Mimi matukio yote haya naona ushamba na unajua kabisa watu fulani wanahusika. Miaka 5 sio mingi na watu wanafikishwa mbele ya sheria hata wakiwa wastaafu, mambo yanabadilika na Mungu atafichua yote.
 
'Atakuja hapa PASCHAL MAYALLA aka Njaa atasema Mbowe alijipiga na kujijeruhi mwenyewe." UMEUA MKUU... ETI Mr. NJAA UMEPATIA SANA.
Watanzania tunasahau haraka sana mambo. Mnakumbuka ule ujumbe wa Gwajima kwa wana ukoo wenzake? Ndio hayo.
 
Kwani Makonda akimtaka si anaweza kumpatia Dar, lazima amfuate East Zoo?
 
Mnazidi kumfanya aje kuwa mtu mkuuubwa Tanzania.

Baadae bro PASCAL MAYALLA aje aamshe nyuzi zake za utabiri.
 
Ujasiri wake wa kuua mende muulize Roma Mkatoliki
 
Yaan Mtu kujikwaa kwenye ngazi usiku wa manane akitoka Ulevini kuna uhusiano gani na Ccm na Jeshi
mkuu pohamba na wewe???ndo wa kuandika ujinga huu???Comrade sifurahishwi na jiwe anavofanya!anakiua chama halafu jeshi ndio linakua uhai wa chama!!!
 

Musiba nae je...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…