Je, ni kweli Samia alitengwa na Marais Wanawake kwenye Mkutano wa AU?

cha ajabu ni kwamba,
mtu makini kama wewe eti wamekupima kisaikolojia na wakaona wakuingize kwenye kundi la mamaluku malofa zaidi wa huyo muhaini kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,

hili limewashangaza wadau wengi sana wa JF wanaokufahamu
Bora kuwa kibaraka(chawa) wa mafisadi, wafiraji, watekaji na wauaji kama ulivyo wewe?
 
Mmechagua picha ambazo hayupo mkazipost hapa.
 
ukitaka usiwe mamluki lofa wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ni muhimu kuondokana mihemko ya kinyumbu na kuandika mabandiko yaliyojaa porojo na uzushi wa kutafuta tension na public sympathy, vitu ambavyo ni nonsense kabisa

Duh basi ndugu yangu Lucas Mwashambwa atakuwa ni kibaraka mkubwa

Maana maandiko yake dah ni kama hayo uliyosema hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…