Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
- Thread starter
-
- #101
Dah eti kulishwa mavi๐Usididhike sana na habari za "inasemekana", ukiridhika nazo unaweza kulishwa hata mavi.
Dah eti kulishwa mavi๐
Kiukweli mkuu mimi siwezi kuamini moja kwa moja that's why nimekuja hapa huenda nikapata wanaojua zaidi wanifunulie ukweli.
Mimi sijawahi kuangalia hivyo vikatuni kwa hiyo ni kwamba wana edit kisha wanadanganya kuwa vilitabiri?Ukishaona habari ya utabiri ina "The Simpsons" tu, ujue hapi ushachezewa shere.
I don't even waste my time.
Hakuna show ya The Simpsons inayosema Portugal atashinda World Cup 2026 au mwaka wowote.Mimi sijawahi kuangalia hivyo vikatuni kwa hiyo ni kwamba wana edit kisha wanadanganya kuwa vilitabiri?
Nimekupata.Hakuna show ya The Simpsons inayosema Portugal atashinda World Cup 2026 au mwaka wowote.
Ni ujinga wa kuedit mambo na kufanya meme mitandaoni tu.
Na unaweza kuhakiki hii habari kwa Google search moja tu.
Huyu ameshafeli atafute kazi nyingine tu
Nani alitabiri?Mbona ilishatabiliwa tangua mwanzoni mwaka ya kuwa, mshindi wa FIFA WORLD CUP 2026 ni NETHERLANDS ๐ณ๐ฑ
Mimi nilisikia eti ni mwanauchumi wa kijerumani.๐ ๐Nani alitabiri?
Hiyo inasemwa ni kama wameamua tu Portugal kuwa bingwa kwa hali yoyote na sio utabiri wa kuangalia performance.Hao Portugal wenyewe wangepata access ya kuuona huu uzi wangekushangaa mtoa mada kwa huu utabiri wako.
Timu ambayo inajikongoja na kusuasua kwenye kupata matokeo na mshambuliaji wake mzee Ronaldo ndiyo ichukue kombe la dunia!!!
Hata waibebe vipi, haiwezi kuchukua ubingwa mbele ya ma giants kama Spain, Germany, England, France, Argentina, nk.Hiyo inasemwa ni kama wameamua tu Portugal kuwa bingwa kwa hali yoyote na sio utabiri wa kuangalia performance.
Giant huenda ni yeye aliyepangwa na giants wa dunia๐คฃ๐คฃHata waibebe vipi, haiwezi kuchukua ubingwa mbele ya ma giants kama Spain, Germany, England, France, Argentina, nk.
Kusadikika maana yake ni za kuaminika ama sivyo migo?The simpson wana stori za kusadikika!
Hayo ni mawazo yako mgando. Hao The Simpsons mnawaonea tu. Ni maigizo yao ninyi mnaingiza mawazo yenu. Kabla ya Uchaguzi Mkuu uliopita wa Marekani mlisema The Simpsons wameishatabiri Rais mwanamke Marekani. Mkatuletea mchezo wao ambao Rais ni mwanamke na kavaa shanga shingoni kama Kamara Harris!Wakuu!
Siku hizi kila nikifungua mtandao nakutana na theory mpya kuhusu Portugal kupangwa kuwa mabingwa na kundi la siri.
Kuna wanaotaja ile scene ya The Simpsons katika โThe Cartridge Familyโ (Season 9, Episode 6) ya mwaka 1997 Mexico vs Portugal wakicheza fainali ya World Cup.
Wengine wanaingiza vita ya Adidas na Nike, wakisema World Cup iliyopita ilikuwa ya Messi, sasa hii ni ya Ronaldo.
Kama kweli kuna watu wamekaa mahali wakapanga Portugal awe bingwa...
๐ Ni kina nani hao?
๐ Na wanafaidika na nini?
๐ Hizi timu nyingine 47 hazijui?
๐ Kama zinajua, mbona zinaendelea kujitutumua, kutumia mabilioni na kupambana uwanjani,wakiumia na mbaya zaidi wametumia miaka 4 ya maandalizi? ๐๐๐
๐ Na kama hawajui kwa nini tusiwasanue?๐
Nauliza tu wakuu...
Sio mawazo yangu migo.Hayo ni mawazo yako mgando.
Walisema baada ya awamu hii ya Trump kuisha ndio atakuja Rais wa kike so na mimi pia nasubiri kwa hamu nione.Nikuulize leo, Rais wa Marekani ni mwanamke?
Picha linaanza Mexico mwenyewe ameshatolewa.Mexico vs Portugal