Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Moja kati ya upungufu mkubwa wa kifikra ni kuamini mtu aliekibaka kisichana cha miaka 8 kuwa ni mtume wa mwenyezi mungu.

Waislamu muondoeni mudi kwenye utume na hakika dini yenu inaweza kuwa ya haki.

Yapo maandishi yanayosema huyo bwana alitokewa na shetani, akamhadaa kwa kutumia maneno ya biblia.

Kumbuka pia hata Yesu alipokuwa amefunga kwa siku 40, shetani alimtokea, akataka kumhadaa kwa kutumia biblia.

Ikumbukwe kuwa Shetani alifukuzwa na Mungu kwa sababu alitaka na yeye aabudiwe kama anavyoabudiwa Mungu wa kweli, yaani awe na watu wanaomwomba, wanaomwabudu, na wanamjengea nyumba za ibada, kama Mungu anavyofanyiwa. Akatupwa Duniani, maadam yupo Duniani maana yake katika huo ufalme wake, atakuwa na kundi kubwa la wanaomwabudu na kumwimbia sifa. Ni nani hao wanaomwabudu na kumfuata? Sisi wanadamu siyo kazi yetu, bali sisi kazi yetu ni kutangaza utukufu wa Mungu wa kweli kadiri alivyofunuliwa kwetu na Yesu Kristo masiha na manabii wake.

Tuzidi kumwomba Mungu atujalie neema ya kumjua zaidi, kumfuata zaidi na kuishi kwa kadiri ya mapenzi yake.

Yohana 6:
49 Baba zenu walikula mana jangwani, wakafa. 50 Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni ambao mtu ye yote akiula, hatakufa. 51 Mimi ni mkate wa uzima uliotoka mbinguni. Mtu ye yote akiula mkate huu ataishi milele. Na mkate wenyewe ni mwili wangu ambao nitautoa ili watu wote ulimwenguni wapate kuishi milele.”
 
japo mie ni mkristo lakini ni kweli uislamu unashika kasi kubwa sana ulaya
 
Uislamu na freemason na illuminati ndio vitu vinavyokua kwa Kasi, mlitabiriwa ujio wenu, leo hii shetani anatumia mifumo yote kuhakikisha anawakamata Wakristo na kuwaleta kwa hayo mavitu ya jehanamu.
Hata hivyo Mkristo atakayevumilia hadi mwisho ataokoka.
 
Wanaongea bila Takwimu

Kwa ufupi, takwimu za ukuaji wa Uislamu na Ukristo katika Ulaya na Marekani ni kama ifuatavyo:

Ulaya:

Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa milioni 25, sawa na 5% ya idadi ya watu wote. Ukuaji huu unatokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.

Ukristo: Ukristo bado ni dini kubwa, ingawa idadi ya waumini inashuka kutokana na secularism na mabadiliko ya kijamii. Wakristo wanakadiriwa kuwa asilimia 70% hadi 75% ya idadi ya watu wote.

Marekani:

Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa kati ya milioni 3.5 hadi 5.0, kutokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.

Ukristo: Ukristo unaendelea kuwa dini kubwa, na Wakristo wanakadiriwa kuwa takriban 70% ya idadi ya watu wote.

Chanzo cha takwimu hizi ni makadirio ya jumla kutokana na vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utafiti wa Pew Research Center na Ofisi ya Sensa ya Marekani.
 
japo mie ni mkristo lakini ni kweli uislamu unashika kasi kubwa sana ulaya
Sisi kama wanazuoni, wanatheolojia na wachambuzi wa DINI

Tunasema NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

Kwa ufupi, takwimu za ukuaji wa Uislamu na Ukristo katika Ulaya na Marekani ni kama ifuatavyo:

Ulaya:

  • Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa milioni 25, sawa na 5% ya idadi ya watu wote. Ukuaji huu unatokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.
  • Ukristo: Ukristo bado ni dini kubwa, ingawa idadi ya waumini inashuka kutokana na secularism na mabadiliko ya kijamii. Wakristo wanakadiriwa kuwa asilimia 70% hadi 75% ya idadi ya watu wote.

Marekani:

  • Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa kati ya milioni 3.5 hadi 5.0, kutokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.
  • Ukristo: Ukristo unaendelea kuwa dini kubwa, na Wakristo wanakadiriwa kuwa takriban 70% ya idadi ya watu wote.

Chanzo cha takwimu hizi ni makadirio ya jumla kutokana na vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utafiti wa Pew Research Center na Ofisi ya Sensa ya Marekani.
 
Nimeweka na vyanzo vya Takwimu ,Bado unakuja kunishambulia

Ni lini mtakuwa na akili nyie
 
Hizo ni takwimu za sensa kwa nchi husika

Labda wale waislamu waishio Tandale watuletee ya kwao inayoonesha ukuaji mkubwa wa dini yetu tukutu huku uropa
Hawawezi kuleta ,Takwimu hiz hapa za karibuni

Kwa ufupi, takwimu za ukuaji wa Uislamu na Ukristo katika Ulaya na Marekani ni kama ifuatavyo:

Ulaya:

  • Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa milioni 25, sawa na 5% ya idadi ya watu wote. Ukuaji huu unatokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.
  • Ukristo: Ukristo bado ni dini kubwa, ingawa idadi ya waumini inashuka kutokana na secularism na mabadiliko ya kijamii. Wakristo wanakadiriwa kuwa asilimia 70% hadi 75% ya idadi ya watu wote.

Marekani:

  • Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa kati ya milioni 3.5 hadi 5.0, kutokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.
  • Ukristo: Ukristo unaendelea kuwa dini kubwa, na Wakristo wanakadiriwa kuwa takriban 70% ya idadi ya watu wote.

Chanzo cha takwimu hizi ni makadirio ya jumla kutokana na vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utafiti wa Pew Research Center na Ofisi ya Sensa ya Marekani.
 
RUHUSUNI WATU WAJENGE MAKANISA NA MUWEKE UHURU WA DINI HUKO SAUDIA NA SEHEMU NYINGINE KAMA UISLAMU HAIJAFUTIKA
 
Vitu vingine havihitaji hata ushahidi, pamoja na kuwa ameambatisha hapo, muslims ni wachache mno compared na Christians, hata sensa ya 2012 waislam walilalamika kuwa wamepunjwa idadi yao, ikabd waongezewe wakristu
 
Wachagga tulishaukataa usislam kwa nguvu zote,
 
Akili hawana hao yaani England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 chimbuko la Catholic/Christian leo hii au miaka ijayo eti waislamu wawe wengi hio ni never miaka buku
 
Akili hawana hao yaani England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 chimbuko la Catholic/Christian leo hii au miaka ijayo eti waislamu wawe wengi hio ni never miaka buku
Ukiwasikiliza wanakwambia wataibadilisha iwe Islamic State
 
Kupunguza kwa Wakristo na ushawishi wa ukiristo Ulaya kwa Kasi sana , nalo unakuzungumziaje ?
 
Hata askofu GWAJIMA alihongwa
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-11-13-57-18-40_7614e48627b7380b17b386d382d1b2ef.jpg
    117.6 KB · Views: 3
Itazame dunia ya miaka 100 ijayo...
Yako mambo huwezi ambiwa na west media
 
Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa Big November crusade hasa pale viwanja vya jangwani na watu walikuwa wanajaa hatari na wanakuja wenyewe kwa magari kwa kulipa nauli na wengine wa karibu kuja wenyewe kwa miguu na walikuwa wengi sana kiasi kwamba huoni hata pa kutemea mate but now utamuona mtu na kispika chake sokoni au stand ya bus na watu wala hawana habari nae sasa nashindwa kuelewa nn kimetokea
 
26% ni zaidi ya robo, waislam wazungu marekani
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-11-16-42-12-584.jpg
    242.1 KB · Views: 2
Kama shetani anakana utatu wa Mungu basi huyo shetani anapaswa kufuatwa,maana hiyo biblia haieleweki ikiwa yesu ni Mungu au mwana wa Mungu au vyote,nyie wenyewe mnatifautiana katika hilo
 
Hakuna mtu duniani ameandika vizuri kuhusu hiyo topic kama Salim Boss
Kama unataka kujadili suala hili kiuhalisia tafuta hii nondo uisome "They are either extremely smart, or extremely ignorant"
Kipo na cha kiswahili chake "Wao, aidha ni Werevu mno, au Wajinga mno"
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…