Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Sisi kama wanazuoni, wanatheolojia na wachambuzi wa DINI

Tunasema NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK

Kwa ufupi, takwimu za ukuaji wa Uislamu na Ukristo katika Ulaya na Marekani ni kama ifuatavyo:

Ulaya:

  • Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa milioni 25, sawa na 5% ya idadi ya watu wote. Ukuaji huu unatokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.
  • Ukristo: Ukristo bado ni dini kubwa, ingawa idadi ya waumini inashuka kutokana na secularism na mabadiliko ya kijamii. Wakristo wanakadiriwa kuwa asilimia 70% hadi 75% ya idadi ya watu wote.

Marekani:

  • Uislamu: Idadi ya Waislamu inakadiriwa kuwa kati ya milioni 3.5 hadi 5.0, kutokana na uhamiaji na mabadiliko ya kidini.
  • Ukristo: Ukristo unaendelea kuwa dini kubwa, na Wakristo wanakadiriwa kuwa takriban 70% ya idadi ya watu wote.

Chanzo cha takwimu hizi ni makadirio ya jumla kutokana na vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utafiti wa Pew Research Center na Ofisi ya Sensa ya Marekani.
We jamaa empty sana kichwani,hapo umetoa takwimu za ukuaji au umetoa takwimu za dini?!..kukua ni kutoka hatua moja kwenda nyingine,kama saudia hapakua na mkristu miaka kumi iliyopita na leo wapo mia,hapo inakua ukristu unakua saudia,kwa uingereza, ukristu unapoteza wafuasi,wengi wanakua aidha hawana dini au waislam,muwe mnaenda shule
 
Akili hawana hao yaani England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 chimbuko la Catholic/Christian leo hii au miaka ijayo eti waislamu wawe wengi hio ni never miaka buku
Uturuki,syria, misri zilikua nchi za kikristo,leo tofauti
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-11-16-52-14-557.jpg
    Screenshot_2025-02-11-16-52-14-557.jpg
    378 KB · Views: 3
We jamaa empty sana kichwani,hapo umetoa takwimu za ukuaji au umetoa takwimu za dini?!..kukua ni kutoka hatua moja kwenda nyingine,kama saudia hapakua na mkristu miaka kumi iliyopita na leo wapo mia,hapo inakua ukristu unakua saudia,kwa uingereza, ukristu unapoteza wafuasi,wengi wanakua aidha hawana dini au waislam,muwe mnaenda shule
Acha kupayuka ,Uislamu Unakua kwa kuzaliana

Unadhani nchi za kiislamu wangeruhusu makanisa na uhuru wa dini ,Leo uislamu ungekuwepo
 
Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu

Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi

Wakristo wana hofu wakisikia hivyo

Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani kuutumia uongo kwa maslahi ya dini au kunusuru jambo. Wapo tayari kuhonga hata waandishi wa habari kueneza propoganda zao, hata kweye kombe la dunia la Qatar walijipanga kueneza propoganda ya kuonesha ubora wa Uislam na kusilimisha watu public na kurusha kwenye media kwamba Uislam ni dini ya haki na amani na kwamba watu wanauingia kwa wingi. Target yao kubwa ni wazungu, wanafikiri wazungu wakiwa Waislam basi uislam utatukuka. Na ndio maana mzungu akisilimu wanafurahi sana na kurusha hizo habari kwenye media. Na kweli wamewapata baadhi ya wazungu wajinga na kuwasilimisha hasa kwa ndoa.

Sikia sasa uongo wao

Bilashaka ulishawahi sikia kwenye vyombo vya habari kwamba Uislam utatawala ulaya ifikapo 2050, eti kwamba kila siku wazungu wanaugeikia Uislamu na kufanya idadi kubwa ya Waislam Ulaya na Marekani. Huu ni Uzushi Mtakatifu.

Waislam wengi kwa upande wa Ulaya na Marekani ni wahamiaji na vizalia. Wanaosilimu ni idadi ndogo tu. Moja ya program yao ni kuoa wazungu ili wapate uzao wa kislamu, kwa njia hii wamefanikiwa kuliko ya kusilimisha.

Idadi ya Waislam katika Uingereza na Marekani

Uingereza

Kwa mujibu wa sensa ya 2021 ambayo idadi yake ya watu ni milioni 67.5, Waislam ni milioni 3.6 na hapo umejumlisha hadi nchi ya Wales. Hivyo Waislam wanaunda jumla ya 6.4% katika idadi hiyo ya Waingereza na Wales. Hii ni kwa mujibu wa gazeti la The Guardian hapo chini.

Marekani

Marekani ina Waislam milioni 3.45 kati ya Wamarekani milioni 331. Hivyo Waislam wanaunda 1.1% ya idadi ya Wamarekani wote. Na idadi hii ya Waislamu wengi ni ya wahamiaji [migrants]. Angalia ushahidi chini

Sasa huo ukuaji wa Waislamu ndani ya Marekani na Ulaya ndio uje ubadilishe nchi hizo kwa miaka 25 ijayo yaani 2050?

Hivyo dini ya kislamu imejaa propoganda, na tambua propoganda ni mbinu ya kijasusi ya kumfanya adui yako akuogope au akuhofie. Hivyo kwa njia ya propoganda hii wengi wameogopa.

Hivyo hata idadi kubwa ya Waislam ina hesabiwa hadi watoto wadogo wanaozaliwa kwahiyo wanaonekana kama ni wengi. Wakristo kuondoa Waroma na waprotestant wachache hawahesabu watoto kwenye idadi ya Wakristo bali waliobatizwa tu. Sahivi wakristo ni zaidi ya bilioni 2, je wakihesabu watoto itakuaje?

Itoshe tu kusema Uislam ni dini ya Taqiya na hauwezi simama bila propoganda na nguvu. Siku wakiachia uhuru wa dini katika nchi zao, wategemee idadi kubwa kubatizwa na kuacha Uislam. Na hilo hawataki. Hivyo sharti uhuru wa dini uminywe. Na Agizo la mtume wao ni hili,

Mwenye kubadili dini yake ya kiislamu, MUUENI". Angalia - (A) Bhukari 6922, Abu Dawuwd 4329, At - Tirmidhiy 1483
Uislamu unakua lakini ambao ni waislamu wapo katika daraja la chini la uchumi. Ujerumani utawakuta ni madereva taksi, wauza kebab au wamiliki wa migahawa midogo midogo. Ukiona mturuki ana cheo au ana ofisi nzuri na maisha mazuri jua huyo kashabadili dini. Waturuki, Wa-Iran, Wa-Syria Wa-lebanon na Wa-Iraq wengi waliotoboa ninaonana nao kanisani kila jumapili wameshabadili dini. Nikikaa na kuwachunguza wanasema tu matendo ya dini yao hayaishiki katika kizazi cha leo. Maana hao wenyewe waarabu walikuwa wanabaguana katika uislamu lakini baaada ya kujiunga na ukristo wamekuwa wamoja. Kiufupi hao niliowaodhoresha hapo juu hawaishi pamoja na hawa- aminiani katika uislamu.
 
Uturuki lilikua taifa la kikristo kabla ya kusilimu,hata syria,maana ukristu hata papa hawezi uelezea,haueleweki
Hujui historia ww ,hujui kwanini Leo hizo nchi Zina waislamu ,hakuna aliyesilimishwa hapo ,

Uislamu ulienea katika Uturuki na Syria kutokana na ushindi wa kijeshi wa Waarabu Waislamu katika karne ya 7, waliotwaa maeneo hayo kutoka kwa Dola ya Byzantine. Vita kama vile Vita vya Yarmouk (636) vilisababisha kuanguka kwa utawala wa Kikristo huko Syria, huku Uislamu ukianza kutawala. Baadaye, Waturuki Waislamu wa Kiseljuki na Uthmani walishinda Byzantines, wakiteka Konstantinopoli mwaka 1453 na kuifanya kuwa mji wa Kiislamu. Kupitia vita, uhamiaji, na sera za tawala mpya, idadi ya Waislamu iliongezeka, huku Ukristo ukipungua polepole kwa karne nyingi.
 
Acha kupayuka ,Uislamu Unakua kwa kuzaliana

Unadhani nchi za kiislamu wangeruhusu makanisa na uhuru wa dini ,Leo uislamu ungekuwepo

Acha kupayuka ,Uislamu Unakua kwa kuzaliana

Unadhani nchi za kiislamu wangeruhusu makanisa na uhuru wa dini ,Leo uislamu ungekuwepo
Wewe huwa poyoyo,na utakua mlokole tu,maana mna mihemko bila akili
Quran 5:5 mtume aliishi na wakristu na wayahudi bila shida, palikua na ukristu makkah na madina kabla ya uislam,ukootezwa na uislam,arabuni kote kuna makanisa mpaka Iran huko,mtu akiujua uislam hawezi toka akaabudu imani haieleweki kama ya kikristo
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-11-17-05-35-486.jpg
    Screenshot_2025-02-11-17-05-35-486.jpg
    250 KB · Views: 2
Hujui historia ww ,hujui kwanini Leo hizo nchi Zina waislamu ,hakuna aliyesilimishwa hapo ,

Uislamu ulienea katika Uturuki na Syria kutokana na ushindi wa kijeshi wa Waarabu Waislamu katika karne ya 7, waliotwaa maeneo hayo kutoka kwa Dola ya Byzantine. Vita kama vile Vita vya Yarmouk (636) vilisababisha kuanguka kwa utawala wa Kikristo huko Syria, huku Uislamu ukianza kutawala. Baadaye, Waturuki Waislamu wa Kiseljuki na Uthmani walishinda Byzantines, wakiteka Konstantinopoli mwaka 1453 na kuifanya kuwa mji wa Kiislamu. Kupitia vita, uhamiaji, na sera za tawala mpya, idadi ya Waislamu iliongezeka, huku Ukristo ukipungua polepole kwa karne nyingi.
Au siyo!!
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-11-17-12-13-450.jpg
    Screenshot_2025-02-11-17-12-13-450.jpg
    251.5 KB · Views: 3
Wewe huwa poyoyo,na utakua mlokole tu,maana mna mihemko bila akili
Quran 5:5 mtume aliishi na wakristu na wayahudi bila shida, palikua na ukristu makkah na madina kabla ya uislam,ukootezwa na uislam,arabuni kote kuna makanisa mpaka Iran huko,mtu akiujua uislam hawezi toka akaabudu imani haieleweki kama ya kikristo
WEWE HUIJUI QURANI KABISA

Qur'an 5:51
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki wa dhati. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na atakayewafanya marafiki miongoni mwenu, basi hakika yeye ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu madhalimu."

Qur'an 9:29
"Piganeni na wale wasioamini katika Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharamishi alivyoharamisha Mwenyezi Mungu na Mtume wake, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa wale waliopewa Kitabu, mpaka watoe jizya kwa kufedheheshwa."

Qur'an 2:120
"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na ukiwafuata matamanio yao baada ya ujuzi uliokufikia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu."

Hadithi Kuhusu Wayahudi na Wakristo

Mtume Muhammad ﷺ alisema:
"Siku ya Kiyama haitakuja mpaka Waislamu wapigane na Mayahudi, na jiwe litasema: Ewe Muislamu! Huyu ni Myahudi yuko nyuma yangu, njoo umuue."

(Sahih Muslim 2922)Hadithi
Mtume ﷺ alisema:
"Tofautianeni na Wayahudi na Wakristo..."

(Sahih Bukhari na Muslim)
 
Au siyo!!
Wakati wenzako tunaenda shule ,wewe ulikuwa madrasaa unapiga DUFU

Historia haingopi,Uislamu ulienea Uturuki kwa upanga ,nitakupa historia

Uislamu ulienea Uturuki kupitia hatua hizi kuu:

1. Uvamizi wa Waarabu wa Kiislamu (Karne ya 7-8) – Waarabu Waislamu walijaribu kuvamia Anatolia kutoka Dola ya Byzantine lakini hawakufanikiwa kabisa.

2. Uhamaji wa Waturuki wa Kiseljuki (Karne ya 11) – Baada ya Vita vya Manzikert (1071), Waturuki wa Kiseljuki walishinda Bizanti na kuanzisha utawala wa Kiislamu katika Anatolia.

3. Utawala wa Milki ya Kiseljuki ya Rumi (Karne ya 11-13) – Waturuki wa Kiseljuki walieneza Uislamu kwa kujenga misikiti, madrasa, na kuhimiza sheria za Kiislamu.

4. Kuibuka kwa Milki ya Kiosmani (Karne ya 13-20) – Milki ya Kiosmani ilieneza Uislamu kwa kufanikisha ushindi wa Constantinople (1453) na kuifanya dola ya Kiislamu.

5. Kuanguka kwa Milki ya Kiosmani na Uislamu wa Kisasa (1924 - Sasa) – Baada ya Uturuki kuwa taifa la kisasa chini ya Mustafa Kemal Atatürk, Uislamu uliendelea kuwa dini kuu licha ya sera za kisekula.

Leo, takriban 99% ya Waturuki ni Waislamu.
 
Jamaa utaumia sana , tatizo la ulaya wameufanya uislamu kama identity .Nitakupa baadhi ya mifano !

Sitetei uislamu kwa vile mimi ni muislamu lakini wenzenu uislamu waliupa identity kuliko dini zote kwa sababu ikitokea mtu akifanya kosa au jambo lolote nchi hizo za ulaya basi kama ni muislamu atatajwa kwa kuunganisha mpaka jina lake : kijana wa kiislamu kafanya kosa fulani ila mkristo hana identity atatajwa jina lake tupu kama ni Donald , whitney basi .

Hii ilipelekea uislamu kupata identity na watu kuufuatilia kwa sana , Times squre mwaka 2024 iliswaliwa taraweh hii inaonesha kukua kwa uislamu kwa kiwanga cha juu hata wazungu wanajua hilo ...Uislamu unasambaa kwa kasi wana majimbo huko ulaya mpaka wamegeuza sehemu za starehe kuwa misikiti .

Hakuna media ya kueneza propaganda za uislamu .
 
Uislamu na freemason na illuminati ndio vitu vinavyokua kwa Kasi, mlitabiriwa ujio wenu, leo hii shetani anatumia mifumo yote kuhakikisha anawakamata Wakristo na kuwaleta kwa hayo mavitu ya jehanamu.
Hata hivyo Mkristo atakayevumilia hadi mwisho ataokoka.
😀 😀 😀
 
Nacheka, yaani dini zinatufanya tugombane hovyo namna hii. Hii ni namna gani tulivyo na shida. Hii ngozi hii mmh.
 
Wakati wenzako tunaenda shule ,wewe ulikuwa madrasaa unapiga DUFU

Historia haingopi,Uislamu ulienea Uturuki kwa upanga ,nitakupa historia

Uislamu ulienea Uturuki kupitia hatua hizi kuu:

1. Uvamizi wa Waarabu wa Kiislamu (Karne ya 7-8) – Waarabu Waislamu walijaribu kuvamia Anatolia kutoka Dola ya Byzantine lakini hawakufanikiwa kabisa.

2. Uhamaji wa Waturuki wa Kiseljuki (Karne ya 11) – Baada ya Vita vya Manzikert (1071), Waturuki wa Kiseljuki walishinda Bizanti na kuanzisha utawala wa Kiislamu katika Anatolia.

3. Utawala wa Milki ya Kiseljuki ya Rumi (Karne ya 11-13) – Waturuki wa Kiseljuki walieneza Uislamu kwa kujenga misikiti, madrasa, na kuhimiza sheria za Kiislamu.

4. Kuibuka kwa Milki ya Kiosmani (Karne ya 13-20) – Milki ya Kiosmani ilieneza Uislamu kwa kufanikisha ushindi wa Constantinople (1453) na kuifanya dola ya Kiislamu.

5. Kuanguka kwa Milki ya Kiosmani na Uislamu wa Kisasa (1924 - Sasa) – Baada ya Uturuki kuwa taifa la kisasa chini ya Mustafa Kemal Atatürk, Uislamu uliendelea kuwa dini kuu licha ya sera za kisekula.

Leo, takriban 99% ya Waturuki ni Waislamu.
Naona umepaniki,kwenu hakuna kunguni anayenifikia kielimu hata akili, maana ungekua na akili usingeabudu mtu aliyekatwa govi na ngariba
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-11-17-12-13-450.jpg
    Screenshot_2025-02-11-17-12-13-450.jpg
    251.5 KB · Views: 3
Mimi naleta historia wewe unaleta sijui nini unaokota tu

Siunaona naweka historia ,

Shida waislamu hamna elimu, hamjui historia
Historia aliandika bibi yako!?..ni kweli hujui hicho nilichokiweka kimetoka wapi,au unataka historia inayokufurahisha?
 
WEWE HUIJUI QURANI KABISA

Qur'an 5:51
"Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa marafiki wa dhati. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na atakayewafanya marafiki miongoni mwenu, basi hakika yeye ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongozi watu madhalimu."

Qur'an 9:29
"Piganeni na wale wasioamini katika Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharamishi alivyoharamisha Mwenyezi Mungu na Mtume wake, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa wale waliopewa Kitabu, mpaka watoe jizya kwa kufedheheshwa."

Qur'an 2:120
"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na ukiwafuata matamanio yao baada ya ujuzi uliokufikia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu."

Hadithi Kuhusu Wayahudi na Wakristo

Mtume Muhammad ﷺ alisema:
"Siku ya Kiyama haitakuja mpaka Waislamu wapigane na Mayahudi, na jiwe litasema: Ewe Muislamu! Huyu ni Myahudi yuko nyuma yangu, njoo umuue."

(Sahih Muslim 2922)Hadithi
Mtume ﷺ alisema:
"Tofautianeni na Wayahudi na Wakristo..."

(Sahih Bukhari na Muslim)
Unaona fuvu lako lilivyojaza uji wa ulezi badala ya ubongo!!..ulidai arabuni serikali haziruhusu wakristu bila hivyo ukristu ungekua na wafuasi wengi,nimekuwekea aya inaonesha mtume aliishi na wakristu lakini bado ukristu ulipotea,unakuja kuweka aya zinazoonesha kweli wakristu walikuwepo chini ya dola ya mtume ukidhani unanikosoa,we ni mbumbumbu na uwezo wa kuchanganua mambo mdogo
 
japo mie ni mkristo lakini ni kweli uislamu unashika kasi kubwa sana ulaya
There you are!

Kawaida yenu unavutia upande fulani huku ukijitoa kimtindo na hii yote ni kukosa kujiamini,kwanini hamuwezi kujiamini nje ya kudanganya?
IMG_20250211_192453.jpg

Unaikataa dini uwongo kwanini?umeuthibitishia umma wa Jamiiforums kuhusu TAQIYA “propaganda za kueneza dini” nikimnukuu mleta mada,kuwa Mkristo ni neema usijipachike kitu hukubarikiwa nacho.
 
Unaona fuvu lako lilivyojaza uji wa ulezi badala ya ubongo!!..ulidai arabuni serikali haziruhusu wakristu bila hivyo ukristu ungekua na wafuasi wengi,nimekuwekea aya inaonesha mtume aliishi na wakristu lakini bado ukristu ulipotea,unakuja kuweka aya zinazoonesha kweli wakristu walikuwepo chini ya dola ya mtume ukidhani unanikosoa,we ni mbumbumbu na uwezo wa kuchanganua mambo mdogo
Acha KULIALIA hapa ,

Ni kitabu chako chenye chuki ya kuwaua WASIO waislamu kwa kuwahofia

Back
Top Bottom