Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Nafikiri kama kuna jambo ambalo nchi za kislam wanatakiwa waogope na wazinduke mapema ni kuona uislam unakuwa implemented ktk nchi za ulaya na USA...
Mpango wa wazungu ni kuuweka uislam ktk sura tofaut, hivi karibuni utasikia kuna uislam wa Europe na USA, ambao utakuwa na sura chafu duniani...
Twende mbele turudi nyuma mzungu si mpuuzi kama sisi waafrika, wapo mbele ya muda sana. Kwa akili za kiafrika unaweza kuona wanafanya jambo kukusaidia ila ndio wanakuzika...
NB: Nilipo andika nchi za kislam ni nchi za kiarabu, sisi waafrika weusi uislam tunaulazimisha tu we know nothing... Ndiyo maana waarabu hadi kesho hawaamini kama uislam upo kwa ngozi nyeusi...
 
Ongezeko la waislam Ulaya na Amerika linatokana na ongezeko la wahamiaji waarabu na wakimbizi kutoka nchi za kiarabu, na wala halitokani na wazungu au wakristo kusilimu.

Na kadiri siku zinavyoenda huenda idadi hiyo ya waislam ikapungua zaidi kwa sababu mataifa mengi ya Ulaya na America yameanza kuweka sheria kali za wahamiaji, hasa wale wa kutoka nchi za kiarabu kutokana na hofu ya kiusalama.
Una maanisha hakuna waarabu wakristo na wala hakuna wazungu waislam..na hakuna wazungu wanaosilimu?
 
UNAPANIKI HUKU unalia ,kwanini Sasa Mtu akisema anahama Uislamu mnamtishia kufa?

MTU ALIYEACHA UISLAM ANAITWA JINA LA MURTADI USHAHIDI HUU HAPA NA HUYU MURTADI ANAPEWA SIKU TATU ARUDI KWA UISLAM KWENYE NCHI ZINAZOONGOZWA NA DOLA YA KIISLAM ASIPORUDI ANAKATWA KICHWA NA HAZIKWI WALA HAFANYIWI IBADA WALA HATARITHIWA NA YEYOTE KATIKA FAMILIA YAKE UKRASA 893 MIN HAJIR MUSLIM

Murtadi ni Mtu aliyeiacha dini ya Uislam na kwenda Dini zingine kama Vile Ukristo,Uyahudi au hakujiunga na dini yoyote kama Vile Upagani, Mkomunisti akiwa na akili timamu Kwa hiyari yake

Hukumu yake

Hukumu ya murtadi atatakiwa arudi kwenye dini ya Uislam Kwa siku tatu, asiporudi atauliwa Kwa upanga,hii ni adhabu Kwa kauli ya Mtume


" Mwenye kuacha dini yake Muueni"Bukhar

Si halali kumwaga damu ya Mtu mwislam ispokuwa Kwa sababu ya moja ya matatu mzinifu muhsani ,Nafsi Kwa kuuawa Kwa mwenye kuhama dini yake ya Uislam,na kufarakiana na Umoja waislam. Imepokewa na Sanai, Ibn Majah na Abu Dawud

عَنْ ابْنِ مَسْعُودٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "لَا يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ [ يشهد أن لا إله إلا الله، وأني رسول الله] إلَّا بِإِحْدَى ثَلَاثٍ: الثَّيِّبُ الزَّانِي، وَالنَّفْسُ بِالنَّفْسِ، وَالتَّارِكُ لِدِينِهِ الْمُفَارِقُ لِلْجَمَاعَةِ".
[رَوَاهُ الْبُخَارِيُّ] ، [وَمُسْلِمٌ]

Kwa mapokezi ya Ibn Masood (Mwenyezi Mungu apendezwe naye) ambaye alisema

Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alisema, "Hairuhusiwi kumwaga damu ya Mwislamu isipokuwa katika [visa] vitatu: mtu aliyeoa ambaye anafanya uzinzi, aliyepoteza maisha ya mwingine (kuua), na anayeacha dini yake na kujitenga na jamaa. "[Al-Bukhari] [Muslim]
Hoja ya msingi ishashindikana sasa, umeelewa maana yake,any way,murtad ni lugha ya kiarabu, Quran imeteremka kwa kiarabu burbur,na Quran haikusema mtu akiacha uislam auawe, imesema wazi hakuna kulazimishana katika dini, kwani ukweli umejitenga na uwongo,hayo uliyoweka hapo ni vurugu tu zisizo kichwa wala miguu
 
Acha KULIALIA hapa ,

Ni kitabu chako chenye chuki ya kuwaua WASIO waislamu kwa kuwahofia


Qur'an 9:29
"Piganeni na wale wasioamini katika Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharamishi alivyoharamisha Mwenyezi Mungu na Mtume wake, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa wale waliopewa Kitabu, mpaka watoe jizya kwa kufedheheshwa."
Mosi,kama nilivyokuambia,uwezo wa kuchanganua mambo mdogo,piganeni na wapigeni ni maneno mawili tofauti, piganeni maana yake anakupiga unampiga,sasa wanakupiga vita halafu wamegoma kulipa kodi serikalini,watazamwe tu!?..huo ni uhaini,mtapigwa mchakae,jizya ni kodi,washirikina,wayahudi na wakristu hapo wamedinda kulipa kodi,sharti wapigwe
 
Kweli wewe ni semi illiterate fellow with hatred of Islam unapinga hoja bila kuleta ushahidi wa kupinga hiyo mada zaidi ya kuandika hisia zako tu, chuki zako dhidi ya Uislamu huwezi kuzuia uenezi wa uislamu katika ulimwengu wote achana na Ulaya hata China Korea Japan nk.
hakuna chuki, acheni kudanganya uislam unakua ulaya na amerika wakati ndio kwanza unakufa duniani. Angalia saudi arabia ulikoanzia uislam nchi imeanza kuachana na uislam na kukumbatia umagharibi
 
Hoja ya msingi ishashindikana sasa, umeelewa maana yake,any way,murtad ni lugha ya kiarabu, Quran imeteremka kwa kiarabu burbur,na Quran haikusema mtu akiacha uislam auawe, imesema wazi hakuna kulazimishana katika dini, kwani ukweli umejitenga na uwongo,hayo uliyoweka hapo ni vurugu tu zisizo kichwa wala miguu

Unakana hadithi na Quran?
Kwahiyo unadhani hivi vitabu na hizo Hadith tumeandika Wakristo?

Hukumu ya Murtadi ni kifo ,

Wewe Bado uislamu huujui

FB_IMG_1739301348550.jpg
 
hakuna chuki, acheni kudanganya uislam unakua ulaya na amerika wakati ndio kwanza unakufa duniani. Angalia saudi arabia ulikoanzia uislam nchi imeanza kuachana na uislam na kukumbatia umagharibi
Hawa wanadanganyana sana , Uislamu huko Saudia na nchi za kiarabu ,Unaenda kufanywa uwe kama geresha tu

Papa na viongozi wa juu wa uislamu wanafanya vikao ,wanagonga glass za wine ,
Screenshot_20250210-235811_1.jpg
 
Katika reversible/irreversible reactions lazima kwenye input kuwe na enzymes inayospeed up rate of chemicals reactions..Kwa hio duniani sio makazi.,..unatakiwa ujue waislam wanatakiwa kuongezeka ulaya ili kupatikane jamii kubwa ya watu wanaoichukia Israel ili vita ya Gogu na Harmagedon zipate wapiganaji...
 
Kuwepo na kuongezeka waislam Hilo unatakiwa umwachie MUNGU Tumewakuta na tutawaacha Ila wewe kama kijana unatakiwa ujue ni nini hatma yako..What if Jesus akarudi Leo...Utakuwa kondoo au mbuzi??? Utakuwa Ngano au magugu??? Utachaguliwa au utaachwa???Same applied na what if Mimi au wewe tukafa Leo tutakwenda wapi???? Tutakwenda Kwa tajiri au Kwa Lazaro??
 
Katika reversible/irreversible reactions lazima kwenye input kuwe na enzymes inayospeed up rate of chemicals reactions..Kwa hio duniani sio makazi.,..unatakiwa ujue waislam wanatakiwa kuongezeka ulaya ili kupatikane jamii kubwa ya watu wanaoichukia Israel ili vita ya Gogu na Harmagedon zipate wapiganaji...
Sitaki kusikia kemia 😂😂

Na mparasinge upo kigambn hii hii majirani kabisa 🤔
 
Kukua wakati wanaacha kukimbilia nchi zao za kiislamu wanakimbilia marekani na Uingereza na kurundikana huko
Shangaa hata wewe, sahizi walitakiwa wawe wamejaza Gaza huko ! Lakini wanaupiga mwingi Kwa makafiri😂
 
Back
Top Bottom