Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?


Umeoa huko lazima, usiumie ukaanza ugomvi na watoto. Haya ni mambo ya jf tu
 
Hao Wanyaru usiwaamini saana, pata mtu wa Kagera Hasa Karagwe utapata data sahihi.
Akija mgeni akwambie ni binamu mjomba sijui babu chunga saana.
Ila kuna wengine waaminifu.
Ila wanafuatilia na kufuatiliwa toka kwao Rwanda.
Unaweza kuwa stepingstone ya wao kuvuka.
Waliozaliwa Bkb wakasoma hadi UDSM sasa hivi ni mawaziri na watu wakubwa Rwanda.
Kuna mifano hai, hivyo kama una mahusiano chunga saana.
Ubarikiwe!!
 
Acha uongo.Hata mimi nimeishi nao na nilishuhudia mengi.Usaliti na kuchepuka ni jadi ya binadamu wote.
 
Lakini tumeambiwa Sikh hizi Tanzania tumeongeza makabila mawili, wahutu na watutsi. Naomba nijiondoe katika mjadala Wa hao wawili humu JF. Kwaherini, tifuaneni ila uzuri Tz no kubwa hamtauana ila mnawakera wenye nchi ya wakufikia.
Acha uongo.Hata mimi nimeishi nao na nilishuhudia mengi.Usaliti na kuchepuka ni jadi ya binadamu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa kitutsi wanapakaziwa kwakua ni 'visu! Hata mpolipoli tu unamkuta mkali, Mashallah! Ndio maana wanapakaziwa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala si wabongo wanaofanya hivyo (kuwa ovarate) bali ni wao wenywewe na sehemu ya mikakati yao na haina haja ya kuwalaumu bali ni namna ya kutaka kufikia malengo yao ya kiuchumi kisiasa na kiutamatuduni cha kufanya na sisi ni kuwa na mikakati ya aina hiyo au tofauti na hiyo ili kujiweka sehemu salama kama taifa,wayahudi wanafanya wachina wahindi wanafanya mimi sioni tatizo wao kufanya hivyo,Tatizo letu jamii nyingi za kitanzania hazina mikakati ni bora liende
 
Mkuu umejibu kitaaluma
 

Una Akili


Blackberry
 
Daaa karibu nakukula kimasihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nawe unapinga huku unarudi pale pale.

Umeishi na watutsi wote??
 
Yy atataka atembee na kaka yako au mdogo wako..
Hili sasa genge la umbeya na uongo. Kuchafua kabila zima kwa tabia uliyoona kwa mtu mmoja sio haki hata kidogo hata kama una sababu nyingine ya kuwachukia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…