Hahahahhahahaha naona nguvu ya propaganda ya vyombo vya habari inafanya kazi yake owk unasema Albert Einstein. alikuwa ni Muisrael unaweza kunambia alikuwa ni.wa jamii gani kati ya jamii hizi za israel ?
We utamuua huyo jamaa. Umempeleka kas mno
Ashkenazi jews, Sephardi jews, Turkisa jews, Italian jews , Romaniotes, Gergian , Crimean karaites jews
Nijibu hilo then tutaelimishana vizuri
Niliwai sikia karbia 99% ya nchi ziligundua meng lazima kuna ya myahudi ilipitaMataifa matano? Ujerumani kapiga dunia nzima tena sio mara moja mara mbili kwenye vita vyote vikuu vya dunia. Wanakuja kumshinda kwa kumuekea vikwazo kukosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.
Leo hii dunia ikimchangia israel itakuwaje? Kama Iran tu pale inamuhenyesha?
Kama wao wana akili cyber war yao na iran kwanini waliingiza nguvu za bunduki? Iran walihack website zao kibao wao wakawa wanawaua kwa kuwatumia assasins, mtu mwenye akili akishindwa kitu cha akili anatumia mabavu?
Na mwisho wa siku mtu mwenye akili analiwa tigo? Iweje taifa hili lenye watu wenye akili kuna.mashoga wengi hivi.
Tel aviv ni jiji zuri kwa mashoga kuliko new york, london, toronto etc
Tel Aviv declared world's best gay travel destination
Mungu aliahidi kwa Ibrahimu Kua kupitia uzao wa Israel, mataifa Yote yatabarikiwa......Why God was so biased?
Kwanza kule ujerumani wana wa Israel.walikua Raia, hawakua Taifa.adolf Hitler aliwaua waisrael Zaidi ya milioni sita ,,,mbona hawakujiokoa? kama sio kule RUSSIA baada ya jeshi la Hitler kushindwa vita sababu ya barafu sasa hivi Waisrael wasingekuwepo kwenye ramani ya dunia
Mataifa matano? Ujerumani kapiga dunia nzima tena sio mara moja mara mbili kwenye vita vyote vikuu vya dunia. Wanakuja kumshinda kwa kumuekea vikwazo kukosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.
Leo hii dunia ikimchangia israel itakuwaje? Kama Iran tu pale inamuhenyesha?
Kama wao wana akili cyber war yao na iran kwanini waliingiza nguvu za bunduki? Iran walihack website zao kibao wao wakawa wanawaua kwa kuwatumia assasins, mtu mwenye akili akishindwa kitu cha akili anatumia mabavu?
Na mwisho wa siku mtu mwenye akili analiwa tigo? Iweje taifa hili lenye watu wenye akili kuna.mashoga wengi hivi.
Tel aviv ni jiji zuri kwa mashoga kuliko new york, london, toronto etc
Tel Aviv declared world's best gay travel destination
ni urusi pekee ndo anayestahili kusema alishinda vita kubwa maana alipigana na mtu ambaye alitawala nusu ya dunia.israel ni taifa dogo sana ndo maana linapewa misaada hata iyo vita ya siku 6 marekani na washirika wake walipelek sana misaada ya kijeshi.vita ya herzbollan ilimtoa san jasho maana alikuwa pekeyake pasipo kupata msaada ndo maan mwisho wa siku alichemkaLabda nikuweke sawa.
Ujerumani ilishindwa vita ya Dunia.
Israel ilishinda vita.
Vita hii Iliishtua ukimwengu mzima especial ulimwengu wa kiarabu.
kwa Daudi kumpiga Goliath.
Pili Iran ya was Persia ni Taifa Kubwa.
Historia inaonyesha kua Israel imekua ikiyashinda kwa vita mataifa makubwa huku yenyewe ikiwa na tofauti kubwa sana ya kuwa na jeshi dogo, silaha chache, ndege chache nk.
Udogo wa jeshi lao na vifaa, imekua ndio sababu ya kuvitia kiburi mataifa ya uarabuni kwa kiasi cha kudhani kua wanaweza kuishinda. Hata hivyo Matokeo yamebaki kua tofauti sikuzote, kwa Israel kua victor na waarabu kua loosers
Goliath hachomoi kwa Daudi.
It is not the size of the dog in the fight, but the size of the fight in the dog.
Cyber war ni progressive.
Iran imekua ikilalama wanasayansi wake kulipuliwa kule Iran na Israel baada ya wao kuikamata drone ya marekani.
Iran inachukiwa sana pale arabuni na mataifa ya kiarabu.
Sehemu kubwa ya marafiki zake ni makundi ya kigaidi kama Hamas, Muslim brother hood, hezBollah, hali hii imeifanya iran kubaki kua "duni"dhidi ya Saudia na washirika wake.may be Inge excell zaidi lakini chuki yake kwa Israel inawagharimu.
Umetaja Tel Aviv kua na mashoga wengi.
Kwa bahati mbaya sana, Mungu akiwa na makusudi na wewe, kupitia ahadi ya baba zako , hata ukikosea iko siku atakurudisha kwenye reli.
Mungu sikuzote hukumbuka agano lake.
Wanaoisaidia Israel wanabarikiwa. Heri mkono utoao.Upo aware kwamba hio ardhi wamepewa na hawajajipa na hadi leo wanasaidiwa.
Israel wanasaidiwa matrilioni ya hela na nchi kama marekani, jiulize mwenyewe kwanini mtu aliebarikiwa na mwenye akili sana anategemea misaada? Tofauti ya israel na nchi za kiafrica ni kwamba marekani wanasamehe mikopo wanayoipa israeli wakati sisi tunaendelea kudaiwa. Ila wote tunategemea nchi za magharibi za marekani na washirika wake kupata msaada
U.S. Financial Aid To Israel: Figures, Facts, and Impact
Urusi ilikufa miaka mingi tangu mwaka 1990 wakati wa Rais Gorbachev. Waliishia kua mafukara na racists , serikali ya Moscow wakawa wanapewa Posho Na USA.* ili tu wataalamu wao wa nyuklia wasije wakanunuliwa na mataifa ya kigaidi kutokana na ukata uliowakabili.ni urusi pekee ndo anayestahili kusema alishinda vita kubwa maana alipigana na mtu ambaye alitawala nusu ya dunia.israel ni taifa dogo sana ndo maana linapewa misaada hata iyo vita ya siku 6 marekani na washirika wake walipelek sana misaada ya kijeshi.vita ya herzbollan ilimtoa san jasho maana alikuwa pekeyake pasipo kupata msaada ndo maan mwisho wa siku alichemka
Nimetaja faida yake kuwa wanapata kituo cha bure cha kumonitor middle east, hope unajua marekani na nchi nyingi za kiarabu na kipersia haziivi, kwa marekani kuwa na kambi za kijeshi israeli itawasaidia kupigana na yoyote ukanda ule, kama umesoma ile link utaona misaada mingi ni ya kijeshi na sio kijamii.Ivi kweli Marekani wasamehe tu mikopo? Kuna kitu wanafaidika
Wanaoisaidia Israel wanabarikiwa. Heri mkono utoao.
Israel INA infrastructure nyingi sana nchini USA, kwakua kule hawakupata ubaguzi, na pia wakishiriki kupigania Uhuru wa Taifa hilo ambapo ilibaki kidogo lugha ya Taifa LA marekani iwe kiebrania.pia kuna vyuovikuu kama (e.g. Yale University, science etc), pia Chama cha Republicans kina Jews wengi zaidi
Kuna wakati mataifa haya ya magharibi especial USA, yanataka Israel isichukue hatua iliwao wafidie. Kulingana ma maslahi yao.
Mfano vita ya Sadam, Israel waliombwa wasishiriki ili kuwa unify waarabu wa focus katika kumpiga Sadam.
Israel ikawa inatumia
Makombora ya Patriot kuzima makombora ya scud kutoka iraq.
Baada ya Vita USA ililipa uharibifu wote.
Unaweza ita ni msaada lakini ni chess game, inayoendelea.
mbona unatuongopea ndudu kuna nchi gani ambayo inaweza kuanzisha vita na urusi,iyo Nato ina nchi 28 lakini kila siku inaongeza ulinzi kwa ajiri ya kuofia kuvamiw na warusi.iyo china yenyew inauziwa siraha na warusi au ulikuwa ujuiUrusi ilikufa miaka mingi tangu mwaka 1990 wakati wa Rais Gorbachev. Waliishia kua mafukara na racists , serikali ya Moscow wakawa wanapewa Posho Na USA.* ili tu wataalamu wao wa nyuklia wasije wakanunuliwa na mataifa ya kigaidi kutokana na ukata uliowakabili.
Pia Walishindwa kuichukua Afghanistan ya waarabu.
Ukuta wa Berlin ukavunjwa.
Imebaki kua ni aibu ya kihistoria hata Leo.
Russia ya Putin inajaribu kujitutumua, lakini inaonyesha China wanakuja juu zaidi.
Ujerumani ilikua bora zaidi ya Urusi, ila ilipigana vita nyingi sana ikiwemo hao "Red army" na washirika wa West.
iyo ugerumani iliyokuwa bora ilipigwa mpaka berlin.80% ya jeshi la ugeruman liliangamia katika mikono ya warusiUrusi ilikufa miaka mingi tangu mwaka 1990 wakati wa Rais Gorbachev. Waliishia kua mafukara na racists , serikali ya Moscow wakawa wanapewa Posho Na USA.* ili tu wataalamu wao wa nyuklia wasije wakanunuliwa na mataifa ya kigaidi kutokana na ukata uliowakabili.
Pia Walishindwa kuichukua Afghanistan ya waarabu.
Ukuta wa Berlin ukavunjwa.
Imebaki kua ni aibu ya kihistoria hata Leo.
Russia ya Putin inajaribu kujitutumua, lakini inaonyesha China wanakuja juu zaidi.
Ujerumani ilikua bora zaidi ya Urusi, ila ilipigana vita nyingi sana ikiwemo hao "Red army" na washirika wa West.
Wataje plzLakini hao innovator wote..waisrael wako nyuma..list ya best scientist of all time ahalf ov them are pples ov israel..unakataa nn
Albert Eistein ni mjerumani pureAlbert Einstein. ..mark zugerberg..kekule..and list goes by
Kuna vitu unatakiwa kuvielewa. Ni kweli aliyepigana na mataifa ma5 ya kiarabu ni mwisrael na mataifa hayo yalikubali kusitisha vita ndani ya siku 6 tu. Lakini mwisrael hakupigana peke yake alikuwa na usaidizi wa washirika wake hasa marekani. Waisrael katika hiyo vita walisaidiwa siraha, pesa, mahitaji ya kijamii kwa ajili ya jeshi na pia taarifa za kiintelijensia.Ni kweli hawa jamaa wamebarikiwa.
Utaona story ya Daudi na Goliath inavyojirudia pale middle east.
Mwaka 1967 Waisrael waliwapiga mataifa matano ya Kiarabu kwa siku sita. Siku ya saba wakapumzika, kama vile Mungu alivyoumba Mbingu na dunia sikU sits , na siku ya 7 akapumzika.
Walikua na jeshi dogo, silaha chache, ndege chache lakini walishusha kichapo kilichowaogopesha hadi Taifa la Kisovieti LA Urusi.
Haya hayawezi kutokea bila kua na Baraka za Mungu.
Yapo majaribio kadhaa ya kuwafuta katika Uso wa nchi yamefanywa na waarabu, wajerumani, yakashindwa vibaya sana.
Utaona kila taifa lililoiunga mkono Israel lilipiga hatua kubwa kinyume na Yale yaliopingana nayo hata Leo.
USA ilibarikiwa sana ilipoanza juhudi za kuwaunga mkono, hali yao ilizorota pale walipokua wakiwakandamiza kisera.
Urusi iliangushwa.
Waarabu mpaka Leo wameshindwa kuungana dhidi ya Israel.
Obama aliwapinga sana matokeo yake chama chake kikashindwa dhdi ya bwana Trump,
Nyerere alikataa kuwasaidia wasiokoe mateka wao Uganda lakini Kenya walikubali matokeo yake IDD Amin akavamia Tanzania.na so Kenya.
Kwa ufupi hata Leo wako watakaosema waisrael si lolote kwasababu ya uchache wao nk. Ila wakithubutu wanaangamia.
Israel ndio INA asili ya manabii, mitume watakatifu wanaosomwa zaidi duniani, akiwemo mkombozi Yesu Kristo.
Kupitia Israel mataifa yote yatabarikiwa.
So kwa ufupi IPO baraka katika Israel
Mkuu wewe ndo inachangia kidini. Bila story za kwenye biblia hebu tuambie mwisrael anaongoza kwa kitu gani dunianiNi kweli waisrael wana akili zaidi dunian na hakuna taifa linalomuweza hapa watu wanachangia mada kidini ila wanajua kuhusu israel
Hii ni rahisi sana maana huu mpango ulidhaminiwa na matajiri wa kiyahudi. Hv marangapi huwa tunalalamika hata huku kwetu kwamba ukimuuzia tajiri kiwanja kwa kumkatia lazima mtalumbana na atakushika masikio kama utaishi nae kwa kupakanaAccomplishmenents walizofikia Israeli is a short period ni remarkable. Hawa watu walitawanyika dunia nzima walipopewe ardhi na kuunda nchi ya Israel mwaka 1948. Yaani walikusanya watu wao dunia nzima, hawakuacha damu yao itangetange.
Just imagine nchi tulizopata uhuru 1960s, tunaweza jilinganisha na Israel?
Guide: Why are Israel and the Palestinians fighting over Gaza? - CBBC Newsround
Ukitaka kujua akili za hawa jamaa waulize Palestine. Israel walipewa sehemu ndogo ya Palestine with claims kwamba its their God given land kutokana na evidence za kibiblia, ila sasahivi wamewashika masikio Palestine. Imagine, umemkaribisha mgeni kwako alafu ajifanye ndo mwenye nyumba.