Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Bakieni hivyohivyo. You will be crucified for real.Ulimwengu umebadilika. Jua linatoka Kusini linaenda kaskazini? Hakuna tena usiku? hakuna kula na kunywa? Watu wanakunya kwa mdomo? Kipi kimebadilika zamani hakipo?
"You will not be crucified for real, you will suffer for lies and falsehood."Bakieni hivyohivyo. You will be crucified for real.
Ngoja tuone atakayetoa mlio wa huzuni."You will not be crucified for real, you will suffer for lies and falsehood."
Huenda sijapata mantiki ya andiko lako.Mohamed,
Soma hio taarifa vzuri.
Tatizo la gazeti la dernmark limekwenda kugharimu maisha ya watu wanaoishi indonesia, Pakistan, italia , Nigeria n.k.
Sijui kama unanielewa ninachomaanisha.yaani ndugu yangu Mohamed leo mimi nimekukashifu wewe. Lakini badala udili na mimi unaenda kuua watu wengine kabisa huku muhusika ukimuacha.
Kwako kama hilo ni sawa basi ni uamuzi wako. Ila sababu mimi ni mtu rational siwezi kwenda kuua mtu mwingine sababu ya kuambiwa kuna watu wamechora katuni inayofanana na mtume. Kwanini tusiwatafute hao hao?
Lakini baada ya yote hayo, hakuna anayetoka kukemea kwamba hawahusiani na imani yetu. Vikundi ambavyo vimekuwepo duniani vikijinasibisha na uislamu sikuwahi kusikia kiongozi yoyote au waislamu wakitoka kuandamana kupinga mambo hayo!
Ndio maana nikasema huenda waandishi wanawahusisha au uislamu unaambatana na ugaidi.
Siku njema mkuu.
kwenye uislamu hakuna aliye bora kwa kuzingatia rangi au taifa, ubora wa mtu ni uchamungu na tabia njema, huenda muislamu aliye iringa tz (christian dominant area) akawa bora zaidi ya muislamu aliyeko madina ikiwa tu wa iringa anafuata sheria na maagizo ya uislamu kulingana na mafundisho yanavyosema.Hizi mada zinagusa imaninza watu. Hivi Osama, Sadam na Aboubakar Baghdad yule jamaa wa IS na sisi waislam wa huku Tandare nani anafata misingi ya Imani yake?
Benjamin Nyetanyau na mkristo anayejiita muisrael kiimani wa hapa Masasi nani anafuata Imani yake kweli kweli?
Ndiyo maana hata mtu akiipinga Israelkwa utashibwake bado Imani yake itamfunga na mwingine hivyo hivyo ktk uislam. Maana yake huwezi kuwa mkristo ukawazidi wayahudi kwa haki ya Sheria wala huwezi kuwa muislam ukawazidi Saudia, Afghanistan, Iraq au Iran kwa ujanja.
Ndiyo maana wakristo magaidi wapi na wanaua na wakristo wachache ndo wanapinga the same to Islam na Buddhist
Kwani nabii tito si alikuwa analingania na kuhubiria kuhusu ushoga kwa nembo ya ukristo je, ukristo umehalalisha ushoga kwa kumzingatia nabii tito???Wanaoenda Kuhiji Mecca Muongozo wao sio Quran, Hadith, na Miratul Rasul??
Upagani inaitwaje kwa kimomboMohamed,
Atheism si mpagani.
Mohamed,Upagani inaitwaje kwa kimombo
Katika somo la falsafa si lazima kuchukua tafsiri ya wengine ukatafsiri sawa na wao.Mohamed,
Upagani ni kuamini katika miungu(polytheism) au miungu ya jadi. Ni neno lililotumika na wakristo wa kale wakiwaita watu wasiomuamini mungu wao.
Hata ushirikina ni upagani, yaani ukiwa unaamini katika miungu walikuwa wakiitwa wapagani.
Atheism hawaamini katika uwepo wa mungu au miungu.
Agnostic hawaamini kama kuna uwezekano wa mungu kwa hakika kuwepo.
Huyo ni kuni kabisaNa ukifa ndani ya Uislam wewe ndiyo utakuwa kuni za kuwachomea wengine. Uislam ni ushetani 100%.
Kwa uongo zaidi tuma neno UONGO kwenda 1557Uko tayari contaminated na uongo uliotengenezwa.
Kwa ufupi asili ya uislam ni Eloi au Allah.
Muumba wa kila kitu.
Wewe unajui Muumba wa kila kitu ni yesu.
Lkn yesu anamtaja muumba wake ni Eloi/Allah.
Kwa hiyo binadamu yyt wanazaliwa akiwa muislam. Lkn wazazi wake wanatoa ktk uislam na kumuunguza eitha kuwa msirikina au kafiri..
Jiulize kwanini unabatizwa.
Kubadizwa ni kuingia ktk ukristo. Ukitokea imani gani. Unaijua????
Kwa mujibu wa Eloi Allah watu kuzaliwa wakiwa ni waislam.
Inapaswa utupe reference ya kitabu tujifunze.Katika somo la falsafa si lazima kuchukua tafsiri ya wengine ukatafsiri sawa na wao
hii. Ni tafsiri yako binafsi na wala sina shida mkuu.Atheism kwa kiswahili ni upagani
yeye alitambulika kwa watu wenyewe kusema hivyo au yeye alitambulika kwa kusema mimi ni mpagani?Kwa kutumia case study ya kingunge yeye alitambulika kama mpagani. Akijipambanua na elimu yake ya umarxi
mkuu,Hatushangai. Dunia nzima na waislam wachache wako contaminated na upagani (atheism)
Anyway tusianzishe mjadala mpya.Inapaswa utupe reference ya kitabu tujifunze.
hii. Ni tafsiri yako binafsi na wala sina shida mkuu.
yeye alitambulika kwa watu wenyewe kusema hivyo au yeye alitambulika kwa kusema mimi ni mpagani?
Can you give the reference that marxism is commensurate with polytheism?
mkuu,
Atheism si upagani. Labda kama upo na kamusi yako na lugha yako.
Sipo hapa kushindana bali tunaelimishana.
Kusema kwamba hiyo ni tafsiri yako tutaanza kuharibu mjadala. Sababu ninaweza kusema mohamed maana yake ni kitunguu na nikasema hiyo ni tafsiri yangu.kama upo na source yoyote ile inayosema atheism ni mpagani naomba uniletee.
Mpagani ni ( polytheism)
Atheism ( asiyeamini uwepo wa mungu)
Agnostic( asiyeamini kwamba kuna uwezekano wa mungu kuwepo)
Allah sio Eloi wewe na acha kujidanganya pia. Mungu wa Israel wayahud walimuita "YHW" waliogopa kumtaja jina Eloi, Adonai Yehova, ni sifa zake. Acha kumlinganisha Eloi na vitu vya ajabu. Yesu mwenyewe anasema wokovu unatokea kwa wayahud na tena Mungu mwenyewe anasema Mimi ni Mungu wa Ibrahim wa Isaka na Yakobo hilo jina langu milele. So nje ya hapo ni kujitengenezea Mungu bandia na kujaribu kumlinganisha na Mungu halisi.Uko tayari contaminated na uongo uliotengenezwa.
Kwa ufupi asili ya uislam ni Eloi au Allah.
Muumba wa kila kitu.
Wewe unajui Muumba wa kila kitu ni yesu.
Lkn yesu anamtaja muumba wake ni Eloi/Allah.
Kwa hiyo binadamu yyt wanazaliwa akiwa muislam. Lkn wazazi wake wanatoa ktk uislam na kumuunguza eitha kuwa msirikina au kafiri..
Jiulize kwanini unabatizwa.
Kubadizwa ni kuingia ktk ukristo. Ukitokea imani gani. Unaijua????
Kwa mujibu wa Eloi Allah watu kuzaliwa wakiwa ni waislam.
Hauna akili kijana....Hee kumbe kuna Taifa la Mungu. Nawe unaamini hivyo mkuu?
Kumbe magaidi ni africa tu kama akina boko haram ila kule kwa waarabu sio magaidi hata yakibaka na kuua watoto bila kusahau kuwachoma moto hayana hatia ee