Ulimwengu umebadilika. Jua linatoka Kusini linaenda kaskazini? Hakuna tena usiku? hakuna kula na kunywa? Watu wanakunya kwa mdomo? Kipi kimebadilika zamani hakipo?
Soma hio taarifa vzuri.
Tatizo la gazeti la dernmark limekwenda kugharimu maisha ya watu wanaoishi indonesia, Pakistan, italia , Nigeria n.k.
Sijui kama unanielewa ninachomaanisha.yaani ndugu yangu Mohamed leo mimi nimekukashifu wewe. Lakini badala udili na mimi unaenda kuua watu wengine kabisa huku muhusika ukimuacha.
Kwako kama hilo ni sawa basi ni uamuzi wako. Ila sababu mimi ni mtu rational siwezi kwenda kuua mtu mwingine sababu ya kuambiwa kuna watu wamechora katuni inayofanana na mtume. Kwanini tusiwatafute hao hao?
Lakini baada ya yote hayo, hakuna anayetoka kukemea kwamba hawahusiani na imani yetu. Vikundi ambavyo vimekuwepo duniani vikijinasibisha na uislamu sikuwahi kusikia kiongozi yoyote au waislamu wakitoka kuandamana kupinga mambo hayo!
Ndio maana nikasema huenda waandishi wanawahusisha au uislamu unaambatana na ugaidi.
Unataka waislam wapinge, waandamane na watoe matamko ya kujitenga na waandamanaji wa Denmark wakini hutaki wakristo wapinge na wasijinasibishe na wanaokashifu Uislamu ambao si wakristo bali ni Atheism (wapagani).
Pili unasema uko rational lkn unategemea vyombo vya habari (propaganditic) kujua kinachoendelea duniani.
No unategemea disinformation, zinakupoteza.
Taarifa Kuwa waislam wa nigeria wawauwa wakristo wa Nigeria kwa kuwa kuna gazeti moja la demnark limemkashifu mtume haraka naamini ni disinformation. Ingawa najua kuna magonvi kati ya waislam na walokole nigenia.
Nikuhakikishia waislam wako innocent hapa tz, africa na duniani.
Lkn vyombo vya habari ndio wanapo ktk propaganda ya kuuchafua uislam.
Waislam hatuhitaji kuandamana ili tuonekane innocent. Bali unaweza kuishi, kupanga nyumba za waislam utathibitisha wewe mwenyewe.
Na ndio malengo ya dini yetu.
On media he said: The media's the most powerful entity on earth. They have the power to make the innocent guilty and to make the guilty innocent, and that's power. Because they control the minds of the masses
Hizi mada zinagusa imaninza watu. Hivi Osama, Sadam na Aboubakar Baghdad yule jamaa wa IS na sisi waislam wa huku Tandare nani anafata misingi ya Imani yake?
Benjamin Nyetanyau na mkristo anayejiita muisrael kiimani wa hapa Masasi nani anafuata Imani yake kweli kweli?
Ndiyo maana hata mtu akiipinga Israelkwa utashibwake bado Imani yake itamfunga na mwingine hivyo hivyo ktk uislam. Maana yake huwezi kuwa mkristo ukawazidi wayahudi kwa haki ya Sheria wala huwezi kuwa muislam ukawazidi Saudia, Afghanistan, Iraq au Iran kwa ujanja.
Ndiyo maana wakristo magaidi wapi na wanaua na wakristo wachache ndo wanapinga the same to Islam na Buddhist
kwenye uislamu hakuna aliye bora kwa kuzingatia rangi au taifa, ubora wa mtu ni uchamungu na tabia njema, huenda muislamu aliye iringa tz (christian dominant area) akawa bora zaidi ya muislamu aliyeko madina ikiwa tu wa iringa anafuata sheria na maagizo ya uislamu kulingana na mafundisho yanavyosema.
Katika somo la falsafa si lazima kuchukua tafsiri ya wengine ukatafsiri sawa na wao.
Kwa kutumia case study ya kingunge yeye alitambulika kama mpagani. Akijipambanua na elimu yake ya umarxi yaliyotokea nayo huko urudi. Kimsingi umarxi ni Atheism kwa kiswahili ni upagani. Ujamaa ni mtoto wa kwanza wa umarxi nao ni upagani.
Hii ndio tafsiri yangu.
Na dunia ya sasa jamii kubwa ikiongozwa na wakristo wameathiriwa na upagani (atheism). Nieleweke wakristo si wapagani bali kwa asilimia kuwa wako contaminated na upagani. Ndio maana ktk ulimwengu zinakoelekea wanaungana na wapagani kuupiga vita Uislamu.
Hatushangai. Dunia nzima na waislam wachache wako contaminated na upagani (atheism)
Atheism si upagani. Labda kama upo na kamusi yako na lugha yako.
Sipo hapa kushindana bali tunaelimishana.
Kusema kwamba hiyo ni tafsiri yako tutaanza kuharibu mjadala. Sababu ninaweza kusema mohamed maana yake ni kitunguu na nikasema hiyo ni tafsiri yangu.kama upo na source yoyote ile inayosema atheism ni mpagani naomba uniletee.
Mpagani ni ( polytheism)
Atheism ( asiyeamini uwepo wa mungu)
Agnostic( asiyeamini kwamba kuna uwezekano wa mungu kuwepo)
hii. Ni tafsiri yako binafsi na wala sina shida mkuu.
yeye alitambulika kwa watu wenyewe kusema hivyo au yeye alitambulika kwa kusema mimi ni mpagani?
Can you give the reference that marxism is commensurate with polytheism?
mkuu,
Atheism si upagani. Labda kama upo na kamusi yako na lugha yako.
Sipo hapa kushindana bali tunaelimishana.
Kusema kwamba hiyo ni tafsiri yako tutaanza kuharibu mjadala. Sababu ninaweza kusema mohamed maana yake ni kitunguu na nikasema hiyo ni tafsiri yangu.kama upo na source yoyote ile inayosema atheism ni mpagani naomba uniletee.
Mpagani ni ( polytheism)
Atheism ( asiyeamini uwepo wa mungu)
Agnostic( asiyeamini kwamba kuna uwezekano wa mungu kuwepo)
Nyinyi magaidi wa Kislamu mlichokuwa mnakitaka ktk nchi za magharibi sasa mnakipata.
Geert Wilders wa Netherlands amewapa ultimatum, mcomply na sheria za nchi ama muwe deported. Huko uingereza wenye nchi wameamuka na leo kufanya mkutano mkubwa London. Sikiliza hayo maneno ambapo naona sasa kunaelekea kuwa na civil war na hapo ndipo hizi Serikali zitapiga marufuku Dini
NB: huko Uarabuni hilo halina shida kwakuwa Saudia, UAE na Egypt wamechoshwa na maislamists. Urusi na China kwao limeisha kuwa Jambo la kawaida kupigaga dini marufuku. View: https://youtu.be/dqCprbF5nqA?si=ZbkHxV9T7XLxqn_S
Allah sio Eloi wewe na acha kujidanganya pia. Mungu wa Israel wayahud walimuita "YHW" waliogopa kumtaja jina Eloi, Adonai Yehova, ni sifa zake. Acha kumlinganisha Eloi na vitu vya ajabu. Yesu mwenyewe anasema wokovu unatokea kwa wayahud na tena Mungu mwenyewe anasema Mimi ni Mungu wa Ibrahim wa Isaka na Yakobo hilo jina langu milele. So nje ya hapo ni kujitengenezea Mungu bandia na kujaribu kumlinganisha na Mungu halisi.
Hee kumbe kuna Taifa la Mungu. Nawe unaamini hivyo mkuu?
Kumbe magaidi ni africa tu kama akina boko haram ila kule kwa waarabu sio magaidi hata yakibaka na kuua watoto bila kusahau kuwachoma moto hayana hatia ee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.