Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Any way mi hoja yangu ni NI MAGAIDI WENYEWE WANAJIFUNGAMANISHA, NI WAISLAM WENYEWE WANAJIFUNGANISHA NA UGAIDI KUWA KWAO NI IBADA NA UISLAM AU WAANDISHI WA HABARI NDIO WANAOFUNGAMANISHA UISLAM NA UGAIDI
Mohamed,

hoja yako ni nzuri. Ila Mimi ninapenda uislamu jinsi unavyokemea vitu, kama vile masuala ya ushoga, kutania haswa vinavyohusu masuala ya dini yao.

Huenda waandishi wanawafunganisha waislamu na magaidi au uislamu unajifunganisha na ugaidi.

Mwaka 2006 gazeti la jyllands posten nchini Denmark, lilichapisha katuni zenye michoro 12. Maimamu wawili waliopewa Makazi nchini humo kwa kukimbia nchi zao, wakiongozwa na Imam Ahmed akkari walianza kuzunguka nchi za kiislamu wakiomba kuungwa mkono na kuonyesha kile kilichochorwa katika gazeti huku vingine vikiwa vimeongezwa kukionekana kuna picha ya mtu mwenye ndevu nyingi akiwa na pua kama ya nguruwe.

Baada ya picha ile kusambaa maimamu walikuwa wakisema gazeti lile linaendeshwa na serikali ya denmark, hivyo wajitokeze kuomba msamaha. Serikali iligoma na kukanusha sababu Hawakuona kosa.

Kilochofata baada ya hapo, chuki ile ikasambaa makanisa yakanza kuchomwa, waandamanaji kutoka pakistan na indonesia wakachoma moto bendera ya Denmark wakaharibu makazi ya wakristo na makanisa.

Lakini baadae ikaja fahamika picha ile yenye mfanano na nguruwe ilikuwa ni kwa ajili ya mashidano yaliyokuwa yakiadaliwa.

Huko Nigeria wakristo walichomwa moto pamoja na jumbe zilizosema “Butcher those who mock islam” “behead those who say Islam is violent religion”

Haya ndio yaliyotokea lakini mwaka 2013 imam ahmed akkari alikuja kuomba msamaha akitambua umuhimu wa free speech.

Ndio maana nikasema hoja yako inaweza kuwa sahihi, lakini hatujawahi kusikia kupingwa kwa nguvu kwa hawa wanaojihusisha na ugaidi kwa mgongo wa uislamu.
 
Punguani wewe. unaona babu zako wanaondoka na hawarudi hujiulizi kwanini wakifa hawarudi? akili ulipewa ambazo umetafautishwa na myama sio za kulewa tu. ni akili za mazingatio ya kuumbwa kwako. utumie akili kwa kunywea pombe tu
We huwa unakunywa mkojo wa mamako? We mbwa ndio maana umejiita malaria. We kwanza akili huna tunakujua sk zote unatumia makalio kufikiri.
 
kweli shida ipo. shida kwamba waislam wameambiwa wakiristo wasiwafanya marafiki na wandani wao, walipowafanya marafiki ndio hayo yanatokea. au nimekufahamu vibaya?
Sudan, Yemen, Syria, Iraq and the like Nako vipi??
 
Baada ya yale Magaidi ya Mombasa kudhibitiwa sasa hivi Mombasa imetulia tulii hakuna tena hofu ya Raia kuchinjwa hadharani.
 
WAKIRISTO NA MAYAHAUDI WNAACHUKI NA UISLAM NA WAISLAM. HAYO MAANDISHI YAPO KTIK QURAN. KAMA HUIJUI QURAN HAYO YANATOKEA UTASHANGAA LKN KAMA UNAIJUA HUTOPATA SHIDA
Uislam ni ugaidi na ugaidi ndio uislam. We bwege umeona wapi mkristo au kikundi cha kikristo kinafanya ugaidi. Magaidi ni majitu yasiyojiamini, ni maoga, hayawezi kupigana vita vya wazi. Wao huvizia na kufanya mauaji. Waisrael hawawezi kuwa magaidi labda km hujui maana ya ugaidi. Wale wanapigana live na wanawatafuta hao magaidi. Kwa kiingereza ugaidi ni terrorism, neno linalotokana na neno terror. Kajifunze hayo maneno yana maana gani. Nimeota umekufa kwa malaria.
 
Netanyahu na watu wake wamejitoa mhanga kupambana na magaidi.

Ndio maana nawaunga mkono Waisraeli.
 
Waislam ni wanafiki, waarabu ndio mashoga ya uhakika. Wazungu si wanafki kihivyo ndio mana wao humwachia mtu binafsi uhuru wake. Waislam yalivyo mapumbavu wanamhuku binadamu mwenzao na kumpangia adhabu. We ni nani? Wakristo husema usihukumu usije kuhukumiwa maana kipimo utakachotumia kumhukumu mwenzio ndio kitatumika kukuhukumu wewe. Pili bwana asipoulinda mlinda mji waulindao wakesha bure. Waislam eti wanamlinda Mungu? Jamii isiyosoma na kuelimika.
 
Kwa hakika makafiri ni Atheism, Wapagani wenye kuamini Ujamaa, Umarx. Kwani Ujamaa ni imani. Imani ya kipagani.

Kwa ufupi wafuasi wa Ujamaa ndio makafiri
Kwa maana hiyo, Ukristo ni upagani.

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Ngoja ufe ukiwa mkiristo halafu uone maisha yako huko uendako
 
Nilipoishi Tanga ndipo nilipoufahamu uislamu na waislamu vizuri kwa kifupi tu shetani au shetwani ibilisi ana hisa kwenye hiyo dini ya uislamu
Pale Arusha waislamu walilipua kusanyiko la kanisa katoliki na watu wakafa ulisikia kiongozi yeyote wa kiislamu alikikemea
Hapo Kenya makundi kibao yenye mrengo wa kiislamu yameuwa watu. Somalia, Naijeria, Pakstan, Msumbiji, Sudan kwa Janjaweed.
Unawezaje kuutenganisha uislamu na ugaidi uliotukuka.
 
Ngoja ufe ukiwa mkiristo halafu uone maisha yako huko uendako
Mungu wa Wakristo AMEWATUMAINISHA!
👇👇
Mungu wa Wakristo AMEWATUMAINISHA!
👇👇
Jeremiah 29:11-12
[11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

[12]Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.

1 Corinthians 2:9
[9]lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu, Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.

MUNGU WA WAISLAMU AMEWAAHIDI!
👇👇
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

(MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا
Imepokewa kutoka kwa Anas: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Watu watatupwa Motoni na jehannam itasema: Je kuna ziada na ije. (50.30) mpaka Mwenyezi Mungu aweke Mguu wake juu yake, na jehannam itasema: Qati Qati! (Yatosha yatosha)

Sahih al-Bukhari 4848 Sahih al-Bukhari 4848 - Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh)) - كتاب التفسير - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)

وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ

[ AL - AN-A'AM - 128 ]
Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
 
Wavaa kobazi katika moja na mbili, kamwe hamuwezi kujitenga na sura ya ugaidi. Hata mchoraji akimbiwa achore picha ya gaidi basi lazma atakuwa wamevaa mavazi yale pendwa, kilemba na kobaz mapoja na ak47.
 
Wavaa kobazi katika moja na mbili, kamwe hamuwezi kujitenga na sura ya ugaidi. Hata mchoraji akimbiwa achore picha ya gaidi basi lazma atakuwa wamevaa mavazi yale pendwa, kilemba na kobaz mapoja na ak47.
Hata Mbowe aliitwa gaidi
 
usilam n ugaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…