Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

Mkuu nikienda kwenye app nashindwa namna ya kujisajili nikibonyeza kitufe Cha kujisajili inaniletea ku login na sio kuji register kwenye app ya UTTAMIS au hapo ninafanyeje?
 
Mkuu nikienda kwenye app nashindwa namna ya kujisajili nikibonyeza kitufe Cha kujisajili inaniletea ku login na sio kuji register kwenye app ya UTTAMIS au hapo ninafanyeje?
Kama una mda nenda kwenye ofisi yao pale posta, utasajiliwa direct bila kuwa ata na app.
 
Wakuu nimenunua vipand kwenye mfuko wa liquid jana jion mida ya saa 8 ila mpka sasa kwenye acc inasoma 0.inachukua mda gan kusoma?
 
Mkuu nikienda kwenye app nashindwa namna ya kujisajili nikibonyeza kitufe Cha kujisajili inaniletea ku login na sio kuji register kwenye app ya UTTAMIS au hapo ninafanyeje?
Fungua account kwa njia ya simu inawezekana
 
Hii 14% Ina ukweli? Upewe return kila mwezi Kisha upewe 14% ya mwaka?
 
Wewe unajua ka ukiweka 10m fixed kwa mwaka unapata 6 interest mzee? Yan laki sita kwa 10m mwaka mzima
sasa ka milion 10 ndo kakufungulia fixed wekeza kwenye biashara tu

fixed weka milion 50 nakuendelea ndo utaona matunda yake bank kama Azania kuanzia hiyo amount unakaa na bank brach mnapiga kahawa
 
Kuwa mbali ni ngumu mkuu coz kuna form ambazo unatakiwa kuzijaza pale pale na kuzikabidhi, so kama upo dar watembelee tu pale posta.
Unafungua account kwenye simu na Account inakua tayari kuweka pesa hapo hapo. Hauwezi kutoa pesa kabla ya kukamilisha usajili. Kukamilisha usajili download form ya usajili, print, jaza, wasilisha tawi lolote la CRDB (CRDB ni wakala wa UTT). Kujiridhisha zaidi unaweza piga simu UTT na kuwauliza kama wamepokea form zako za kuomba usajili ulizokabidhi kwenye tawi la CRDB.

Mimi saivi nna mifuko mitatu, Wekeza Maisha, Umoja Fund na Watoto Fund ambazo zote nimefungua bila kufika ofisi za UTT, kasoro Watoto Fund ambayo yenyewe ni lazima kufika ofisini...
 
Shukran mkuu kwa ufafanuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…