Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

Twende kwa hoja aliyeua CHADEMA kati ya Mbowe na Lissu ni yupi?
Mbowe aliwapeleka Madalali wenzake Bungeni ndiyo Maana walivyoona hakuna uwezekanio wa kuingia tena Bungeni wakalala mbele kutafuta kichaka kingine, Mbowe ndiyo kaiua Chadema kwa kutengeneza Wanachama wa CCM ndani ya Chadema, Lissu yeye kasaficha CCM ndani ya Chadema.
 
Mtoa mada wewe ni chawa kama machawa wengne,kwani nani aliekwambia cdm imeharibika?chuma ili kipate umbo lazima kipite kwenye moto mkali,kwa sasa cdm ipo vizur kuliko kipindi chote
 
Aliamua kuuza wanachama sio akaweka chake mfukoni
Huu ni ujanja au ushamba? 😃
 
Mtoa mada wewe ni chawa kama machawa wengne,kwani nani aliekwambia cdm imeharibika?chuma ili kipate umbo lazima kipite kwenye moto mkali,kwa sasa cdm ipo vizur kuliko kipindi chote
Swafi
 
Ulianza lini kufuatikia siasa za Tanzania?
Ni nani aliyewauwa ndugu zetu hapo October 29?
Yupo wapi polepole?
Alphonso mawazo yupo wapi?
Bensanane yupo wapi?
Anzory Gwanda yupo wapi?
Huyu mafwele ni nani?
 
Twende kwa hoja aliyeua CHADEMA kati ya Mbowe na Lissu ni yupi?

..vyombo vya dola ndio vimehusika kuihujumu Chadema.

..Chama kilianza kubinywa na kupoteza viongozi wa mitaa, madiwani, wabunge, tangu wakati Mbowe akiwa Mwenyekiti.

..dola ilimshtaki Mbowe kwa Ugaidi, na sasa inamshtaki Lissu kwa uhaini. Hakuna tofauti kubwa katika mashtaka hayo. Yote hukumu yake ni kifo.
 
CHADEMA iliharibiwa na Magufuli 2015-2020.
Huu ndio ukweli.
Je, mbowe alipeleka wabunge bungeni 2020?.
I hate Magufuli.
Ni Mzee mshenzi sana
Magu kama Magu aliukamata uraisi kwa hasira sana inawezekana aliupania muda mrefu sana
 
Ulianza lini kufuatikia siasa za Tanzania?
Ni nani aliyewauwa ndugu zetu hapo October 29?
Yupo wapi polepole?
Alphonso mawazo yupo wapi?
Bensanane yupo wapi?
Anzory Gwanda yupo wapi?
Huyu mafwele ni nani?
Hatare sana inabidi watafutwe
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…