Cdm inaweza kupata urais, ubunge na udiwani kwa kura halali za wananchi, sio hizo za hisani ya dola. Wanaotaka ubunge kwa hisani ya ccm waende kwenye vyama project. Uchaguzi ujao cdm itaset standard ya viongozi kupatikana kwa ridhaa ya umma. Na katika hiki kilichotokea uchaguzi huu, cdm ndio kimeibuka shujaa na kubeba imani ya wananchi.Wanaomlaumu na Lissu ni wanachama wa Chadema waliokosa Ubunge ndiyo sababu ya uzi huu kurushwa hapa
Sawa, nitakuja na uzi wa walichosema CCM hivi karibuni kupitia Wasira kisha mtoe maoni yenuCdm inaweza kupata urais, ubunge na udiwani kwa kura halali za wananchi, sio hizo za hisani ya dola. Wanaotaka ubunge kwa hisani ya ccm waende kwenye vyama project. Uchaguzi ujao cdm itaset standard ya viongozi kupatikana kwa ridhaa ya umma. Na katika hiki kilichotokea uchaguzi huu, cdm ndio kimeibuka shujaa na kubeba imani ya wananchi.
Acha alichosema Wassira, njoo na hata alichosema Samia kabisa. Huyo Wassira alisema cdm itakufa 2014, ila ccm ni nguvu za dola pekee zimebaki kuficha aibu ya ccm kushindwa na cdm. Na umwagika tu wa damu ndio utaifanya ccm iendelee kukaa madarakani dhidi ya cdm.Sawa, nitakuja na uzi wa walichosema CCM hivi karibuni kupitia Wasira kisha mtoe maoni yenu
Sawa sawaAcha alichosema Wassira, njoo na hata alichosema Samia kabisa. Huyo Wassira alisema cdm itakufa 2014, ila ccm ni nguvu za dola pekee zimebaki kuficha aibu ya ccm kushindwa na cdm. Na umwagika tu wa damu ndio utaifanya ccm iendelee kukaa madarakani dhidi ya cdm.
Wewe wasema , maamuzi ya kutaka reforms kabla ya kufanyika uchaguzi hayakuletwa na Lissu bali yaliwa maamuzi ya Chama. Mbona mnatapa tapa sana tumewaachia mumejiingiza madarakani kwa nja haramu, mumeua makumi ya maelfu ya Watanganyika ili mumtawaze Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika, mkajitangazia ushindi wa 97% bado hamjaridhika tu mnahangaika na Chadema? Malizeni fukuto linalofukuta huko kwenu hadi mumeanza kuuana, achaneni na Chadema ni next level. Mtu huanza kufagia aliposimama, CCM inateketea mdogo mdogo hilo hulioni.Wanasema walitaka lakini Lissu akawa kikwazo
Imepita ccm ni terrorist organizationSawa sawa
Sawa sawa, uzi ujao utakuonesha chanzo na reforms kufeli na yapi madhara yakeWewe wasema , maamuzi ya kutaka reforms kabla ya kufanyika uchaguzi hayakuletwa na Lissu bali yaliwa maamuzi ya Chama. Mbona mnatapa tapa sana tumewaachia mumejiingiza madarakani kwa nja haramu, mumeua makumi ya maelfu ya Watanganyika ili mumtawaze Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika, mkajitangazia ushindi wa 97% bado hamjaridhika tu mnahangaika na Chadema? Malizeni fukuto linalofukuta huko kwenu hadi mumeanza kuuana, achaneni na Chadema ni next level. Mtu huanza kufagia aliposimama, CCM inateketea mdogo mdogo hilo hulioni.
Hao wangeenda kwenye project ya ccm na Mbowe ambayo ni Chauma. Cdm ya sasa haikutaka tena siasa za hewala bwana, hizo zilizikwa na utawala wa Mbowe.Wanachama wa CHADEMA wanalalamika kukosa nafasi za Ubunge wanadai Lissu ndiye chanzo
Hatuhitaji propaganda za wahuni wa kijani, tunajua tunachofanya.Sawa sawa, uzi ujao utakuonesha chanzo na reforms kufeli na yapi madhara yake
Utakumbuka maneno yangu,auwaye kwa upanga uawa kwa upangaSawa
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.Nikweli