Huzuiwi kuamini unachotaka mwenyewe. Lakini usilazimishe na wengine waamini wanachoona wao ni upuuzi.Acheni chuki za kijinga,unayoongea yamejaa chuki ubinafsi na hayana uchunguzi wowote Ili kuaminiwa,so acha uongo,this is an international affairs issue na ni ziara ya kawaida
Exactly,hyo point kbsaHata kama ingekuwa hivyo anavyotaka, mbona lile kundi jingine linalompinga ambao wako huko huko DRC hahusiki nao, ila hawa tu M23?
"Wengi" uliwahesabu lini, kama hutafuti kudharauliwa unachoandika bila ya takwimu sahihi?Ni mawazo yako pia,but he has put the country at a better level kuwa admired na wengi so sishangai,af ikitokea hvo unavomuombea utafaidika nin?
Huzuiwi kuamini unachotaka mwenyewe. Lakini usilazimishe na wengine waamini wanachoona wao ni upuuzi.
Sema huelewi kinachoelezwa hapa, bali unashangilia tu!Exactly,hyo point kbsa
"Wengi" uliwahesabu lini, kama hutafuti kudharauliwa unachoandika bila ya takwimu sahihi?
Kilicho andikwa hapo ni jibu sahihi kupinga upuuzi unaojibiwa.Kama unavotaka tuamini huo upuuzi ulioandikwa?
Mwenye "chuki" ni huyo "MWAMBA" wako, vinginevyo yote haya yasingekuwepo.Bado naona unajibu kihisia na hisia zenyewe zimejaa chuki,so..go on,elewa utakavyo maybe mpo katika mawazo ya hao kujua kilichopo
Wewe ndo unayeelewa,good,ila jua mi sio shabiki wa chuki za kijinga,mnayoongea yote hamna facts Bali kushikilia takwimu za wenye chuki kama nyie,go on,and get what you are after baada ya hzo chukiSema huelewi kinachoelezwa hapa, bali unashangilia tu!
Dah!! Unamahaba mazito sana na PAKA. Wewe ni mtutsi wa wapi?Wewe ndo unayeelewa,good,ila jua mi sio shabiki wa chuki za kijinga,mnayoongea yote hamna facts Bali kushikilia takwimu za wenye chuki kama nyie,go on,and get what you are after baada ya hzo chuki
Jk yuko usa kitambo tuJana kwenye afla ya chakula cha Rais kwa mgeni wake sikumuona JK miongoni mwa wastaafu.
Ok,whatever you wish,ila tambua wengine tunayo experience juu ya hayo kwahiyo hatuwez kukubali mawazo ya upotoshaji ya kijinga yaliyojaa chuki yapite Bure,hata kama hatutaondoa hizo chuki mioyoni mwenu ila mjue sio wote tunazisapoti,tunaujua ukweli kwamba this World has a lot of majanga Ili iwepo hapaKilicho andikwa hapo ni jibu sahihi kupinga upuuzi unaojibiwa.
You see?? Hapo ndo nmejua sasa kwamba you are pushed by your ignorance kuhusu huyo jamaa,mtusi ni nan? Mtu au mnyama? Af PAKA ndo nin?Dah!! Unamahaba mazito sana na PAKA. Wewe ni mtutsi wa wapi?
Sioni ushahidi wowote wa 'experience' unayoidai katika maandishi yako.Ok,whatever you wish,ila tambua wengine tunayo experience juu ya hayo kwahiyo hatuwez kukubali mawazo ya upotoshaji ya kijinga yaliyojaa chuki yapite Bure,hata kama hatutaondoa hizo chuki mioyoni mwenu ila mjue sio wote tunazisapoti,tunaujua ukweli kwamba this World has a lot of majanga Ili iwepo hapa
Uzuri ni kuwa nimeandika unachokielewa Haina haja ya kutafsiri,so Mimi kuwa mtusi or whatever,hainihusuDah!! Unamahaba mazito sana na PAKA. Wewe ni mtutsi wa wapi?
Hizo experience ziko based on one side. Hapa tunajadili uhalisia tunajadili kuhusu Security and National Interest. Mambo haya yapo juu ya uwezo wako wa kufikiri. Wewe kaa tu hapo uendelee kusoma comments za wadau.Ok,whatever you wish,ila tambua wengine tunayo experience juu ya hayo kwahiyo hatuwez kukubali mawazo ya upotoshaji ya kijinga yaliyojaa chuki yapite Bure,hata kama hatutaondoa hizo chuki mioyoni mwenu ila mjue sio wote tunazisapoti,tunaujua ukweli kwamba this World has a lot of majanga Ili iwepo hapa
Tayari umeshindwa hata kuelewa code. PAKA = Paul Kagame.You see?? Hapo ndo nmejua sasa kwamba you are pushed by your ignorance kuhusu huyo jamaa,mtusi ni nan? Mtu au mnyama? Af PAKA ndo nin?
Umeng'ang'ania sana swala la "chuki" dhidi ya Mwamba wako hadi unasahau kwamba yeye ndiye kiini cha chuki zote zinazoleta mgogoro katika eneo hilo.Wewe ndo unayeelewa,good,ila jua mi sio shabiki wa chuki za kijinga,mnayoongea yote hamna facts Bali kushikilia takwimu za wenye chuki kama nyie,go on,and get what you are after baada ya hzo chuki
Mwamba Hana chuki Wala hajakufanyia lolote,ila tu kwakuwa kaifanyia nchi yake makubwa from hell up to near to heaven ndo mnamchukiiiia,dah,kwani anachofanya hakuna wengine wanafanya? Unafahamu Marekani au Russia au China au wengine zinafnya maovu mangapi kuimarisha Dola zao? Unafahamu damu kiasi Gani za wenye hatia na wasio na hatia zinamwagwa Kila siku ilimradi tu Utawala wa baadhi ya watu ukae? Hata hapa kwetu hyo sio stori mpya,so stop Judgements za ovyo kwa msiyoyajua kisa tu unajua kusoma umesoma ya hao wenye chuki na maslahi yaoSioni ushahidi wowote wa 'experience' unayoidai katika maandishi yako.
Mtu wa kumwomba "aondoe chuki moyoni mwake" ni huyo 'Mwamba.'
Hahaha,skia sasa,nikilijua Hilo litafaa nin? Haya wa Samia au Ruto au Museveni wamesomea wapi? What's the important point in that? Mimi nafahamu mpaka Ian Kagame ni mkuu wa kitengo Cha ulinzi wa Baba yake,yupo Ange na Brian,ila hyo sio point kwa sasa,stop HATE SPEECHESTayari umeshindwa hata kuelewa code. PAKA = Paul Kagame.
Sasa unashindwa kuelewa vitu vidogo vidogo tu hivi haya mambo mazito utayajulia wapi?
Hivi unajua watoto wake maisha yao yote wamekuwa wakitumiakia jeshi la USA? Unalijua hilo? Wamesoma USA na Miltary training wamefanya huko. Unalijua hilo?