Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
Na masikini wa kutupwa.........!!!Mimi mwenyewe napenda familia za hivi natamani ningekuwa nakaa kwetu kuanzia bibi mpaka wajukuu kama wahindi! Basi tu maisha ya kibongo nongwa nyingi mnaonekana hamjajipata!