Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
HapanaHakuna kufa yakikushinda rudi kwenu!
HapanaHakuna kufa yakikushinda rudi kwenu!
Kweli kabisaUmefanya vizuri, yani ni hivi ambaye hawezi kuvumilia na aondoke asisumbue wengine wanaotaka kubaki nyumbani!
🤣🤣🤣atafute mji wake sio kwa baba yake jitu zima linagombea remote na wajukuu kwa baba yake aibu sana .
Siyo mashindano japo 23 bado mdogo but kijana anayejitambua akifika 25 inabidi awaze namna ya kuishi nje ya wigo wa wazazi wake!
Wahame wao nibaki mimi.Wewe unafikiri hao wazazi wako walijizaa? Au waliomba kuzaliwa?
Wamekutunza Hadi umri unaweza kujitunza. Si jukumu lao tena kukutunza.
Hakuna aliyeomba kuzaliwa huo ndo mpangilio wa dunia.
Siyo mashindano japo 23 bado mdogo but kijana anayejitambua akifika 25 inabidi awaze namna ya kuishi nje ya wigo wa wazazi wake!
Kama ulinisoma ili kuelewa na siyo ili unijibu utakuwa uli-miss point yangu hapo juu nilipo-bold,kawaida ya maisha siyo kila kitu utaambiwa inabidi mtu kama kijana mwenyewe ajiongeze!Kama Baba Yake Haoni Shida Ya Kukaa Na Mwanae,,Tatizo Liko Wapi..??Shida Ni Ninyi Mnaofuatilia Maisha Ya Watu,,Mnapo Bahatika Kukaribishwa...
Tujitahidi Sana Kupunguza Ujuaji Kwenye Maisha Ya Watu...
Nope, mimi kujitunza au kuondoka nyumbani ni kama nimewafanyia hisani tu, lakini kiuhalisia siwajibiki kwa lolote kufanya hivyo.Kuna umri ukifika unatakiwa kujitunza mwenyewe.
Wazazi wako hawakujizaa au kwamba waliomba kuzaliwa.
Jukumu lao kukutunza Hadi 18 halafu ukatafute familia yako nawe uzae utunze watoto wako.

Kama ulinisoma ili kuelewa na siyo ili unijibu utakuwa uli-miss point yangu hapo juu nilipo-bold,kawaida ya maisha siyo kila kitu utaambiwa inabidi mtu kama kijana mwenyewe ajiongeze!
Ninapoishi leo nilipanunua nikiwa aged 21 miaka 22 iliyopita na siyo kwamba sikuwa na pakulala au kula ila kama kijana kuna wakati inabidi kupima kina cha maji kwa style tofauti na uliyoizoea ili kuona in case likatokea la kutokea unaweza ku-survive?all in all hii itawezekana ikiwa kijana mwenyewe anajitambua siyo wale wanaosema sikuwatuma wazazi wanizae lazima wanitunze hawa huwa hamna kitu baba akifa au kufilisika ndiyo hao wanaanika matako mtaani kuyauza bei rahisi.
Mimi mwenyewe napenda familia za hivi natamani ningekuwa nakaa kwetu kuanzia bibi mpaka wajukuu kama wahindi! Basi tu maisha ya kibongo nongwa nyingi mnaonekana hamjajipata!Kweli kabisa
Na tamaduni zinatofautiana duniani
Kwa mfano Waafrika wengi kuishi nyumbani na wazee ni kama baraka vile wala haina shida
Ukingalia wazungu nao wana utofauti
Waingereza ukifika 18 lazima uondoke mwenyewe ukajitafutie maisha
Tofauti na Italy wao mpaka babu na wajukuu wanakaa nyumba moja na kama eneo ni kubwa wanaongeza vyumba tu
Kwa hiyo wala sishangai kukaa home
1. Akatafute mji wake wapi? Sio rahisi kama inavyozungumzwa bro. Kijana hana chanzo cha kipato e.g. Ajira inayoeleweka hata kama ni ya kuunga-unga. Akikurupuka na kuanzisha mji wake simply eti ni Aibu kuishi kwa baba yake mbona atakuwa amejikoroga zaidi?? Kuihudumia Familia sio kazi rahisi. Hawezi kwenda kupanga chumba na kulipia gharama nyingine za lazima e.g. maji umeme, Afya n.k.Ni bora abaki na baba yake awe anasaidia kazi za hapo nyumbani.🤣🤣🤣atafute mji wake sio kwa baba yake jitu zima linagombea remote na wajukuu kwa baba yake aibu sana .
Hao wengi wapo kuja kusumbua kuhusu urithi.Kwa vijana wa sasa hilo ni sahihi kabisa kwao .Ila enzi zetu huo umri ulisha oa zamani na una mji wako.Kuna moja nililikuta limevaa taulo kwa baba yake halijaoa lina 33 wala halina hata aibu aisee ?
Ukiona unahama kwenu unaenda kulala chini wewe ni kenge tuHata kama umeongea nini habar za kuita watu kenge hatukubakiani na wewe. Mattrako yako!
Je na wewe watoto wako utawapa eneo la kujenga, Hapo ulipo ? Je wazazi wako nao walipewa eneo la kujenga? Kama sio je wasinge toka kwao wangekuwa na eneo la kukukatia wewe..?
Hakika...Hamna Cha ajabu. Ni jukumu lao wazazi kukulea.
Binadamu hawaachi kusema...Yupo kwao, sasa wewe shida iko wapi?
🤝
Mwngn alipanga ili aingize mademu
Mtoto ni mtoto... kwa mzazi.Watu wana fiftee wapo kwa wazazi wao.
Mwacheni dogo, ajitafute.