Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

Nilichogundua hapa vijana wengi kwa sababu wanatokea katika familia za hapa na pale wanadhani wao kujiondokea nyumbani kwenda kuanzisha maisha ya hapa na pale ni mafanikio makubwa sana.

Sisi wamasai Kwa mfano ukisema Nyumbani ni jumla ya ekari za mashamba kadhaa....Mimi Nimefanyiwa tohara nikaonyeshwa pa kujenga nyumba ni kwangu lakini ni nyumbani kwetu.

Anakuja mswahili amezaliwa nyumba ya kupanga Sebule na Chumba cha baba na mama analala sebulen na dada zake wakijambiana usiku kucha mama akiguswa kidogo miguno mpaka nyumba ya sita mtu kama huyu kujiondokea hapo na kwenda kupanga kijichumba uswahilini huko ni mafanikio makubwa sana kwake

Sasa anakuja hapa JF anaanza kuongea akidhani dunia nzima waliishi kama hapo kwao

Kenge nyie
Je na wewe watoto wako utawapa eneo la kujenga, Hapo ulipo ? Je wazazi wako nao walipewa eneo la kujenga? Kama sio je wasinge toka kwao wangekuwa na eneo la kukukatia wewe..?
 
Kawaida , mbona mimi ninaitafuta Fote bado nipo kwa mshuwa na wala hawalalamiki kwa lolote.

Kila siku mzee ananisihi kama bado sijajipanga vizuri nisiharakie kukimbia nyumbani kwenda kupanga wakati nyumbani kuna nyumba ya bure hakuna mtu wa kukaa wanaishi panya tu.

Chakula anachopika mama mara nyingi kinabakia wanamwaga kwa sababu ya upweke wa kuishi peke yao ninapokuwa nimetoka.

Wadogo zangu wote wameshaondoka nyumbani kwenda kujitegemea na kuanzisha miji yao , mimi ndiyo bado nimebakia nyumbani
Kwa point ya wazazi kubaki wnyw na hawana watu wengine wa kuishi Nao, h naunga mkono kuendelea kuishi hapo
 
Nilichogundua hapa vijana wengi kwa sababu wanatokea katika familia za hapa na pale wanadhani wao kujiondokea nyumbani kwenda kuanzisha maisha ya hapa na pale ni mafanikio makubwa sana.

Sisi wamasai Kwa mfano ukisema Nyumbani ni jumla ya ekari za mashamba kadhaa....Mimi Nimefanyiwa tohara nikaonyeshwa pa kujenga nyumba ni kwangu lakini ni nyumbani kwetu.

Anakuja mswahili amezaliwa nyumba ya kupanga Sebule na Chumba cha baba na mama analala sebulen na dada zake wakijambiana usiku kucha mama akiguswa kidogo miguno mpaka nyumba ya sita mtu kama huyu kujiondokea hapo na kwenda kupanga kijichumba uswahilini huko ni mafanikio makubwa sana kwake

Sasa anakuja hapa JF anaanza kuongea akidhani dunia nzima waliishi kama hapo kwao

Kenge nyie
🤝
Mwngn alipanga ili aingize mademu
 
Back
Top Bottom