Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

Nilichogundua hapa vijana wengi kwa sababu wanatokea katika familia za hapa na pale wanadhani wao kujiondokea nyumbani kwenda kuanzisha maisha ya hapa na pale ni mafanikio makubwa sana.

Sisi wamasai Kwa mfano ukisema Nyumbani ni jumla ya ekari za mashamba kadhaa....Mimi Nimefanyiwa tohara nikaonyeshwa pa kujenga nyumba ni kwangu lakini ni nyumbani kwetu.

Anakuja mswahili amezaliwa nyumba ya kupanga Sebule na Chumba cha baba na mama analala sebulen na dada zake wakijambiana usiku kucha mama akiguswa kidogo miguno mpaka nyumba ya sita mtu kama huyu kujiondokea hapo na kwenda kupanga kijichumba uswahilini huko ni mafanikio makubwa sana kwake

Sasa anakuja hapa JF anaanza kuongea akidhani dunia nzima waliishi kama hapo kwao

Kenge nyie
 
Anaejiona kakua hataki kukaa hapa aende tu lakin kama hana pa kwenda abakie hapa hata jana niliwaambia waru wote na wazazi wakiwepo.

Hakuna haja ya kusimangana au kufukuzana kisa sehem ya kuishi.
Umefanya vizuri, yani ni hivi ambaye hawezi kuvumilia na aondoke asisumbue wengine wanaotaka kubaki nyumbani!
 
Nilichogundua hapa vijana wengi kwa sababu wanatokea katika familia za hapa na pale wanadhani wao kujiondokea nyumbani kwenda kuanzisha maisha ya hapa na pale ni mafanikio makubwa sana.

Sisi wamasai Kwa mfano ukisema Nyumbani ni jumla ya ekari za mashamba kadhaa....Mimi Nimefanyiwa tohara nikaonyeshwa pa kujenga nyumba ni kwangu lakini ni nyumbani kwetu.

Anakuja mswahili amezaliwa nyumba ya kupanga Sebule na Chumba cha baba na mama analala sebulen na dada zake wakijambiana usiku kucha mama akiguswa kidogo miguno mpaka nyumba ya sita mtu kama huyu kujiondokea hapo na kwenda kupanga kijichumba uswahilini huko ni mafanikio makubwa sana kwake

Sasa anakuja hapa JF anaanza kuongea akidhani dunia nzima waliishi kama hapo kwao

Kenge nyie
Hata kama umeongea nini habar za kuita watu kenge hatukubakiani na wewe. Mattrako yako!
 
Nilichogundua hapa vijana wengi kwa sababu wanatokea katika familia za hapa na pale wanadhani wao kujiondokea nyumbani kwenda kuanzisha maisha ya hapa na pale ni mafanikio makubwa sana.

Sisi wamasai Kwa mfano ukisema Nyumbani ni jumla ya ekari za mashamba kadhaa....Mimi Nimefanyiwa tohara nikaonyeshwa pa kujenga nyumba ni kwangu lakini ni nyumbani kwetu.

Anakuja mswahili amezaliwa nyumba ya kupanga Sebule na Chumba cha baba na mama analala sebulen na dada zake wakijambiana usiku kucha mama akiguswa kidogo miguno mpaka nyumba ya sita mtu kama huyu kujiondokea hapo na kwenda kupanga kijichumba uswahilini huko ni mafanikio makubwa sana kwake

Sasa anakuja hapa JF anaanza kuongea akidhani dunia nzima waliishi kama hapo kwao

Kenge nyie
Tusamehe mkuu😱
 
Back
Top Bottom